The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,186
Arudi na pesa,mama akikanyaga popote ni pesa na investment.
Safari njema.
www.kbc.co.ke
Hapana TB-2 haiwezi kuangusha jet unless hio jet iko kwa ground. Missiles za hio drone are too slow kukimbizana na jet lakini pengine zinaweza kukimbizana na helicopter. Lakini hizo manpads nimeweka hapo juu zinaweza angusha ndege coz missiles za hizo manpads zinamove faster than the speed of sound. Kwa mfano hizo missiles za hii Piorun ya Poland na Stinger ya Marekani zina speed ya mach 2 kwa hivyo zinakimbia mbio kushinda speed ya sound times two. Yaani inakimbia mbio kushinda helicopter zote duniani na jets chache sana zinaweza kukimbia mbio kushinda hio missile
View attachment 2155344
Tazama hii video inayocompare Stinger missile ya Marekani na Piorun ya Poland. Video inaelezea kila kitu.
Hii picha itakuwa ya kutengeneza, kuna ghorofa zimehamishiwa hapa, haiwezekani ka Nairobi kamkaribie Dar kwa concrete, huo muonekano ni wa Dar but ka Nairobi muonekano wake huu [emoji116][emoji116][emoji116]Most developed, Richest[emoji857] and innovative city in E.A,,NBO[emoji3590][emoji238]
View attachment 2156164
ndio ujinga mliopandikizwa kichwani ??Arudi na pesa,mama akikanyaga popote ni pesa na investment.
Safari njema.
na silaha za marekani na ulaya nyingi sana zimekamatwa na warusi maeneo mengi sana na sasa ulaya iko kwenye hatari sana na ndio mlengwa alaf suala la mchina kumpa silaha mrusi bado halijaniingia, urusi ni nchi mzalishaji wa silaha nyingi sana na tena silaha zinazotumika ukraine ni silaha za kawaida sana ukiachana na silaha za technology ya hali ya juu, na ukitaka kupima uwezo wa russia google kitu kimoja kinaitwa S400, S500 na S550 hvo vitu nato wanavijua vzr mpaka walivipa majina ya nick name 🤣🤣🤣Tony mimi si muumuni wa vita ila umeona current situation,Rais wa Ukraine anaona ni wakati sasa wa kufanya mazungumzo na Moscow hii ni baada ya kuona Mariupol mji muhumu wa bandari ukiwa chini ya Russia na miji mingine muhimu ya upande wa West ikiwa under attack, Ukraine imezingua vita hivi visingefika huku alipiga hesabu zake vibaya alifikiri angeweza kuiangusha dola ya Russia kwa msaada wa Mmarekani na ushirika wa NATO hakutazama mbali zaidi,sasa inamgharimu mwenyewe,na hii vita itakuwa mbaya zaidi kwa Ukraine kama mchina akiamua kumpatia silaha Russia maana ni pua na mdomo, wanapakana hawa mabwana wakubwa mpk tanks zinaweza kusafirishwa kwenda Russia kwa urahisi tu,naona Mmarekani akibwabwaja kwny hili anajua shughuli imekwisha kwani anajua athari yake, Ukraine mpk silaha za msaada zifike kwake ni process ndefu na Russia anaendelea kufunga anga la Ukraine kadri anavyo advance.
🚮🚮ndio ujinga mliopandikizwa kichwani ??
Hayo ma s sijui miangapi huko ni matakataka sawa na ma vyuma chakavu,missiles huwa zinayafyatua saafi kabisa.na silaha za marekani na ulaya nyingi sana zimekamatwa na warusi maeneo mengi sana na sasa ulaya iko kwenye hatari sana na ndio mlengwa alaf suala la mchina kumpa silaha mrusi bado halijaniingia, urusi ni nchi mzalishaji wa silaha nyingi sana na tena silaha zinazotumika ukraine ni silaha za kawaida sana ukiachana na silaha za technology ya hali ya juu, na ukitaka kupima uwezo wa russia google kitu kimoja kinaitwa S400, S500 na S550 hvo vitu nato wanavijua vzr mpaka walivipa majina ya nick name 🤣🤣🤣
vp nimekutag wewe ?? unakinyama kinakuwasha nini?? usiwe unanitag au unaniquote mm huo mchezo siutak tafuta mwengine wanaume wako wengi tu humuHayo ma s sijui miangapi huko ni matakataka sawa na ma vyuma chakavu,missiles huwa zinayafyatua saafi kabisa.