Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya ilishapoteza pambano na TZ Kati hili eneo la SGR, sababu kubwa ya mchina kukataa kutoa pesa kumalizia kipande hadi Malaba, alikua kwamba hakutokua na faida kibiashara kwasababu Uganda ilishakosa pesa ya kuifikisha Kampala.

Kama SGR haiwezi kuunganisha nchi zaidi ya tatu, haiwezi kuwa na faida, Kenya walitegemea Sana Uganda waifikishe Kampala, ili angalao Rwanda wakepata nguvu ya kuunganisha hadi Kigali, au japo DRC, Rwanda, na South Sudan wangeweza kuchukulia mizigo Yao Kampala.

Kitendo cha Uganda kushindwa kupata pesa, na ugomvi Kati ya Rwanda na Uganda, vilipigilia msumari wa mwisho kwa reli ya Kenya kushindana na Tanzania.

Kuhusu reli ya umeme kutumia "diesel engine locomotives", hiyo ni Kama kiwanda kuwa na "standby generator" iwapo umeme utakatika, kumbuka ni ghali Sana kutumia "diesel", hiyo ni miongoni mwa sababu kubwa kwanini hizi nchi zimeamua kuungana na Tanzania na kuachana na Kenya, kumbuka hata Uganda walisema kwamba hata kama wangejenga reli kuunganisha na Kenya, lakini wangejenga ya umeme.
Kwa kuongezea kwenye cost za uendeshaji, nibora kuwa na electric SGR kuliko diesel one sababu bei ya mafuta ni unpredictable(world market) ukilinganisha na umeme unao zalishwa locally,kwaiyo ni vigum sana kuendelea kuungana na reli outdated ya kenya
 
Kisumu City
FB_IMG_16476846833749845.jpg
 
Hakuna nchi yoyote yenye uwezo wa kujitoa au kususia SGR ya Tanzania kwa hali yoyote Ile, "infact", hata Kenya inafikiria ni jinsi gani ingeweza kuunganisha reli yake na Tanzania, tatizo linaloizuia Kenya kuunganisha ni kutokana na kwamba
1)Reli ya Kenya kwa Sasa inamilikiwa na mchina
2)Reli ya Kenya sio ya umeme, "technologically" ni outdated ukilinganisha na Tanzania, kwahiyo hizi reli mbili sio "compatible".
kutumia ama kutotumia umeme hakufanyi reli hizi mbili kuwa "incompatible", kwa kuwa gauge ya reli (1.435mm) bado ni ile ile. Ila nakubaliana na wewe kuwa nyanga'u na sisi hatupikiki chungu kimoja ( incompatible).
 
Mkuu, wakiunganisha maana yake ni kwamba trains zao zote ambazo ni diesel engine haziwezi kutumika Tena, kwasababu haziwezi kushindana na hizi za umeme kwa kila eneo, Kasi, unafuu wa Bei na "modernity, pia train zetu za umeme haziwezi kufika kwao, "these two lines are almost incompatible"
 
Kwa kuongezea kwenye cost za uendeshaji, nibora kuwa na electric SGR kuliko diesel one sababu bei ya mafuta ni unpredictable(world market) ukilinganisha na umeme unao zalishwa locally,kwaiyo ni vigum sana kuendelea kuungana na reli outdated ya kenya
Sure, na hii Russia military expedition ndani ya ukraine imepigilia mstari hii point
 
Mkuu, wakiunganisha maana yake ni kwamba trains zao zote ambazo ni diesel engine haziwezi kutumika Tena, kwasababu haziwezi kushindana na hizi za umeme kwa kila eneo, Kasi, unafuu wa Bei na "modernity, pia train zetu za umeme haziwezi kufika kwao, "these two lines are almost incompatible"
Ila unasahau ya kwetu electric engine itaishia Mpakani pia ambapo kichwa kitabadilishwa incase of cargo kwenda Kunyaland! Patamu hapo...ni vuluvulu!
 
na silaha za marekani na ulaya nyingi sana zimekamatwa na warusi maeneo mengi sana na sasa ulaya iko kwenye hatari sana na ndio mlengwa alaf suala la mchina kumpa silaha mrusi bado halijaniingia, urusi ni nchi mzalishaji wa silaha nyingi sana na tena silaha zinazotumika ukraine ni silaha za kawaida sana ukiachana na silaha za technology ya hali ya juu, na ukitaka kupima uwezo wa russia google kitu kimoja kinaitwa S400, S500 na S550 hvo vitu nato wanavijua vzr mpaka walivipa majina ya nick name 🤣🤣🤣
Wakati mwingine huwa zinakuwa ni propaganda za vita na kutuma ujumbe upande wa pili,kama unavyosema inawezekana Russia yuko fit sana kwa silaha ila anajua hapigani na Ukraine tu chochote kinaweza tokea!!!!so hawezi kufuja tu silaha hovyo hasa anazojiamini nazo,mchina yuko standby kwa urusi kama mambo yakiwa worse sana na ndo ujumbe unaotumwa kwa marekani na washirika wake wa NATO,haya ni maoni yangu tu.
 
Hakuna nchi yoyote yenye uwezo wa kujitoa au kususia SGR ya Tanzania kwa hali yoyote Ile, "infact", hata Kenya inafikiria ni jinsi gani ingeweza kuunganisha reli yake na Tanzania, tatizo linaloizuia Kenya kuunganisha ni kutokana na kwamba
1)Reli ya Kenya kwa Sasa inamilikiwa na mchina
2)Reli ya Kenya sio ya umeme, "technologically" ni outdated ukilinganisha na Tanzania, kwahiyo hizi reli mbili sio "compatible".
Labda waunganishe mgr kupitia arusha😂😂
 
Hii ni prediction ya ujinga na ushenzi sana. Aliyeunda hii graphics ni mshenzi na mpumbavu wa mwisho ambaye hajawahi kuingia katika any economics class. Sasa Egypt ambayo kwa sasa ina Gdp chini ya $400 billion itakuwaje na Gdp ya $8.2T baada ya miaka minane tu kuanzia sasa? 2030 ni miaka minane tu kutoka sasa. Mjinga sana huyo aliyeandika hio list. ichoboy01 jifunze kuwa na critical thinking sio kupost humu uchafu wowote unaoupata mtandaoni. Hio list inaweza kutengenezwa na chizi yeyote mtandaoni bora ana laptop na internet.
Nilivoona tu India ya pili juu ya USA nikajua hizi data za Mchongo.

Uchumi wa USA na China mwaka 2030 utakuwa mbali sana ukilinganisha na nchi ya 3
 
Kenya ilishapoteza pambano na TZ Kati hili eneo la SGR, sababu kubwa ya mchina kukataa kutoa pesa kumalizia kipande hadi Malaba, alijua kwamba hakutokua na faida kibiashara kwasababu Uganda ilishakosa pesa ya kuifikisha Kampala.

Kama SGR haiwezi kuunganisha nchi zaidi ya tatu, haiwezi kuwa na faida, Kenya walitegemea Sana Uganda waifikishe Kampala, ili angalao Rwanda wangepata nguvu ya kuunganisha hadi Kigali, au japo DRC, Rwanda, na South Sudan wangeweza kuchukulia mizigo Yao Kampala.

Kitendo cha Uganda kushindwa kupata pesa, na ugomvi Kati ya Rwanda na Uganda, vilipigilia msumari wa mwisho kwa reli ya Kenya kushindana na Tanzania.

Kuhusu reli ya umeme kutumia "diesel engine locomotives", hiyo ni Kama kiwanda kuwa na "standby generator" iwapo umeme utakatika, kumbuka ni ghali Sana kutumia "diesel", hiyo ni miongoni mwa sababu kubwa kwanini hizi nchi zimeamua kuungana na Tanzania na kuachana na Kenya, kumbuka hata Uganda walisema kwamba hata kama wangejenga reli kuunganisha na Kenya, lakini wangejenga ya umeme.
Wewe unaelewa economics vizuri kweli wewe? Eti unadanganya kwamba SGR ya Kenya haiwezi kuleta faida mpaka iunganishwe na Uganda. Unajua unachosema kweli au unaongea kufurahisha watu? Hivi wewe unajua kwamba hata SGR ya Kenya ikiunganishwa na Uganda bado zaidi ya 75% ya mizigo ya SGR itakuwa ni mizigo ya Kenya? Kati ya hio 75% karibu yote inakwenda Mombasa na Nairobi. In fact Kenya inaweza kupata hasara zaidi kwa kutumia mabilioni ya dollar kuconnect Naivasha hadi Malaba ukizingatia kwamba chini ya asilimia 20% ya mizigo ya Sgr itakuwa mizigo ya Uganda. Zingatia pia kwamba Waganda wengine watakataa kutumia treni na wataendelea kutumia lorry. Market ya Uganda ni ndogo sana ikiilinganisha na ya Kenya. Customers wengi wa SGR ni Wakenya sio Waganda. Mombasa port inapitisha 35 million tonnes of cargo na chini ya 25% ya hii inakwenda Uganda na around 75% inabaki Kenya, most of it inakwenda Nairobi. Tukiangalia hii kitu kiuchumi hakuna jinsi unaweza kuniconvince kwamba Kenya haitapata hasara zaidi ikiamua kujenga SGR kutoka Naivasha hadi Malaba ukizingatia kwamba Uganda ni market kadogo. Mimi sina ushabiki wa kijinga, mimi sioni jinsi Naivasha-Malaba itakuwa na faida kushinda Mombasa-Nairobi kwa hivyo uwache kudanganya watu. Najua hio ndio sababu kuu iliyowafanya Wachumi wa China Exim bank kukataa kutoa mkopo. Tukiangalia hii kitu kiuchumi na kiutaalam kabisa bila kuweka siasa au propaganda, ukweli ni kwamba route ya Naivasha- Kampala haitaleta faida ya kutosha kuoffset the cost of construction. SGR route ya Mombasa to Nairobi ina faida sana na itajilipa virahisi kwa sababu 70% ya mizigo ya Mombasa port inakwishia Nairobi na haipiti hapo. Nairobi- Malaba japo itagharimu Kenya $3 au $4 billion kwa ujenzi, najua haitajilipa virahisi ukizingatia kwamba mizigo inayokwenda Uganda ni kidogo sana. Tukifanya simple ROI (return on income) ni wazi kwamba kipande cha Naivasha Malaba hakitajilipa kwa urahisi. Kwa hivyo tukianalyse hili jambo kiutaalam bila ushabiki utaona kwamba hio route ya Kampala haina faida kwa Kenya kushinda route ya Mombasa-Nairobi ambayo ndio most profitable route in East and Central Africa. Mombasa-Nairobi ni route ambayo inaconsume zaidi ya 20 million tonnes of cargo per year wakati Uganda inaconsume 8 million tonnes of cargo per year. Mizigo nyingi za Kenya zinachezea Mombasa-Nairobi na hazipiti hapo. Mombasa-Nairobi route lazima itajilipa lakini huko kwingine sina imani nako.
 
Wewe unaelewa economics vizuri kweli wewe? Eti unadanganya kwamba SGR ya Kenya haiwezi kuleta faida mpaka iunganishwe na Uganda. Unajua unachosema kweli au unaongea kufurahisha watu? Hivi wewe unajua kwamba hata SGR ya Kenya ikiunganishwa na Uganda bado zaidi ya 75% ya mizigo ya SGR itakuwa ni mizigo ya Kenya? Kati ya hio 75% karibu yote inakwenda Mombasa na Nairobi. In fact Kenya inaweza kupata hasara zaidi kwa kutumia mabilioni ya dollar kuconnect Naivasha hadi Malaba ukizingatia kwamba chini ya asilimia 20% ya mizigo ya Sgr itakuwa mizigo ya Uganda. Zingatia pia kwamba Waganda wengine watakataa kutumia treni na wataendelea kutumia lorry. Market ya Uganda ni ndogo sana ikiilinganisha na ya Kenya. Customers wengi wa SGR ni Wakenya sio Waganda. Mombasa port inapitisha 35 million tonnes of cargo na chini ya 25% ya hii inakwenda Uganda na around 75% inabaki Kenya, most of it inakwenda Nairobi. Tukiangalia hii kitu kiuchumi hakuna jinsi unaweza kuniconvince kwamba Kenya haitapata hasara zaidi ikiamua kujenga SGR kutoka Naivasha hadi Malaba ukizingatia kwamba Uganda ni market kadogo. Mimi sina ushabiki wa kijinga, mimi sioni jinsi Naivasha-Malaba itakuwa na faida kushinda Mombasa-Nairobi kwa hivyo uwache kudanganya watu. Najua hio ndio sababu kuu iliyowafanya Wachumi wa China Exim bank kukataa kutoa mkopo. Tukiangalia hii kitu kiuchumi na kiutaalam kabisa bila kuweka siasa au propaganda, ukweli ni kwamba route ya Naivasha- Kampala haitaleta faida ya kutosha kuoffset the cost of construction. SGR route ya Mombasa to Nairobi ina faida sana na itajilipa virahisi kwa sababu 70% ya mizigo ya Mombasa port inakwishia Nairobi na haipiti hapo. Nairobi- Malaba japo itagharimu Kenya $3 au $4 billion kwa ujenzi, najua haitajilipa virahisi ukizingatia kwamba mizigo inayokwenda Uganda ni kidogo sana. Tukifanya simple ROI (return on income) ni wazi kwamba kipande cha Naivasha Malaba hakitajilipa kwa urahisi. Kwa hivyo tukianalyse hili jambo kiutaalam bila ushabiki utaona kwamba hio route ya Kampala haina faida kwa Kenya kushinda route ya Mombasa-Nairobi ambayo ndio most profitable route in East and Central Africa. Mombasa-Nairobi ni route ambayo inaconsume zaidi ya 20 million tonnes of cargo per year. Mizigo nyingi za Kenya zinachezea Mombasa-Nairobi na hazipiti hapo. Mombasa-Nairobi route lazima itajilipa lakini huko kwingine sina imani nako.
Sasa mbona Mchina kagotea phase 2A? wacha ushabiki maandazi! Kwahiyo feasibility study ilikuwa ya uwongo? tatizo ni bloated costs through corrupt procurement by ur GoK n KR zilizomtoa Mchina stimu ya kuendelea ku-fund! halafu wacha kuandika magazeti!
 
There's no difference between 2.7 and 3.2. Both are still pathetic figures given your population. So in one year Tanesco only added 500k customers
Uliposema 3m ulikua na uhakika hawajafika sasa wamekua pathetic tena baada ya mtego wako kukunasa mwenyewe?panga hoja zako kwa makini
 
Sasa mbona Mchina kagotea phase 2A? wacha ushabiki maandazi! Kwahiyo feasibility study ilikuwa ya uwongo? tatizo ni bloated costs through corrupt procurement by ur GoK n KR zilizomtoa Mchina stimu ya kuendelea ku-fund! halafu wacha kuandika magazeti!
Nitaandika tu gazeti na sio lazima usome. Project zenu za SGR ni even worse in terms of feasibility na return on income. Eti Burundi hadi nashangaa mnawaza nini.
 
Back
Top Bottom