Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

2 major cities in the region

Dar

officialdogosele_1647001620056.jpg


Dom

dalali_errick_dodoma_1647001423009.jpg



Wakunya wanasema hizi roofings mbaya 😅😅😅😅
 
Russia vita anayoweza ni ya kupiga na kuwa raia. Lakini vita vya kupambana na wanaume wenzao hawawezi. Kazi ni kuuwa watu wasiojiweza.
Remember there is no formula in fighting. There are also no rules war.
 
Source Citizen Tv Kenya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
I know you are allergic to truth lakini kaa ukijua hakuna siku hata moja hiyo mabati rolling Mill itawaitajwa among the best airports in Africa.
 
Wajinga hao [emoji23][emoji23][emoji28][emoji28]
Mtu anapambana kupingana na ukweli day and night bila kuchoka mwishowe atazeeka huyu kwa kinyongo na huzuni anazozipata dhidi ya Tz, tatizo lake huwa anadhani maumivu anayapata peke yake kumbe ni wakunya wote [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mtu anapambana kupingana na ukweli day and night bila kuchoka mwishowe atazeeka huyu kwa kinyongo na huzuni anazozipata dhidi ya Tz, tatizo lake huwa anadhani maumivu anayapata peke yake kumbe ni wakunya wote [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Bhana kuna mmoja humu huwa anadai yeye mchora ramani za nyumba kumbe ni dalali tu pale mombasa!
 
Bhana kuna mmoja humu huwa anadai yeye mchora ramani za nyumba kumbe ni dalali tu pale mombasa!
Usiniambie ushamdaka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
sijui mpaka lini wazee kama joto la jiwe na The best 007 wataamini kua kenya na tanzania hazipo kwenye ligi moja. kenya tuna sail kwa boat moja na south africa. sisi ni wakali wa hizi kazi. Google Street views hadi ushago hadi kwa isimba ndani

nb: The best 007 atakuja tu kiamini sikumoja kua, maana ya nchi flani kua na gdp kubwa yani kila kitu itakua affected

View attachment 2146773View attachment 2146774

Naona wamejaribu in 2022.
I remember making a similar observation in 2021
Back then ilikuwa worse

414E2A45-8D2C-4501-8626-B7D489945503.png
B03AC631-C3D7-45A5-8087-0833431DC5B9.png
A424D14F-CA39-4A39-82B8-610263DE8276.png
241EBD48-23B2-46FE-AFF0-C0A276098757.png
F3EF253C-8F25-45BA-9F7B-AEAAA63573E7.png

I wanted to explore a little Daresaalam on street view and apparently it’s absolutely blank as compared to any urban center in Kenya including my little hometown of Kericho, mind you, we’re in 2021… View attachment 1812778View attachment 1812779View attachment 1812780View attachment 1812781View attachment 1812782

View attachment 1812766

View attachment 1812767

View attachment 1812773

View attachment 1812774

View attachment 1812775
 
Back
Top Bottom