Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Point ni kwamba Tzn na Kenya hatuchekani wote tuko kundi moja hakuna wa kumtunishia mwenzie misuli.
hohohoho..... tebu ona huyu.!
heb jiulize, mbona huyu writer ame highlight kenya, na ku complement eti "among countries with the HIGHEST Gdp in Africa" hio inadhiirisha sisi ni miongoni mwa mababe katika kanda.!

Screenshot_20220310-123334_Chrome.jpg
 
wakenya nawapeni ushauri kuhusu ishu ya Chelsea na Roman Abramovich na FIFA
FA yenu si ilifungiwa kisa serikali kuingilia mambo ya soka.. sasa nyie anyishen hashtag huko twitter FIFA waache double standard kwa UK government, maana serikali yao imeingilia masuala ya mpira kwenye club ya chelsea kisa mrusi Abramovich

Hawana akili iyo hawa si wako upande wa mabeberu
 
wakenya nawapeni ushauri kuhusu ishu ya Chelsea na Roman Abramovich na FIFA
FA yenu si ilifungiwa kisa serikali kuingilia mambo ya soka.. sasa nyie anyishen hashtag huko twitter FIFA waache double standard kwa UK government, maana serikali yao imeingilia masuala ya mpira kwenye club ya chelsea kisa mrusi Abramovich

Hawawezi Wakunya hawahawa makuwadi wa West!
 
Do you even listen to yourself? So a population of 60M is waiting for the government to build high rises for them? Kweli mnatumia 1% of your brain to reason
Government agencies such as National social securities and National housing corporation have been investing heavily in high rise buildings prior to Magufuli. If we cannot build our own country with our own resources whom do we expect to build for us unless we become slaves in our own country. A good example is Nairobi Expressway, I would rather pay access road toll to a Tanzanian Government agency or a local company than to a foreign company that repatriate all the money abroad.
 
Katika kipindi cha mwaka mmoja tangu sa100 kukalia kiti cha uraisi imeripotiwa Tz ku export madini yenye thamani ya dola za kimarekani $3.5 billion lakini pia na serikali kukusanya $259 million kama maduhili. Source wizara ya madini.. 👇. Tony254 nyie endeleeni kupigazana kelele na kaka zenu tu, walee twarukaa priii 😅.
 
Katika kipindi cha mwaka mmoja tangu sa100 kukalia kiti cha uraisi imeripotiwa Tz ku export madini yenye thamani ya dola za kimarekani $3.5 billion lakini pia na serikali kukusanya $259 million kama maduhili. Source wizara ya madini.. . Tony254 nyie endeleeni kupigazana kelele na kaka zenu tu, walee twarukaa priii .
Wao wako na xpress way ya mchina
 
russia wamekanusha, hawa wazungu na washirika wao kwa kifupi vita vimewashinda sasa wamebakia na propaganda na vita vya uongo
Nilisema hapa wageni na civilian wameambiwa watoke . Majority wametoka warusi hawana huruma . Halafu Ukraine wanajifanya wanapigana gorilla war kujificha kwenye makazi ya watu . Warusi wana roho ngumu watapiga hivyo hivyo . Bora rais wao akubali kuokoa maisha ya civilian na wanajeshi wake pamoja na miundombinu
 
Back
Top Bottom