Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahaha. Wooi woi woi Russia wanaona moto. Bayraktar sio mchezo. ichoboy01 kuja uone jinsi TB-2 invyofanyia vijana wako wa Russia. Wanapigwa hadi wanatoroka wenyewe.
 
Nilisema hapa wageni na civilian wameambiwa watoke . Majority wametoka warusi hawana huruma . Halafu Ukraine wanajifanya wanapigana gorilla war kujificha kwenye makazi ya watu . Warusi wana roho ngumu watapiga hivyo hivyo . Bora rais wao akubali kuokoa maisha ya civilian na wanajeshi wake pamoja na miundombinu
Wewe wacha kuongea maneno mengi yasiyo na tija. Tazama jinsi Jeshi lako hafifu la Russia linapigwa na TB2 hadi jeshi linatoroka. Sijawahi kuona tank zikitoroka vitani. Hii ndio mara ya kwanza. Yaani TB-2 haicheki na hawa maumbwa.
 
Wao wako na xpress way ya mchina
Their best things they are bragging of every single mornie and night ni express way ya mchina na apartments za wenyewe 😂😂😂 sisi tunaendelea kuvunja records zetu wenyewe,

Mara treni za umeme
Mara BRT phase 2
Mara bwawa kubwa la umeme
Mara we connecting EA region kwa reli ya umeme
Mara mji wa serikali Dom
Mara Madaraja makubwa kila mahali
.
. Tayari we the biggest exporter in the region, and now tunapiga $3.5 billion za madini tu

Uku nako SLA yasainiwa tayari kwa full control of Uganda cargo. 👇. Tony254 sisi ni baba wa EA uache mchezo kabisa
 
Screenshot_20220310-160810.jpg
 
Katika kipindi cha mwaka mmoja tangu sa100 kukalia kiti cha uraisi imeripotiwa Tz ku export madini yenye thamani ya dola za kimarekani $3.5 billion lakini pia na serikali kukusanya $259 million kama maduhili. Source wizara ya madini.. 👇. Tony254 nyie endeleeni kupigazana kelele na kaka zenu tu, walee twarukaa priii 😅.

Gdp ni uchoko, sasa kunyaland inauza nini cha thamani hii nje ya nchi?
 
Kuwa na Levi's store ndio unamaanisha wakenya Wana hela..? Kichwa mchunga kweli we jamaa😂😂
Same thing kuwa na showroom ya Porsche na Bentley...mbona wasiweke showroom ya Lamborghini Nairobi?
You are laughable dude!
Y'all been brainwashed to thinking Kenyans have no money it's Just hunger and slums eey?? Sorry to disappoint you dude 🤣🤣🤣
 
Wewe jamaa akili zako ni sawa na mdogo wangu wa mwisho pale home, hufai kujadili na mimi chochote, heb kaoshe matako upumzike
 
Huku kiwanda kabisa.
Halafu punguza ukondoo.

Watu wa kujibu tu bila kufikiria... I wasn't talking about production, cause we have a production plant here as well, do you Know what a "store" is ????!!! Is English that hard??
 
Wewe jamaa akili zako ni sawa na mdogo wangu wa mwisho pale home, hufai kujadili na mimi chochote, heb kaoshe matako upumzike
Kama akili yako inaongelea matako na huyo mdogo wako je? 😅😅 Shida!!

Mbona usitumie Logic? Ukiwa na a business idea you first identify a niche (calculate market demand vs market supply)
Sasa wewe ukisema uweke electronic shop pale downtown kariokoo, uuze high end phones kina iPhone 13 pro max ya close to ksh 200k, badala ya kuuza vi tecno vya 10-15k si utakufa njaa?! 😅
 
Hivi ni lini tutarebase GDP? I'm pretty sure that our GDP is bigger than 73 billion dollars tunayoaminishwa! Uchumi wetu umeexpand sana.
GDP ya Tz ni $150bn, itakapofika 2025 tutakuwa na GDP ya $200bn usisikilize vijarida uchwara angalia financial muscles ambayo tunayo kwa miradi inayofanyika na maendeleo ya Tz ya ss in general.
 
Kama akili yako inaongelea matako na huyo mdogo wako je? 😅😅 Shida!!

Mbona usitumie Logic? Ukiwa na a business idea you first identify a niche (calculate market demand vs market supply)
Sasa wewe ukisema uweke electronic shop pale downtown kariokoo, uuze high end phones kina iPhone 13 pro max ya close to ksh 200k, badala ya kuuza vi tecno vya 10-15k si utakufa njaa?! 😅
Nenda kabishane na wapuuzi wenzako kibera uko
 
Watu wa kujibu tu bila kufikiria... I wasn't talking about production, cause we have a production plant here as well, do you Know what a "store" is ????!!! Is English that hard??
Kwahiyo kuwa na store na kuwa na kiwanda kabisa cha hizo nguo bora nn? We mkunya mpumbavu, hizo nguo zinatengenezwa Tz zinaletwa huko cz Kenya ni soko letu kubwa kwa ss, huoni tunaingiza pesa nyingi toka kwenu kutokana na biashara? Nowadays tunawauzia vitu vingi kuanzia raw materials, processed products mpk nguo. Juzi tu hapa kijana toka Tz Mr. Vunja bei kaingia mkataba na jeshi la Kenya kwa ajili ya kuwatengenezea uniform za jeshi.
 
Back
Top Bottom