The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,183
Sino truck is arranging truck assembly plant in Tzn
Ni ngumu sana kujudge but westy has an advantage ikifika Kwa entertainment and Shopping.Upper hill na westy ni wap ni bora zaidi
Wacha miadaratiTatizo lenu mkipata kitu kidogo mnachanganyikiwa Sana, do you know how big is "Ifakara research institute in Tanzania?, Just Google.
Basi zinazotumia stima zimeanza kutumika Kenya. Charging stations pia zimeanza kujengwa.
The best 007 ulisema kwamba hakuna kitu ambacho kiko Kenya ambacho hakiko Tanzania. Hebu nionyeshe basi ya umeme hapo Tanzania.
Cc Sama boy 255
Hizi basi zinatumia betri muda mwingi kisha baada ya masaa kadhaa ndio inachajiwa. Treni upande mwingine inahitaji constant supply of power kwa maana hakuna treni yoyote duniani inayotumia betri. Natumai umelewa tofauti hapo.Ninakumbuka mlisema kwamba mliamua kujenga reli ya diesel engines kwasababu Kenya hakuna umeme wa kutosha, Sasa mbona mnafurahia hizi buses zitapata wapi umeme?
Kwa mara ya kwanza EA itakuwa na train zinazotumia batteries powered technology na zitaanzia Tz zinaitwa Staddler.Hizi basi zinatumia betri muda mwingi kisha baada ya masaa kadhaa ndio inachajiwa. Treni upande mwingine inahitaji constant supply of power kwa maana hakuna treni yoyote duniani inayotumia betri. Natumai umelewa tofauti hapo.
Wewe jamaa fala sana... Sishangai kwkujiunga JF 2021... Unaleta habari za Potatoes...🤔🤔🤔
😆😆 hawakujua ilikua ni kwasababu tu ya corona.. sasa enzi ya corona isha zama, we are back on track..They really hate the truth and that's why you will never see a Tanzanian arguing using facts. I can remember when Knight Frank placed them above Kenya in terms of millionaires, they were making noise here Kila siku. This year wanakemea the same Knight Frank because it returned Kenya to her rightful position.
source ni Citizen Newspaper Tanzania.!
Wadauwanaosema eti mrusi Ndio kapigwa zaidi kwenye hii vita wanafaa wakachunguzwe akili
nani aliyeshabikia?Kumbe unajua,unashabikia kuuana kwa nini?
Wao wanajengewa vitu vya kipumbavu eti xpress way ambayo haitaajiri hata mkunya mmoja, na ambayo haitarudisha pesa na ambayo kimsingi hakuna mkunya maskini atatitumia, ila cc investors wanakuja kujenga miradi yenye tija kwa watanzania wote, baada ya elsewedy kujenga huu mradi wallahi nawaambia hii nchi itachomoka kwa speed ya light kwenye maendeleo.welcome egypt
Yah propaganda ni nyingi ila miundombinu ya ukraine imeharibiwa vibaya mnorussia wamekanusha, hawa wazungu na washirika wao kwa kifupi vita vimewashinda sasa wamebakia na propaganda na vita vya uongo