Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

inashangaza sana kuwa humu ndani, kuna watu wanashabikia urusi...!?
Kama inavyoshangaza kuna watu humu ndani wanashabikia mabeberu, mbn hao mabeberu hawaingilii pale Al shabaab inapowaadhibu wakunya lkn wanaenda kuingilia ugomvi wa Russia na Ukraine kitu ambacho hakiwahusu? Hapo maana yake wana interest zao na ndiyo maana kuna watu humu ndani wanaakili na wanapinga huo unyonyaji.
 
Ninakumbuka mlisema kwamba mliamua kujenga reli ya diesel engines kwasababu Kenya hakuna umeme wa kutosha, Sasa mbona mnafurahia hizi buses zitapata wapi umeme?
Kama wanavyosemaga wanahitaji green spaces ndiyo maana ka Nairobi kana msitu mnene lkn huo msitu ukikatwa ili kupisha ujenzi wa majengo wanashangilia, alafu hapo hapo utakuta wanajipa matumaini kwamba ka Nairobi kanawaka kuliko Dar isiyo na mapori.
 
Basi zinazotumia stima zimeanza kutumika Kenya. Charging stations pia zimeanza kujengwa.

The best 007 ulisema kwamba hakuna kitu ambacho kiko Kenya ambacho hakiko Tanzania. Hebu nionyeshe basi ya umeme hapo Tanzania.

Cc Sama boy 255

👆🏽 well put in the reporting, kenya has a total installed capacity of "2,995mw.." of electricity in 2022.....


(whereas tanzania 1,502mw, and uganda 1,317mw in 2022 )!😪😪

Screenshot_20220310-082012_Chrome.jpg
 
Japo Nairobi haizidi dar kwa high rise buildings but most times Tz huwa wanawaachaga Ke wawe na head start kidogo then tunakuja na vitu murua kama kwenye sgr. Magu stopped all building construction by government agencies but now we are back in style.
Do you even listen to yourself? So a population of 60M is waiting for the government to build high rises for them?😂😂😂 Kweli mnatumia 1% of your brain to reason🤣
 
Hiyo 8.5 million ndio inakaa kwenye 20% ya Kenyan land? I gathered that from the satellite images showing lit areas at night.
Yes Mr, while in Tz the 2.7M inakaa kwenye 95% of Tanzania land.
 
Kama inavyoshangaza kuna watu humu ndani wanashabikia mabeberu, mbn hao mabeberu hawaingilii pale Al shabaab inapowaadhibu wakunya lkn wanaenda kuingilia ugomvi wa Russia na Ukraine kitu ambacho hakiwahusu? Hapo maana yake wana interest zao na ndiyo maana kuna watu humu ndani wanaakili na wanapinga huo unyonyaji.

you can just tell from the comments from both ends.....

ie. technically speaking,
in here
Kenya is NATO and
Tanzania is the Soviet
 
Mzee these things are serious. Mama anatutaarisha. Hii vita isipoisha mapema shughuli yake itakuwa sio ya kitoto.

Maikilize jamaa wa FOX news anavyochambua hapa.


Mkuu watu washazoea propaganda za kudanganywa,mtu akielezea ukweli wa hali halisi ya dunia ilivyo sasa hawataki,hao ndio wale wanaosubiria hiace zao za pesa ya makinikia
 
You know how to bite their heads off.🤣🤣
They really hate the truth and that's why you will never see a Tanzanian arguing using facts. I can remember when Knight Frank placed them above Kenya in terms of millionaires, they were making noise here Kila siku. This year wanakemea the same Knight Frank because it returned Kenya to her rightful position.
 
inashangaza sana kuwa humu ndani, kuna watu wanashabikia urusi...!?🤔
Wauaji huwa hawakosekani,Hawa ndio walikuwa wanashabikia mauaji na kutekana awamu ya 5.

Na unfortunately Nchi zinazopigana ndio source kubwa ya tourists kwa Tzn,jamaa anashangilia tukipoeza Revenues z.

Screenshot_20220309-115209.png


Screenshot_20220309-115227.png
 
umewahi kuona mapigano gani ya kivita huwa wanakufa upande mmoja,au vifaa vya kivita vinaharibika upande mmoja ?

ulitaka vifaa vya Russia na Jeshi lake kwa ujumla kusitokee na madhara hata kidogo?,,

kwenye vita yeyote ile lazima mpunguzane ila mwisho wa siku lazima bingwa aibuke,na bingwa hupatikana baada ya uharibifu na madhara makubwa kutokea uwanja wa medani,

WAIT MDA WA HITIMISHO wa huo mgogoro ufike ndiyo tutajua nani ni nani na yupi ni nani siku zote mda huongea uhalisia wa mambo

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Kumbe unajua,unashabikia kuuana kwa nini?
 
Back
Top Bottom