Fundi kitasa
JF-Expert Member
- Mar 17, 2021
- 2,626
- 7,180
Huu ndio uwekezaji sasa part of kigamboni city sio wale jamaa wa tatu city sijui konza city
welcome egypt 👍👍🇹🇿🇹🇿🇹🇿
welcome egypt 👍👍🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Keep on dreamingWao wanajengewa vitu vya kipumbavu eti xpress way ambayo haitaajiri hata mkunya mmoja, na ambayo haitarudisha pesa na ambayo kimsingi hakuna mkunya maskini atatitumia, ila cc investors wanakuja kujenga miradi yenye tija kwa watanzania wote, baada ya elsewedy kujenga huu mradi wallahi nawaambia hii nchi itachomoka kwa speed ya light kwenye maendeleo.
Vita ni disadvantage kubwa kwa tourism ambayo ilikuwa ishaaza ku recover...sasa inabidi tutafute markets nyingine duhWauaji huwa hawakosekani,Hawa ndio walikuwa wanashabikia mauaji na kutekana awamu ya 5.
Na unfortunately Nchi zinazopigana ndio source kubwa ya tourists kwa Tzn,jamaa anashangilia tukipoeza Revenues z.
View attachment 2145236
View attachment 2145237
KaumiaKeep on dreaming

















Tuta tuta tuta. Hamchokangi with that song?Kaumia
Ndiyo uzuri wa nchi kuwa na watu wenye kipato kikubwa, alafu tegemea kuumia zaidi mana maelfu ya investors wanakuja ku invest Tz, nyie endeleeni na xpress way ya mchina![]()
Actually I'm enjoying the chorus cause I know they are always empty talks😂😂Pole![]()
Kuna kitu nimeanza kugundua kwamba ka Nairobi hakana built up area kubwa mana vipicha havitoki nje ya CBD mwisho ni vi estate mmemaliza











What is your point here,, where is Tanzana on the list?Tzn na Kenya hatuchekani when it comes to citizen welfare
View attachment 2145232
View attachment 2145233
View attachment 2145235
Nice viewkaratu arusha
View attachment 2145285
Kuna kitu nimeanza kugundua kwamba ka Nairobi hakana built up area kubwa mana vipicha havitoki nje ya CBD mwisho ni vi estate mmemaliza![]()



you don't need Rocket Science to better understand this.....Tzn na Kenya hatuchekani when it comes to citizen welfare
View attachment 2145232
View attachment 2145233
View attachment 2145235
Huoni asubuhi hadi jioni huwa inapostiwa picha za aina moja tu, huwa inabadilishwa engo na filters tu.![]()





hiyo ndiyo kazi yao kubwasema mombasa road ndo hatujaweka mkazo sana humu, otherwise ni kubwa ata shida cbd, nairobi hauwezi maliza ndugu yangu, nairobi inajengwa usiku kucha...Kuna kitu nimeanza kugundua kwamba ka Nairobi hakana built up area kubwa mana vipicha havitoki nje ya CBD mwisho ni vi estate mmemaliza![]()
Kwani shida ni ipi? Tunazungumzia welfare of citizens,majina ya Nchi sio muhimu hapa.you don't need Rocket Science to better understand this.....
list yenye SA ni no.6 na egypt ni secondlast last, aafu nchi tiny yenye haina influence ndo no.1.! ata wee unajua sababu mbona..
ona hapa👇🏼 united states ni secondlast, alafu Liechtenstein, nchi yenye hata jina tu kuiskia itakua ni balaa, ndo no.1.!!! kisha germany, japan, france yote hayapo.. sisemi kitu.. 🤫
View attachment 2145431
Point ni kwamba Tzn na Kenya hatuchekani wote tuko kundi moja hakuna wa kumtunishia mwenzie misuli.What is your point here,, where is Tanzana on the list?
Tulishapata hadi soko la horticulture Ukraine na Mwaka huu ilikuwa tuanze shipments ila ndio hivyo tena mambo yameharibika.Vita ni disadvantage kubwa kwa tourism ambayo ilikuwa ishaaza ku recover...sasa inabidi tutafute markets nyingine duh
Ulitaka source iwe uhuruto au?source ni Citizen Newspaper Tanzania.!
then whts the connection between kenya/tanganyika and that list.!!??.. aah?Kwani shida ni ipi? Tunazungumzia welfare of citizens,majina ya Nchi sio muhimu hapa.