Spare me your lecture, for your sake nitasema kwa kiswahili ya kwamba pia sisi tuko na kiwanda cha kutengeneza Levi Strauss kama ulivyo ona kwa picha nilizotuma hapo mbeleni
View attachment 2145925
View attachment 2145926Alafu ishu hata haikuwa ya viwanda in the first place. Nilikuwa nikiuliza kama huwa mnasema wakenya hawana pesa, nani huwa ananunua hizo executive jeans za pesa nyingi hivyo?? Some Levi's huanza kwa shilingi 4,500 mpaka 200,000 za Kenya!
Hata ni aibu kujua kwa mko na kiwanada ila zote zinauzwa ngambo hakuna local consumption hata kidogo.