Wanaosema kwamba sanctions haziwezi kuiaffect Russia muwache ujinga. Russia imeamua kuwacha kuuza foreign currency yaani dollar, Euro na kadhalika kuanzia sasa hadi September. Yaani kwa miezi sita zijazo wafanyibiashara wa Russia watakosa kabisa dollar wanapotaka kuitumia dollar kuimport mizigo. Mizigo nyingi huimportiwa kutumia dollar sasa sijui wafanyibiashara wa Urusi wanaotaka kuimport mizigo wataimport mizigo vipi? Halafu sio dollar tu, hata Euro, Yen, Yuan zote hazitauzwa Urusi kuanzia leo hadi September. Hio ina maana kwamba hakuna mfanyibiashara Urusi ambaye anaweza kuimport mizigo unless atumie gold au silver kama currency. Yaani kwa ufupi uchumi wa Russia umekufa. Sijui kwa nini baadhi ya Wabongo wachache hapa JF wanafikiri kwamba wanaweza kuwakingia beberu kifua na wabaki salama. Beberu akiamua kukumaliza atakumaliza tu kwa sababu wao ndio wanacontrol dunia. Hata pesa unayotumia kuimport mizigo (Euro,dollar) wao ndio wanacontrol.
Cc
joto la jiwe ichoboy01