In the next five years mahitaji ya umeme yatakuwa makubwa sana, hii investment yote itakuwa kigamboni na Huyu ni one investor, amesema kuna investors wengine kutoka Egypt wanataka kuja kuinvest! On top of that kuna industrial parks zinakuja kuanzishwa pwani hivi karibuni na mama juzijuzi alikuwa Dubai kuna investors wameshasaini mikataba kuja kuwekeza bila kusahau juzi kati GSM alinunua malori mengi kutoka kampuni moja ya China jina limenitoka, Hii kampuni imevutiwa sana na imesema inakuja kuleta assembly plant in TZ maana wanauza units nyingi.