Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We mbona huelewi ni kichwa ngumu wewe 😂😂 Dar na huo ukubwa wa 1500km2 ni jengo baada ya jengo in each and every direction all the way to Pwani region, sasa hako ka Nairobi 500+ ndio katawezana hata kama kutakua hakuna pori wala empty space.?
munasumbua akili zenu bure angalia pori ndani ya nairobi city area 🤣🤣👇👇
AEF49EF5-BADB-40C0-AF22-30B2B55AA181.jpeg
 
leo nimepita barabara ya kimara-kibaha kuna vitu kadhaa nimeviona/gundua
  • kuhusu BRT, kawaida kuna zege mbili, kulia na kushoto zinatenganisha BRT na barabara ya kawaida. Ila sehem ambapo kuna vituo kwenye barabara ya kawaida.. kwenye BRT (adjacent na hizo vituo) zege inakuwa moja ipo katikati sio tena kulia na kushoto (ila ni nene kidogo kucompare na zile za kushoto na kulia).. sasa sijui hapo ndo sehem ya kupanda na kushukia.
    au labda zinatoka kwenye lane yake then zinaenda nje kupandisha/kushusha watu afu zinarudi kwenye lane yake kuendelea na safari, but this is very dangerous
  • Pili, pale mbezi kwenye footbridge ya kuelekea Magufuli Bud Terminal, kushoto na kulia kuna jengwa flyovers/overpasses mbili.. ila hii ya kuelekea ubungo itakuwa matata sana.. kuna udambwi dambwi mwingi sana nimeuona.. nadhan itakuwa interchanges ya maaana, mana hapohapo kuna kale kaoverpass kinachoelekea kinyerezi au marambamawili. hapo kuna barabara nyingine inaenda kituoni, nyingine inaenda makabe, nyingine ndo uko maramba mawili
    hio overpass nyingine ya kuelekea kibaha hapo mbezi ni kwa ajili ya hasa mabus na magar mengine kuingia na kutoka Magufuli Bus Terminal
 
Hio pesa ni mapato ya Mkenya na Mtanzania wa kawaida. Sio mimi na wewe. Mtanzania anayepata mapato ya chini kama hio hawezi kuafford hata data bundle kila siku ya kuingia hapa JF. Na wala hawezi kupata muda wa hata dakika chache ya kuingia JF kila siku maana yupo busy kutafuta tonge la kila siku. Kazi ya ofisini au ya kujiajiri angalau unaweza kupata muda kidogo. Kwa kiasi kikubwa amini usiamini, watu wengi walio JF kimfuko hawako vibaya sana kwa maana watu walio vibaya na wala hata shule hawakuenda na hata kuandika pekee ni tatizo, isitoshe kuafford smart phone ni tatizo. So wewe na mimi sio watu wa kawaida na wala usidhani kwamba Mtanzania wa kawaida anaweza kupata muda wa kupoteza humu. So hizo average income za gni per capita ni average tu. Kuna watu wengi sana wanapokea mapato chini au juu ya hio average.
Umeongea vizuri na nimekuelewa vyema
 
leo nimepita barabara ya kimara-kibaha kuna vitu kadhaa nimeviona/gundua
  • kuhusu BRT, kawaida kuna zege mbili, kulia na kushoto zinatenganisha BRT na barabara ya kawaida. Ila sehem ambapo kuna vituo kwenye barabara ya kawaida.. kwenye BRT (adjacent na hizo vituo) zege inakuwa moja ipo katikati sio tena kulia na kushoto (ila ni nene kidogo kucompare na zile za kushoto na kulia).. sasa sijui hapo ndo sehem ya kupanda na kushukia.
    au labda zinatoka kwenye lane yake then zinaenda nje kupandisha/kushusha watu afu zinarudi kwenye lane yake kuendelea na safari, but this is very dangerous
  • Pili, pale mbezi kwenye footbridge ya kuelekea Magufuli Bud Terminal, kushoto na kulia kuna jengwa flyovers/overpasses mbili.. ila hii ya kuelekea ubungo itakuwa matata sana.. kuna udambwi dambwi mwingi sana nimeuona.. nadhan itakuwa interchanges ya maaana, mana hapohapo kuna kale kaoverpass kinachoelekea kinyerezi au marambamawili. hapo kuna barabara nyingine inaenda kituoni, nyingine inaenda makabe, nyingine ndo uko maramba mawili
    hio overpass nyingine ya kuelekea kibaha hapo mbezi ni kwa ajili ya hasa mabus na magar mengine kuingia na kutoka Magufuli Bus Terminal
Mm nikidhani brt kwenye kipande ichi zitakua express tuu zitakua zinasimama labda mbezi mwisho tuu
 
Elsewedy company from Egypt imeshapewa ardhi today kuanza ujenzi wa viwanda vyake almost 50+, gharama nzima will be 3 billion dollars na watanzania wapatao 40000 wataajiriwa directly and more than that indirectly. SOURCE: TBC ARIDHIO BUSINESS NEWS.
 
Back
Top Bottom