Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Burundi unajua Gdp yake ni $3 billion? Huwa mnatutishia na Burundi hadi nasikia kucheka. Gdp ya Kenya ni kubwa kushinda ya Burundi zaidi ya mara 35. Mradi ni tembo mweupe ukizingatia kwamba Burundi haina uwezo wa kifedha wa kujenga reli hio. Angalau DR Congo wana uwezo. Lakini jengeni tu yote ni maendeleo ya Afrika na sina tatizo nikiona Afrika ikisonga mbele.
Tembo mweupe! unachekesha do you know how much tonnage za madini Burundi ana ecport yearly pia Rwanda and eastern DRC? Sgr inaenda kubeba mzigo wote huo na pia bado on the Tanzanian side inapita kwenye alot of mining areas. Hapa tunapiga hesabu ya mizigo mizito ya mining sio hesabu za kitoto za kusafirisha blueband na mafuta ya kupikia.
 
Good morning ladies and gentlemen 😊

59292984_7.png
 
Burundi unajua Gdp yake ni $3 billion? Huwa mnatutishia na Burundi hadi nasikia kucheka. Gdp ya Kenya ni kubwa kushinda ya Burundi zaidi ya mara 35. Mradi ni tembo mweupe ukizingatia kwamba Burundi haina uwezo wa kifedha wa kujenga reli hio. Angalau DR Congo wana uwezo. Lakini jengeni tu yote ni maendeleo ya Afrika na sina tatizo nikiona Afrika ikisonga mbele.
Wana Nickel ya kutosha!
 
acha wivu.. sema sina tatizo nikiona Tanzania ikisonga mbele
 
So many Nairobians are cramped up in a small space hence the intensity of light increases.
Sikujua kwamba kiingereza chako ni kikali namna hiyo. Itakuwa wewe ulisomea zile shule private hapo Dar, hukusomea shule za serikali.
 
KUNA FLY OVER UGANDA UNDER CONSTRUCTION..IKIKAMILIKA ITAKUWA SMART KULIKO UBUNGO...NDIO MAANA HUWA NAJIULIZA ...MBONA WA TZ WASINSHINDANE NA UGANDA NA RWANDA WHO ARE THEIR PEERS IN MATTERS DEVELOPEMENT WAACHANE NA SISI TUSHINDANE NA NIGERIA EGYPT AND SAUZ AFRICA
 
Durban ni ndogo Sana kulinganisha na Nairobi. Kwani Baba levo hakuwaambia Nairobi ni kama New York.
 
Hio imetosha kuwaokoa. Nickel ina uhaba mkubwa sana kwa sasa. Wakikosa investors hata afadhali wachukue majembe waende wakaifukue tu. Hahaha.
Mzee as mtu wa Finance unatakiwa uache hizi wivu ndogondogo, huwezi jua labda Mchina au EU wanataka ku-finance hii maneno? Burundi si wajinga kusaini huu mradi!
 
Tembo mweupe! unachekesha do you know how much tonnage za madini Burundi ana ecport yearly pia Rwanda and eastern DRC? Sgr inaenda kubeba mzigo wote huo na pia bado on the Tanzanian side inapita kwenye alot of mining areas. Hapa tunapiga hesabu ya mizigo mizito ya mining sio hesabu za kitoto za kusafirisha blueband na mafuta ya kupikia.
Sawa mzee umejieleza vizuri. Nasikia hata Burundi wana Nickel. Hamna shida jengeni tu.
 
Sipo sure kwa sababu hii ni breaking news lakini kulingana na ninachosoma Twitter ni kwamba all foreign currencies haziwezi kununuliwa Russia hadi September. Transactions zote lazima zifanywe kwa kutumia rubles. Wacha nitaconfirm kesho kama yuan pia imezuiliwa. Lakini hata kuzuiwa kwa dollar na Euro pekee bado ina impact kubwa sana kwa uchumi wa Russia ukizingatia kwamba Russia huwa inaimport technological products and machinery hususan kutoka Germany na The West in general.

Russia will one day regret their invansion.Today China is refusing to trade in Ruble,in some markets Ruble has reached 154 per USD.In short Russian may enter economic ressssion in their history.
 
Back
Top Bottom