Yamungu Athumani
JF-Expert Member
- Apr 23, 2016
- 1,383
- 3,257
Nyamhongolo Bus Terminal 100% done
Hapo Wakenya Tulisha Wapiga 0 Kwa 10000
Nyamhongolo Bus Terminal 100% done
No wonder tukipost video humu hawaangalii.🤣🤣🤣
Lakini bado utaulizwa huo umeme wa rufiji mtautumiaje heheElsewedy company from Egypt imeshapewa ardhi today kuanza ujenzi wa viwanda vyake almost 50+, gharama nzima will be 3 billion dollars na watanzania wapatao 40000 wataajiriwa directly and more than that indirectly. SOURCE: TBC ARIDHIO BUSINESS NEWS.
Njaa mbaya.Hahaha. Lorry ya mchele imeanguka. Kila mtu anajibebea gunia ya mchele.
Hizo zote zimenunuliwa na bwana yule walichofanya ni kubadili aina kwa kuleta Max but Magu mwanaume bhn, ila pia Mama naye Nampa kongole kwa kuendeleza Yale mazuri yote ya bwana yule, ofcz nikiwa pale JNIA huwa Nina furaha kuu ni apoona madege yetu ya kupendeza yanapiga kazi huwa nafurahi sn kiasi kwamba siwezi kuelezea furaha yangu.Max zimmerudi kimya kimya! Wale wale waliokuwa wanamponda bwana Yule kununua ndege leo wanashangilia ndege zikinunuliwa na mama Yule!
Acha umama na mitusi tu, huwezi kuwa mature for once? Ukishindwa grow some balls and accept like a man, don't be stupid ranting insults😅😅🤣🤣Unataka kuijua Dar kupitia picha tu 😂😂😂 toka porini uko pungu wewe
Hatimaye Dar imerudi kwenye sifa yake ya untouchable in high buildings in East and Central Africa.
If the built up area is 1500 km² then does that mean 2/3 of the area is total darkness??! That makes sense considering the kind of complaints to TANESCO, No power..Wacha kulazimisha fikra zako za kipuuzi wewe punguani, built up area DSM ni 3× larger than Nairobi, ndio kuna uplaned settlements nyingi lakini hiyo haibadilishi maana ya kwamba eneo la jiji la DSM lililojengwa ni 1500km2.. satellites ndio zitabadilisha ukweli au.? 😂😂, Dar iko na green spaces nyingi tu ila sio mapori kama NAIROBI, mji unatakiwa kuwa na green spaces sio misitu kama uko kwenu
Your explanations do not matter at this point cause we do have built up areas so large and so many as well but we choose not to mention. By your explanations, Nairobi should have a lit area about a third of Dar, but does this image look like a third?Mwambie kuanzia Posta hadi Mapinga ambao ni mpaka wa Dar na Mkoa wa Pwani, Bagamoyo hakuna gap ni jengo baada ya jengo. Pia mwambie kuanzia Posta hadi Kibaha ambao ni mkoa wa Pwani tena hakuna gap, ni jengo baada ya jengo. Vile vile kutoka Posta hadi Kongowe,Mwandege huko ambapo unaingia tena mkoa wa Pwani hakuna gap!
Kwa Mambo ya high rise ndio msahau kabisa Sasa. Bado mko level ya Rwanda.Hatimaye Dar imerudi kwenye sifa yake ya untouchable in high buildings in East and Central Africa.
the overrated daresalaam is a minionAcha umama na mitusi tu, huwezi kuwa mature for once? Ukishindwa grow some balls and accept like a man, don't be stupid ranting insults
Do you think this is an error? Nairobi got you Yip yappin here like a lil bish
View attachment 2144900


Hata ukilia haitosaidia, Tz inaongoza ktk suala electricity connectivity in Africa co tu EA pekee bali kwenye suala la umeme hasa vijijini hatushikiki.Good evening ladies and gentlemen. Let's remind ourselves that Tanzania with a population of 60+ million has only 2.7M customers connected to electricity while Kenya with a population of 47M has 8.5M customers connected to electricity
View attachment 2144927
View attachment 2144928
EU imesema itapunguza kwa 2/3 by the end of this year Ili kuondoa kiburi cha hiyo karagosi wenu Putin.Peleka Upumbavu wa kutojua transaction zote za Russia za mauzo ya gesi, metals, silaha, technology na mafuta kwa nchi za EU n global zitakuwa wired kupitia UnionPay ambayo ipo dunia nzima kama swift!
Usiwe zuzu wa kusema EU inaweza kuipa sanction Russia wakati ni main source of her energy needs. Tayari France na Germany wanapinga oil embargo!
![]()
China's Xi conveys to France, Germany opposition to Russia sanctions
Chinese President Xi Jinping on Tuesday voiced opposition to punitive sanctions on Russia by Western countries over its attack on Ukraine during a trilateral video summit with his French and German counterparts, state-run media reported.english.kyodonews.net
![]()
European leaders wary of cutting off Russian oil, gas
Quickly cutting off energy revenues with oil and gas embargoes would hit Moscow where it hurts. But European leaders have argued for a phased approach, openly admitting their dependency on Russian energy supplies.www.dw.com