Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

imagine a client presents you with his very tiny small piece of a plot, then he tells you he wants as many rental units as posible....
hope this concept will atleast work for him. wazo lenu pia muhimu sana.
nb: ntavuta hili post before morning View attachment 2143824View attachment 2143825
Stable engineering architecture at work. Jamaa wanajiita stable lakini mnatengeneza unstable building
 
Skia we tahira NairobiWalker Kinondoni District 537 km2 + Ilala District 365 km2 = 902 km2 .. Nairobi 692 km2-117 km2 za mbuga= 575 km2 .. therefore

2 districts of Dar es Salaam has 902 km2
While
the entire NAIROBI has about 575 km2.

And mind you Dar es Salaam has 5 districts which are
1.Kinondoni District
2.Ilala District
3.Ubungo district
4.Kigamboni District
5.Temeke district
Unataka kusema nini tahira.?
na katika hio 575 nusu yake ni pori bado 🤣
 
Tony254 bado unatafuta matumizi ya umeme wa Nyerere Dam?

Zaidi ya kilometers 1000 za electric SGR cutting across Burundi to DRC na ile ya Rwanda zitatumia umeme wa Tanzania tena usishangae zikatumia mpaka trains za TRC sababu najua chumi za hizi nchi haziwezi kugharamia in ujenzi wa SGR na kununua coaches and locomotives

Naona TRC ikichukua lion share kwenye hii regional project, Tanzania domination is so visible here kwenye regional logistics
Kwenye mikataba wawe makini isiwe kama ya reli ya TAZARA maana Zambia kama wanapewa favour sana . Lakini reli haitumiki effective
 
That skyline
Ov08a56.jpeg
 
Skia we tahira NairobiWalker Kinondoni District 537 km2 + Ilala District 365 km2 = 902 km2 .. Nairobi 692 km2-117 km2 za mbuga= 575 km2 .. therefore

2 districts of Dar es Salaam has 902 km2
While
the entire NAIROBI has about 575 km2.

And mind you Dar es Salaam has 5 districts which are
1.Kinondoni District
2.Ilala District
3.Ubungo district
4.Kigamboni District
5.Temeke district
Unataka kusema nini tahira.?
Let me ask you a simple question and I hope you answer like someone with a brain.

Dar es Salaam was 1500sq.km in 1960, it is still 1500sq.km in 2022. Can we say Dar es Salaam has not grown in size since 1960?
 
Unawashwa so bure, Dar yote Ina nyumba kila mahali hakuna msitu wala pori, usije ukajidanganya hata siku moja, NAIROBI 692 km2 -117 km2 za mbuga= 575 km2 iko na ukubwa sawa na Kinondoni District 👇View attachment 2143835 ikifuatiwa na Ilala District with 365 km2 and mind you Dar has 5 districts ful of buildings .. kino District pekee ni kubwa kuliko Nairobi yote, Kino hakuna pori wala msitu..
Your city lacking a forest isn't something you should be celebrating bruh. You should be crying instead.
 
KUNA FLY OVER UGANDA UNDER CONSTRUCTION..IKIKAMILIKA ITAKUWA SMART KULIKO UBUNGO...NDIO MAANA HUWA NAJIULIZA ...MBONA WA TZ WASINSHINDANE NA UGANDA NA RWANDA WHO ARE THEIR PEERS IN MATTERS DEVELOPEMENT WAACHANE NA SISI TUSHINDANE NA NIGERIA EGYPT AND SAUZ AFRICA
Mshindane nao kwa slums, corruption, hunger and rosy gdp figures?
 
Russia will one day regret their invansion.Today China is refusing trading in Ruble,in some markets Ruble has reached 154 per USD.In short Russian may enter economic ressssion in their history.
If necessary steps are not taken soon to repair the damage Russia will be worse off than at the time of the breakage of USSR.
 
Kwenye mikataba wawe makini isiwe kama ya reli ya TAZARA maana Zambia kama wanapewa favour sana . Lakini reli haitumiki effective
Tukishamaliza kuunganisha Rwamda Burundi na Congo tutaunganisha pia na Uganda and lastly our dear neighbours up north ila shida itakuwa kwenye stima na fish joints maana operational and maintenance costs zitaongezeka if we join our rail na Kenyan SGR.
 
KUNA FLY OVER UGANDA UNDER CONSTRUCTION..IKIKAMILIKA ITAKUWA SMART KULIKO UBUNGO...NDIO MAANA HUWA NAJIULIZA ...MBONA WA TZ WASINSHINDANE NA UGANDA NA RWANDA WHO ARE THEIR PEERS IN MATTERS DEVELOPEMENT WAACHANE NA SISI TUSHINDANE NA NIGERIA EGYPT AND SAUZ AFRICA

Ndo mliambiwa mkiandika hivi kwa uchungu ndo Watanzania watajisikia vibaya au kujiona dhaifu!
Jaribu tena maana baaaado.

Stupidi mankii ninyi.
 
Let me ask you a simple question and I hope you answer like someone with a brain.

Dar es Salaam was 1500sq.km in 1960, it is still 1500sq.km in 2022. Can we say Dar es Salaam has not grown in size since 1960?
Has grown in built up spaces but has not entirely exhausted the demarcated area though there are plans to increase the area as Dar is implementing a DMDP (Dar es salaam Metropolitan Development Project)
 
Back
Top Bottom