Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 15,300
- 33,626
Alidanganyana na wenzake wakati wanakunywa chang'aa huko kibera ya kuwa wanaizidi durban kwa gdpEti Tony254 wewe ndio unaitaka hii battle.? Durban GDP 👇View attachment 2141993vs NAIROBI GDP 👇View attachment 2141994. Durban pekee Ina uchumi unao karibia a sawa na Kenya nzima.. 😂😂😂 Tony unataka battle na Durban.?
