Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Heb fanya research sutaki kujiabisha leo, usiwe na tabia ya kuzungumzia vitu usivyovijua
Nipo 100% sure ninachozumgumzia. Durban city ambayo iko Kwa Zulu Natal province ina gdp ndogo kushinda Nairobi. Ina watu wachache kushinda Nairobi. Kinachoisaidia ni port of Durban ambayo ni the biggest port in Sub Saharan Africa lakini Durban city yenyewe ni kadogo sana. Kama unataka battle basi tuanze sasa hivi. Leta facts zako mimi nilete zangu.
 
Nipo 100% sure ninachozumgumzia. Durban city ambayo iko Kwa Zulu Natal province ina gdp ndogo kushinda Nairobi. Ina watu wachache kushinda Nairobi. Kinachoisaidia ni port of Durban ambayo ni the biggest port in Sub Saharan Africa lakini Durban city yenyewe ni kadogo sana. Kama unataka battle basi tuanze sasa hivi. Leta facts zako mimi nilete zangu.
Unajua kwamba Durban iko na population 3.1 m.?
 
SHABBIY LINE

wakenya mnaona vitu beauty n classic,hakuna mambo mengi sijui mataa taa ya njano,pink na blue kama tuko disco kiasi cha kwamba ukiingia kwenye nganya zenu kupitia marangi rangi mnayoweka mpaka kichwa kinauma
FB_IMG_1646646276133.jpg


Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
aloo.. durban bado sana kwa nairobi

View attachment 2141691View attachment 2141692

vs the very best of dar

View attachment 2141693
Kwnn huwa mnapenda unfair competition? Alafu nashangaa watu wanakupeni air time kizembe zembe, yn mji hauna miundombinu ya kisasa uende ukafananishe na miji ya watu iliyojengwa since 60s? Mji hauna BRT, electrified SGR, modern Airport wala modern bus terminals mnakwenda kushindanisha na miji ya kisasa hamuoni aibu? Alafu watu nao wanawajibu kabisa, mbn cc Dar ina modern infrastructures lkn tumekausha? Wacheni ujinga.
 
zwazwa amekasirika baada ya kuskia safaricom umiliki ni huu😂😂🤣👇👇
nye nye nye kelele nyingi wakat investors wa nje wanapiga pesa wanakimbiza kwaoView attachment 2141818
Tuseme Itakuwa around 40%, 35% GoK na 5% Kunyans! BTW kuna 2 Tanzanian brothers wana significant shares!



Kawivu kanawasumbua, Kumbe hii Safaricom inawakera sana eh...


Kwenye hio 25% ya free float Wakenya na kampuni za Kenya kwa jumla zinamiliki 50%, Kampuni za kigeni ambazo top 5 zinatoka Canada, USA, Russia, Germany zinamiliki kama 45% Alafu wanabiashara binafsi kutoka nchi za kigeni (Ambapo hao kina Rajabali Brothers ndo wanaingia) wote kwa ujumla wanamiliki 0.4% ya 25% ya safaricom.
1646643044903.png


ALafu ukumbuke Mbali na Shareholding, usisahau safaricom iko na wafanyikazi zaidi ya 6,000 amabao wanapokea mshahara directly, Wanalipa advertisments za mamilioni ya dollar kwa kampuni nyengine za Kenya.... etc etc


Na usisahau kwa kila Call, SMS, Mpesa Transaction, kuna kodi ambayo Safaricom inalipa Serekali, Alafu juu yake ndo unaongeza na ile 35% shares za profit inarudi kwa serekali kila mwaka....

Kwa mfano, mwaka wa 2018, Serekali ya kenya ilipata $400 Million kutoka kwa Safaricom directly!!!!! Niambie ni kampuni ngapi Tanzania zinaweza unganishwa zifikie karibu na hapo 😅

he Treasury has emerged as the biggest beneficiary of Safaricom’s runaway profitability, with initial calculations showing it will walk away with half of the Sh80 billion pre-tax profit that the telecoms operator made.

The telecoms operator is set to pay the Treasury Sh40 billion in taxes and dividends for the financial year ended March 2018, setting a new record in the amount of money a single corporation has contributed to the Exchequer in Kenya.

Safaricom yesterday announced a 14.1 per cent increase in net profit to Sh55.3 billion for the year ended March 31, having grown its total revenue by 9.8 per cent to Sh233.7 billion, a record in corporate Kenya.

Safaricom’s filings show that it has paid Sh24.62 billion in taxes for the financial year in review.

Dividends

The telecoms operator said it intends to pay shareholders a dividend of Sh1.10 a share, up from Sh0.97 the previous financial year, taking the total payout to shareholders this year to Sh44.1 billion from Sh38.9 billion paid out the previous year.

This means that the government, which holds a 35 per cent stake in the company or 14.02 billion shares, will walk away with Sh15.42 billion in dividends.

Safaricom paid the Treasury Sh22.2 billion in taxes and a dividend of Sh13.6 billion the previous year.

South Africa’s telecoms operator Vodacom, which holds a 35 per cent stake in Safaricom, is also waiting for a Sh15.42 billion dividend cheque. The UK’s Vodafone, the parent company, is set to earn Sh2.2 billion from its five per cent stake in Safaricom.
 
Nilikwambia ufanye research kabla hujaleta hoja yoyote kuhusu Durban Tony254 yani ni NAIROBI nne ndio sawa na ukubwa wa Durban NAIROBI 👇
Screenshot_20220307-124720_1.jpg
vs Durban 👇
Screenshot_20220307-124622_1.jpg
sijaja kukuaibisha
Nipo 100% sure ninachozumgumzia. Durban city ambayo iko Kwa Zulu Natal province ina gdp ndogo kushinda Nairobi. Ina watu wachache kushinda Nairobi. Kinachoisaidia ni port of Durban ambayo ni the biggest port in Sub Saharan Africa lakini Durban city yenyewe ni kadogo sana. Kama unataka battle basi tuanze sasa hivi. Leta facts zako mimi nilete zangu.
 
allow me to task you pipo with 1 assignment today.. hebu funga macho sahii na u imagin dar bila bldng tatu za blue... coz what will come to your mind will realy suprise you...

...in your vision, you'll be able to see either mogadishu, kismayu or kabul


ona.. hii hapa
View attachment 2141885
Just imagine ka Nairobi bila hivyo vijengo vya mchina, hebu vitoe kwa macho yako alafu nipe jibu
JamiiForums1818513224.jpg
 
We chizi umesoma shule Gani.? Ulisoma history ijapo kidogo.? Unaujua uchumi wa Russia au unajua uchumi wa Russia kwa data za IMF.? hakuna NATO wala upuuzi Gani ambao wako na guts za kujibishana na Russia, Mwanaume alishasema kanchi kokote katakachotia pua atakanyoosha dunia ilie whether ni mwanachama wa NATO or not.. na mpaka leo UKRAINE anakula dozi na hakuna wa kumsaidia.. usicheze na nchi za ki communist wewe

Mwanamme mzima jasusi namba moja kutishia kulipua watu na kombora la Nuclear wakiingilia vita kati ya Russia na Ukraine ni jambo la kusikitisha sana, nilitarajia Weak strongman kama North Korea kutoa matamshi kama haya lakini si mtu wa kuheshimika kama Putin..... Vitisho vingi ni sign of weakness, not strength,

Hivi unajua kwamba Marekani ilipovamia Iraq wakidai Iraq iko na Weapons of Mass Distruction, Marekani ilishtumiwa vikali na nchi zengine? Hivi unajua wakati huo ndo kulikua na the biggest Anti-War campaign in the world, kushinda hata hii anti-War campagn inayofanyiwa Russia sahii??? Uliskia marekani ikitishia mtu yoyote ambaye alimpinga??? Uliskia marekani ikitaja neno nuclear???? Russia siku ya tatu ya vita tayari walikua washaanza kutishia kutumia nuclear kwa yeyote atakayeingilia vita.


Alafu uliza mtu yeyote ambae ameshawahi kufika Russia, atakwambia nje ya miji mikuu, Russia ni kama 3rd world Country, Hawana uchumi wa kulingana na IMF na pia hawana uchumi kulingana na warusi wenyewe, Ingekua si Oil na Gas Russia ingekua nchi hafifu sana....
 
Eti Tony254 wewe ndio unaitaka hii battle.? Durban GDP View attachment 2141993vs NAIROBI GDP View attachment 2141994. Durban pekee Ina uchumi unao karibia a sawa na Kenya nzima.. Tony unataka battle na Durban.?
Mm nashangaa mnavyowapa air time kuhusu Deben vs Ka Nairobi, ni mbingu na ardhi. Inatakiwa mkiona wanaanza kuongea upumbavu wa kulinganisha ka slum town Kao na miji ya watu iliyopangiliwa basi muwe mnawaacha wajiconsole wenyewe mana wengine huwa tunaona kinyaa hata kuongelea huu upuuzi.

Kamji hakana reliable public transportation, kamji hakana modern infrastructures ndiyo mkaifananishe na Deben, mkiwajibu kesho watataka battle na Joburg wasenge hawa, muwe mnawaacha na upumbavu wao.
 
Back
Top Bottom