ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Tazama jinsi Sukhoi 34 ilivyoangushwa huko Kharkiv Ukraine.
Tazama jinsi Sukhoi 34 ilivyoangushwa huko Kharkiv Ukraine.
kwanini sasa hataki tena vikwazo 😂😂
naskia gas imepanda kwa gharama kubwa haijawah kutokea ulaya 🤣🤣🤣🤣Nilisema hivi vikwazo havitadumu miezi 6 maana vitavunja jumuiya ya umoja wa ulaya!
note tht whatever dilutes nigeria's otherwise big economy is actualy the number of people in tht country. the same case apply to India. whenever u look at gdp size, also look at the number of pple that share tht cake. so usiwai jaribu kulinganisha tz na ke. we re both traveling in opposite directions.. tht wht id reffer to as parallel programme..Ili uheshimike na GDP yenu lazima muhakikishe i na reflect kwa ground...siumeona ulivyo uhanya mji ya tatu SA, kwasababu kuna reality kwa ground...ila hatuwez kurespect ata Nigeria kutokana na ilivyo ya hovyo kwa ground
naskia gas imepanda kwa gharama kubwa haijawah kutokea ulaya
Rubbish 🚮🚮rudisha mrija wa nya uende kwenye kalio kwanza alaf utanijibu
Ukraine hawana SU 34. SU 34 ni modern jet na Russia imeuzia nchi chache mno. Na Russia haiwezi uzia adui wake modern jet kama hio. By the way, hata SU 35 imeangushwa. Leo SU 30 imeangushwa. Wewe baki hapo ukichekacheka. Nenda twitter kafuatilie kwa undani.su 34 zipo mpaka ukraine millitary 🤣🤣🤣
naskia gas imepanda kwa gharama kubwa haijawah kutokea ulaya 🤣🤣🤣🤣
country’s economics over ukraine lives
yule rais wa ukraine soon ataambiwa na anaowategemea wamsaidie asurrender kwa Putin
Vitu kama hivi ( brt, catenary cables ovet rail, cable cars etc) hapa east africa utakuta Tanzania tuu. Anayebisha aje hapa.Cape town umepiga hatua sana kuna kila aina ya usafiri unaojua ww dunia hii kasoro punda na bodaboda tuTony254 Safari ni ndeefu sana ku catch up tu kwa hawa Capetown Ila tukijukaza tunafikaView attachment 2142387View attachment 2142388electic buses
View attachment 2142389
BRT systemView attachment 2142391View attachment 2142392View attachment 2142393old commuter rail View attachment 2142396new commuter rail
View attachment 2142401View attachment 2142399city sightseeing buses
View attachment 2142402View attachment 2142404View attachment 2142405
Leo ni siku ya 12. Mbona wiki mbili zimekweisha na Russia hakuna alichokifanya. Alidhani atateka Kiev kwa siku mbili ndio maana ule msafara mrefu kaskazini mwa Kiev umekwama kwa kukosa mafuta. Sio vizuri kudharau adui yako. Msafara huo umekwama kwa siku sita sasa. Ukraine wanastahili kutuma jets kadhaa walipue kabisa huo msafara uliokwama.Akuna cha mana apooo hao hawachukui wiki mbili kazi itakuw imeishaaa
country’s economics over ukraine lives
yule rais wa ukraine soon ataambiwa na anaowategemea wamsaidie asurrender kwa Putin
propaganda za waume zenu sisi tunazijua 🤣🤣🤣🤣🤣Ukraine hawana SU 34. SU 34 ni modern jet na Russia imeuzia nchi chache mno. Na Russia haiwezi uzia adui wake modern jet kama hio. By the way, hata SU 35 imeangushwa. Leo SU 30 imeangushwa. Wewe baki hapo ukichekacheka. Nenda twitter kafuatilie kwa undani.
ww vita hujavijua bado hawez kuingia kiev akapiga ikiwa ukraine inazuia raia kuindoka ndio maana imetoa tamko wakazi wote wa kiev waondoke ila huyo rais wa ukraine anawazuia kama ngao ya russia kutopiga kiev ila soon utaniambia tu ntakutag usijal😂😂Leo ni siku ya 12. Mbona wiki mbili zimekweisha na Russia hakuna alichokifanya. Alidhani atateka Kiev kwa siku mbili ndio maana ule msafara mrefu kaskazini mwa Kiev umekwama kwa kukosa mafuta. Sio vizuri kudharau adui yako. Msafara huo umekwama kwa siku sita sasa. Ukraine wanastahili kutuma jets kadhaa walipue kabisa huo msafara uliokwama.
Kumbe hujui kuhusu scandal ya Modema.Reuters mzee..
American Moderna. corona vaccine manufacturing plant to be built in kenya. the only vaccination facility in africa
View attachment 2142486



🤣🤣🤣🤣👇👇👇
Fuatilia BBC wapo "Live" katika miji ya Ukraine, wanasema ukweli achana na hizo twitterFuata hizi nyuzi kwenye twitter ujionee. Kuna huyu anaitwa Rob Lee na kuna nyingine inaitwa Ukraine Weapons tracker. Utaona jinsi Russia anavyopigwa vita takatifu.