Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Daaadeki !!! 😲. Sikujua kwamba Safaricom has the second biggest market capitalisation in Africa. Market cap ya Safaricom ni kubwa kushinda kampuni zote Africa isipokuwa MTN? Wow, imeshinda hadi Dangote kwa market cap.
Watanzania hatupo ligi yenu, wacheni kulazimisha ligi na sisi. Tumewashinda kwa Mbali. Kampuni ya Kenya ni ya pili kwenye market capitalisation Afrika nzima halafu nyie Malazy mtaitisha ligi na sisi? Mtatuweza kweli? Private sector ya Kenya hususan service industry ya Kenya ni strong sana.

Cc Geza Ulole joto la jiwe The best 007 Sama boy 255 tuusan ichoboy01
nani anamiliki safaricom?? au hujui kuna investors hapo wanatengeneza pesa kama wendawazimu ndio maana hamuna hata ushindani kwenye telecommunication sector😂😂😂
 
60% owned by Kenyans.
labda munamiliki usingizi tu 🤣🤣🤣🤣
42327BCA-A307-4B6A-9260-AEC6C7D29353.jpeg
 
Data zinaonesha Tanzania ina wanafunzi 400 Ukraine, wengine wako wapi?

Maria دوبوفيكوفا Dubovikova (@politblogme) Tweeted:
... 45 - of Jordan, 16 - of Pakistan, 15 - of Tunisia and 14 - of Zambia in Sumy.

Muulize mpiga mabomu Putin na Mashabiki wake ccm government.
 
zwazwa amekasirika baada ya kuskia safaricom umiliki ni huu😂😂🤣👇👇
nye nye nye kelele nyingi wakat investors wa nje wanapiga pesa wanakimbiza kwao
D25BA9D3-0A12-4483-9DE0-0722A6DAD2C8.jpeg
 
Usiichukulie Russia poa ni taifa lenye nguvu ya kijeshi,muulize German hata vikwazo yeye hajamwekea,nani azuie bidhaa zake ovyo ovyo.
German haijaweka vikwazo sababu kuna bomba la gesi kutoka Russia hadi Germany, Bomba hilo linachangia 40% ya matumizi ya gesi ya Germany, kwahivyo Germany haina budi ila kuwa mpole, Si kwasababu eti inaogopa majeshi ya Russia.... Kumbuka Germany ilitingisha dunia nzima waakati wa Hitler na kwa sasa uchumi wao ni mara tatu wa Russia.... Na isitoshe Germany iko ndani ya NATO kwahivyo hawaezi tishiwa hivi hivi na mtu yoyote. Kama ka nchi kama Poland kanasema kako tayari kupeana ndege zake za kivita zitumiwe na ukraine, Poland nchi ambayo haiko ata top 100 kijeshi, lakini vile wako chini ya NATO ndo inajua Russia hawezi tubuthu kuivamia labda awe ako tayari kutumia nuclear
 
Back
Top Bottom