Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ujinga kama huu unafanyika huko Western sana.
sasa mbona msiwatoe tongotongo? Au anafikiri anaweza dandia mpaka Nairobi? Ila Wakenya mmezidi mara wengine wadandie ndege mtakuja kudandia missile siku!
 
Lakini ripoti zinasema 1977 hadi 1977 Putin alikua Bagamoyo kufundisha wanajeshi wa nchi za mstari wa mbele kupigania Uhuru wa nchi kusini mwa Africa
Kwenye speech ya mganangwa kwenye kifo cha hayati Magufuli alisema camp ya bagamoyo ilianzishwa 1963 na walikua na watu kutoka flerimo wa Msumbiji .

Walikua around 50 something , hivyo hiyo camp ilikuwepo na very possible putin alikuja kutrain freedom fighters .

Anayebisha aangalie hiyo speech kuanzia dakika ya 13 ipo youtube
 
Kwenye speech ya mganangwa kwenye kifo cha hayati Magufuli alisema camp ya bagamoyo ilianzishwa 1963 na walikua na watu kutoka flerimo wa Msumbiji .

Walikua around 50 something , hivyo hiyo camp ilikuwepo na very possible putin alikuja kutrain freedom fighters .

Anayebisha aangalie hiyo speech kuanzia dakika ya 13 ipo youtube
Wacha uongo wa kitoto. In 1963 Putin alikuwa kijana mdogo wa miaka 11.

Cc Munjombe
 
Tatizo lililopo in the last 20 years the West i.e. NATO members economic systems have increasingly been heavily dependent n deeper entrenched on Russian resources i.e. economy completely aligned to Russia Federation to an extent of Putin now calling the shots.

Therefore they look at this crisis in the eyes of war beyond Ukraine n it's consequences i.e. colossal losses as the least they will get in the aftermath of huge economic destruction is China's coronation as unchallenged global economical super power!

FYI They will be no more EU if war is to start with NATO involvement. For them they will rather let Ukraine be occupied. Let Ukrainians understand that n stop being to hopefully! The other thing is a mistrust between the US n the UK in one hand n the EU in the other hand. Believe me the US n her crime partner the UK r silently anti-EU.

What to be further noticed; even the UK with her own reserves is not an exception from european addiction to Russia's resources.

here we go...




CC: Tony254 n others
 
Kenyans wazee wa diplomacy 😂😂😂 Tony254 wakati unasoma uhasibu ulidharau kusoma history. uku kwetu history ni mandatory subject, lazima usome history kwa level ya class 1-7 na secondary school form1-4.. kwahyo kwa mtanzania yeyote aliekaa vizuri darasani ni lazima anajua history ijapo kwa uchache.. nimeona uki claim kenya kuizidi tz kwenye diplomacy 😂😂 Eti kwasababu kenya kuna embassies nyingi kuliko Tz, kwani Tony wewe haujui kwa taifa lolote lenye kiongozi kibaraka/taifa malaya ndio taifa pendwa kwenye macho ya mtu mweupe.? Ulifkir wazungu wangeweza kupafanya tz makazi kwao kwa wingi huo.? while tunawakosoaga na hatuungi mkono upuuzi wao mwingi mwingi.? Ni kawaida ya Westerns ku disvalue mataifa yasiyounga mkono sera zao since wao wamekua ni world leaders for so long. Hata kesi ya sisi kuonekana kuzidiwa na nyie kiuchumi sio suala la eti nyinyi mko na akili sana au ni hardworking sana kutuzidi lahasha.! It's just because you're supporting the western stupidity and them agendas, na ndio maana favors zote mlipataga, kuanzia kwenye investments and everything, but I want to tell you something Tz ndio taifa lenye viongozi wenye akili zaidi hapa Africa na wazungu wanalijua hilo..
 
Wachina (ur masters) wanaowajengea Nairobi express highway wanakula nyoka! What do u have to say?
Have you seen the villages in those videos so primitive and they near Dar... No roads no development no nothing
 
Westlands

1646574795883 .jpg


1646574824581 .jpg
 
Back
Top Bottom