Usiichukulie Russia poa ni taifa lenye nguvu ya kijeshi,muulize German hata vikwazo yeye hajamwekea,nani azuie bidhaa zake ovyo ovyo.Hii picha ishaduduliwa kua uongo, na katika kupigania ukombozi wa Africa hakuna nchi ilipewa sanction, kwahivyo usilete Mambo ya zamani hapa kama mifano....
Nyinyi si ni marafiki na Iran, mbona hamjawahi kutubuthu kununua mafuta ya Iran ili kusaidia uchumi wao? Mbona hamuagizii vifaa kutoka North Korea?
Sasa nakwambia, enda uambie mama aaigizie vifaa kutoka Russia ama awauzie Russia chochote sahii uone kama vitafika
We mwenyewe unajua Nairobi badoNo city can beat Nairobi's wide Skyline in Africa apart from Jozi.
ichoboy01 come with something where you are going to shed your tears
View attachment 2141164
then nairobi is full of affluence... you can clearly read the well written wealthiness of nairobi just like u would for jozi. but for dar u mostly observe uswazi nothing but uswaziNo city can beat Nairobi's wide Skyline in Africa apart from Jozi.
ichoboy01 come with something where you are going to shed your tears😂
View attachment 2141164
Wacha ujinga nawe Mkunya kwani wapi amesema alikuja 1963? msiniambie wivu unawasumbua kujua Putin aliwahi kuishi Tanzania?
i see upperhill+CBD+westland+ misitu in one pic 🤣🤣🤣🤣🤣🤣No city can beat Nairobi's wide Skyline in Africa apart from Jozi.
ichoboy01 come with something where you are going to shed your tears😂
View attachment 2141164
tembo niliwachamo mzee since november last year. tegea basi.. wacha ni malize kuchora hii 👇🏽tuone kama itaanguka ikijengwa. we work hand in hand with structural engineers mkuu. sisi ndo tunahusika kubadilisha skyline za miji zetu, na bila dosari yoyote ama mushkin
Mna wanafunzi wapi? HahahaWanafunzi wetu tuliwatoa kitambo sana.... waliobaki wameambia consular embassy ya Kenya in Kiev kwamba wanaishi Kwa miji midogo kwahivyo wako salama Ukraine...
Alafu Russia ilipeleka mabasi kutoa wanafunzi wa kigeni wote kwenye hicho chuo, haikujalisha ni wa nchi gani, Watanzania Tu ndo wamegeuza hii kua propaganda Kwa wananchi.... Veery gullible people watanzania!
View attachment 2140804
View attachment 2140819
kabisa,ila hizo gofu zao zinaanguka hata bila ya earth quakembona mbali! Itokee earthquake kama ile ya Dar 2020, half of the buildings in Nairobi zita-cramble!
yani udongo mtupu alaf eti wamesoma




kweli vitu vipo kinyume.