Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Data zinaonesha Tanzania ina wanafunzi 400 Ukraine, wengine wako wapi?

Maria دوبوفيكوفا Dubovikova (@politblogme) Tweeted:
... 45 - of Jordan, 16 - of Pakistan, 15 - of Tunisia and 14 - of Zambia in Sumy.

Hawa ndo wapumbavu Kunyaland imewa-support?
Tony254
 
Teargas Asante sn kwa hii picha, Tony254 ulikuwa unabisha kwamba kamji kenu ni kadogo na kwamba huwezi kuona Nairobi nzima kwenye picha moja,haya ongea sasa Kanairobi kote haka hapa nimekashika mkononi, alafu anatokea mkora wa makuru kayaba anaifananisha the Mega city na huu ushuzi wa 3 in 1
JamiiForums1818513224.jpg
 
Walahi nawaambia tunafanya kosa kubwa sn kuishindanisha Dar na Kanairobi, hiyo picha ya juu Kanairobi ndiyo kameishia hapo alafu hiyo picha ya chini ni sehemu ndogo tu ya Dar yani kama 0.001% ya Dar, ona
JamiiForums1818513224.jpg
JamiiForums-1765338492.jpg
 
Teargas Asante sn kwa hii picha, Tony254 ulikuwa unabisha kwamba kamji kenu ni kadogo na kwamba huwezi kuona Nairobi nzima kwenye picha moja,haya ongea sasa Kanairobi kote haka hapa nimekashika mkononi, alafu anatokea mkora wa makuru kayaba anaifananisha the Mega city na huu ushuzi wa 3 in 1View attachment 2141271
3 in ONE 😀🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
No city can beat Nairobi's wide Skyline in Africa apart from Jozi.

ichoboy01 come with something where you are going to shed your tears😂

View attachment 2141164
😂😂😂😂 Dah jamaa kwakupenda kujipa moyo nyinyi, to be honest there's no city in Africa which is comparable to South African ton 5 cities, nnachokiona hapo NAIROBI ni cheap buildings and mostly mud roads .. heb ona hii ni Durban SA 👇
b0cb5d95d8dec7bd266cc43fe72e338a.jpg
0ec7c879-949b-4a1a-8b80-4a3ff67da0a2.jpg
4b.jpg
6(0).jpg
aerial-view-of-durban-city-looking-east-down-smith-and-west-streets-ABMG9N.jpg
durban-municipality-begin-road-rehabilitation-assessments.jpg
View attachment d05ffb83e2c571ad949a455f72124161.jpg
1d0bd4a6c27166fd463af992d4eacc18.jpg
Durban-1.jpg
blick-auf-durban-suedafrika_0.jpg
Is Nairobi even close to this .?
 
😂😂😂😂 Dah jamaa kwakupenda kujipa moyo nyinyi, to be honest there's no city in Africa which is comparable to South African ton 5 cities, nnachokiona hapo NAIROBI ni cheap buildings and mostly mud roads .. heb ona hii ni Durban SA 👇View attachment 2141316View attachment 2141317View attachment 2141318View attachment 2141320View attachment 2141322View attachment 2141323View attachment 2141324View attachment 2141325View attachment 2141326View attachment 2141327Is Nairobi even close to this .?
Nairobi is better than Durban. And I don't even see any skyline to rival Nairobi's.
 
Teargas Asante sn kwa hii picha, Tony254 ulikuwa unabisha kwamba kamji kenu ni kadogo na kwamba huwezi kuona Nairobi nzima kwenye picha moja,haya ongea sasa Kanairobi kote haka hapa nimekashika mkononi, alafu anatokea mkora wa makuru kayaba anaifananisha the Mega city na huu ushuzi wa 3 in 1View attachment 2141271
If there's something tanzanians doesn't like to see in Nairobi ni pictures capturing the three districts of Nairobi 🤣

1646574424376 .jpg
 
Back
Top Bottom