ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
asante kwa kutuonesha ile ile project ya mchina ambayo itawatoa povu kwa miaka 30 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
asante kwa kutuonesha ile ile project ya mchina ambayo itawatoa povu kwa miaka 30 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
wivu gani as if siijui nairobi au ??😂😂😂 au labda kuna kitu utadanganya humuSema wivu ndio inakumaliza. Dar will never have place rivalling Nairobi CBD, Upperhill, Westlands ama Kilimani.
Was Thika PPP?kwani thika highway munalipia au hujui ni loan from AFDB 😂😂😂😂
Na huo udogo wake bado ni three times wealthier than Dar😂😂🤣😂yani mm hua nacheka kuona nairobi ilivo ndogo na ilivojikusanya 🤣🤣🤣🤣
Wewe hakuna kitu unajua kuhusu Nairobi. Maybe unajua tu Nairobi kupitia mapicha za googlewivu gani as if siijui nairobi au ??😂😂😂 au labda kuna kitu utadanganya humu
Mbona watanzania wanaumwa na hii barabara kuliko wakenya? Hiyo kama sio wivu ni nini? Alafu nilipata construction board ya expressway, bado unataka kuiona nipost hapa?🤣🤣😂asante kwa kutuonesha ile ile project ya mchina ambayo itawatoa povu kwa miaka 30 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Enda Chato ukaulize Magufuli meaning ya hiyo word. He understands it better."Tukufe" ndio nini?
Hawa watakua walienda kukagua production ya mabehewa na vichwa vya treni Korea.
Sisi hizo tunazo kwenye reli hapa mjini hatuhitaji expressway ya magari maana tuna mfumo mzuri wa brt unaokuwa complemented na commuter rail.Mbona watanzania wanaumwa na hii barabara kuliko wakenya? Hiyo kama sio wivu ni nini? Alafu nilipata construction board ya expressway, bado unataka kuiona nipost hapa?![]()
Ujinga tupu.Sisi hizo tunazo kwenye reli hapa mjini hatuhitaji expressway ya magari maana tuna mfumo mzuri wa brt unaokuwa complemented na commuter rail.
Hio ni opinion yako. Kama unadhani Kenya ni hafifu kwenye kila kitu kuanzia uchumi hadi foreign affairs mbona Kenya ina uchumi mkubwa kushinda wenu. Mbona Mkenya mmoja mmoja anapokea income nyingi kuwashinda? Kwenye diplomasia mbona Kenya ina embassies nyingi kushinda Tanzania? Mbona nchi nyingi zimefungua embassies zao Kenya badala ya Tanzania? Kwenye kampuni kubwa za dunia (multinationals) kama google, IBM, Microsoft, unilever, Oracle na kadhalika mbona zote zimeamua kufungua ofisi zao Kenya badala ya Tanzania. Wakati mwingine unongea mambo ya kipuuzi tu. Tuna embassies nyingi za kimataifa kuwashinda. Tuna makampuni mengi za kimataifa kuwashinda halafu bado unakuja kujipiga kifua hapa. Rais wa Marekani, Israel, India, South Korea, Britain, France na Italy wametembelea Kenya ndani ya miaka nane zilizopita na wakati huo nyie hamjapokea marais wa nchi kubwa isipokuwa US pekee. Tukienda kwa facts basi ni obvious tumewashinda kwenye diplomasia. Wewe unatumia emotions sio facts. Unatumia emotions kusema kwamba Kenya iko vibaya kiuchumi na kidiplomasia lakini facts zinaonyesha kwamba Kenya imewashinda kwenye mambo haya. Endelea kutumia emotions lakini facts kwa ground zinajieleza.Kabla ya kuchukua maamuzi katika ngazi za kimataifa, ni vizuri viongozi wa Kenya kuomba ushauri toka Tanzania, kwasababu Kenya hamko vizuri katika kufikia maamuzi ya busara, hili ni tatizo la Kenya kuanzia rais wenu wa kwanza, bado linaendelea hadi Leo.
Mpaka watembee ndio waone ila hao ambao hawatoki kwao watabakia na dhana ileile waliyokuwa brainwashed wakiwa skuli.Majirani wanakamuliwa kinoma.
Lakini ripoti zinasema 1977 hadi 1977 Putin alikua Bagamoyo kufundisha wanajeshi wa nchi za mstari wa mbele kupigania Uhuru wa nchi kusini mwa AfricaPutin ana miaka 69.... 1973 Putin alikua na miaka 20, Kabla hata muendelee, Kijana WA miaka 20 Hana ujuzi wowote kufundisha wanajeshi kupigania ukombozi wa Africa kutoka Kwa wakoloni..
Putin wakati huo alikua mwanafunzi Kwa chuo kikuu akisomea shahada ya Law... Aligraduate Mwaka wa 1975.. Baada ya ku graduate hapo ndo alijiunga na KGB kama low level officer.. Hii ni historia yake.. Lakini kwavile akili ya Mtz imeshazoea kulishwa propaganda za ki communist utabaki ukishindana siku nzima
Tulia dawa iingie sawasawa.Ujinga tupu.
Hii picha ni maarufu sn kumbe ilipigwa zenji!!!Mwanamapinduzi wa Agentina Bwana Che Guevara akiwa Zanzibar Tanzania, 1964.
Picha hii ilipigwa Zanzibar siku chache baada ya Mapinduzi ya John Okello.
View attachment 2140681
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
ha haa ukiwa kenya bora uishi nyumba ya chini ukiishi kwenyeghorofa jus kabisa unahatarisha maisha yako,



