Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kulingana na intelligence ya Marekani Putin aliipuzilia mbali Ukraine na alipanga kuiangusha chini ya siku tatu. Hio ndio maana aliattack kutoka directions tatu, kaskazini, kusini na mashariki. Lakini hizo axis zote zimekwama hakuna hata moja ambayo imeweza kuingia ndani ya Ukraine kwa sana. Sasa Putin ameamua kutupa missiles na makombora kwa hizo cities ili kuuwa civilians kwa maana ya kuwatoa hari ya kupigana. Anataka kuwatishia waache kupigana. Anarusha makombora kwenye nyumba za watu na kuuwa raia. Lakini raia wa Ukraine bado wana hamu ya kupigana na kuiokoa nchi yao.
aliyekudanganya kuwa vita vinapuuziwa ni nani?

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
sisi tumesoma sana mpaka ubao ukabadili rangi kua kijani👇👇👇👇

elimu yenyewe ndio hii
 
True. Kwanza hata nilikosea. Hio ksh 24 billion ya Kengen ni ya 6 months tu. Ukiweka ya full year inakuwa ksh 100 billion ya Kenya power na ksh 48 billion ya Kengen =ksh 148 billion na bado hatujaweka revenue ya Ketraco.
Heheheheee mbn unaandika unafuta, au maji ya shingo
 
Nimeshasema nilikosea hesabu kidogo. Nilidhani hio ksh 24 billion ya Kengen ni ya mwaka mmoja ila ni ya miezi sita tu.
Yani nyie kupitwa huwa hampendi kabisa, mpo tayari hata kuongopa ili mradi tu mjifurahishe nafsi zenu, cc watz hatupo hivyo na ndiyo maana unakuta ukiongopa tu mtz mwenzio anakuja kukupinga kwa facts lkn nyie hamko hivyo, cjui kwnn mnapenda sifa za kijinga hivi. Ni mkenya mmoja tu ndiyo huwa anawachana kwa kuwapa ukweli mwaswast mpk huwa mnamchukia.

Pia na wewe Tony kdg unajitambua lkn wengine waliobaki wote ni wapumbavu sn.
 
Huyo ni fara toka lini mzenji akawa na akili yeye anasifiaga upumbavu wa samia sasa yameanza kumkuta ,mama anakopa Til1.47 kwa mwezi for nothing special,ni mpumbavuu sana huyu bibi
 
you end up embarassing yourself and losing every argument coz of not being smart.....
 
Unazungumza kuhusu net profit au revenue ya Kenya power?
What is profit!!?
In corporate world, we don't have the term profit. You know why?? Bcoz it's ambiguous. It depends upon the policy of the company.

Pia huyo chongchung anaongelea earning au revenue.
 
What is profit!!?
In corporate world, we don't have the term profit. You know why?? Bcoz it's ambiguous. It depends upon the policy of the company.

Pia huyo chongchung anaongelea earning au revenue.
Hahaha wacha bangi. Net profit na gross profit ni accounting terms na zinatumika na accountants wakati wanatengeneza balance sheets. Hujui unachosema wewe. Balance sheet ya makampuni mengi ina terminology hio ya gross au total profit na net profit. Ila banks zinatumia terminology tofauti.
 
Yani nyie kupitwa huwa hampendi kabisa, mpo tayari hata kuongopa ili mradi tu mjifurahishe nafsi zenu, cc watz hatupo hivyo na ndiyo maana unakuta ukiongopa tu mtz mwenzio anakuja kukupinga kwa facts lkn nyie hamko hivyo, cjui kwnn mnapenda sifa za kijinga hivi. Ni mkenya mmoja tu ndiyo huwa anawachana kwa kuwapa ukweli mwaswast mpk huwa mnamchukia.

Pia na wewe Tony kdg unajitambua lkn wengine waliobaki wote ni wapumbavu sn.
Mwambie alete source inayosema kenya power inakusanya revenue 100 billion kenya money.. na atueleze kengen inakusanya revenue kwenye upande upi, na hiyo kenya power nayo inakusanya revenue kwenye upande upi pia, usije ikawa wanatulisha matango hawa jamaa
 
Back
Top Bottom