Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hawa jamaa ni waongo sana 😂😂😂, oya The best 007 hawa jamaa ukitaka kuwajua vizur muulize kaka ichoboy01 yeye ndio alinifundisha katika maneno 1000 ya mkenya chukua neno moja alafu mengine muache nayo mwenyewe.. owky . According to the sources zinasema the largest electric power producer in Kenya ni hawa kenGen 👇ambayo inazalisha 75 percent of electricity in kenya
Screenshot_20220302-174536_1.jpg
my take:
ikiwa largest producer anapata revenue 42 billion kenya shillings, Kenya power, the second largest producer of electricity in Kenya inapata revenue 100 billion per annum.? I'm out 🚶🚶
 
Hawa jamaa ni waongo sana , oya The best 007 hawa jamaa ukitaka kuwajua vizur muulize kaka ichoboy01 yeye ndio alinifundisha katika maneno 1000 ya mkenya chukua neno moja alafu mengine muache nayo mwenyewe.. owky . According to the sources zinasema the largest electric power producer in Kenya ni hawa kenGen ambayo inazalisha 75 percent of electricity in kenyaView attachment 2136418my take:
ikiwa largest producer anapata revenue 42 billion kenya shillings, Kenya power, the second largest producer of electricity in Kenya inapata revenue 100 billion per annum.? I'm out
Asante sana, mm nilijua fika wanaongopa sema shida ni kwamba simu ninayotumia kwa ss ipo slow mda mwingine naona uvivu hata kuchimba kiundani
 
Hawa jamaa ni waongo sana , oya The best 007 hawa jamaa ukitaka kuwajua vizur muulize kaka ichoboy01 yeye ndio alinifundisha katika maneno 1000 ya mkenya chukua neno moja alafu mengine muache nayo mwenyewe.. owky . According to the sources zinasema the largest electric power producer in Kenya ni hawa kenGen ambayo inazalisha 75 percent of electricity in kenyaView attachment 2136418my take:
ikiwa largest producer anapata revenue 42 billion kenya shillings, Kenya power, the second largest producer of electricity in Kenya inapata revenue 100 billion per annum.? I'm out
Kingine ukitaka kumjua mkunya anaongopa ni pale anapoongea bila facts, alafu kitu ambacho mm huwa kinanikera sn na kuona hii battle na hawa jamaa Haina mana ni pale wanapopeana support hata kwa uongo.
 
Hahaha wacha bangi. Net profit na gross profit ni accounting terms na zinatumika na accountants wakati wanatengeneza balance sheets. Hujui unachosema wewe. Balance sheet ya makampuni mengi ina terminology hio ya gross au total profit na net profit. Ila banks zinatumia terminology tofauti.

🤣😂🤣
You need to brush your brain bwana mdogo. Finance siyo Accountancy.
 
Kingine ukitaka kumjua mkunya anaongopa ni pale anapoongea bila facts, alafu kitu ambacho mm huwa kinanikera sn na kuona hii battle na hawa jamaa Haina mana ni pale wanapopeana support hata kwa uongo.
Hiki kitu me mwenyewe kinaniuma sana, kwanini wanaongopa na Wanapeana support.? Dah sasa nini maana hii battle kama kila kitu ndugu zetu wanataka waonekane wao wapo juu yetu.? It's so sad..
 
Hiki kitu me mwenyewe kinaniuma sana, kwanini wanaongopa na Wanapeana support.? Dah sasa nini maana hii battle kama kila kitu ndugu zetu wanataka waonekane wao wapo juu yetu.? It's so sad..
Alafu shida ya ku battle na hawa jamaa ni kwamba over 90% ya post zao zinahitaji uchunguzi, huu ni ujinga they need to grow up bhn.
 
Thibitisha
Siku Ghana ikiizidi Tanzania natembea kende wazi.
Anzia sector ya Afya,sector ya kilimo,sector ya madini,sector ya ulinzi,miundombinu,ukuaji wa miji n.k n.k.
Tanzania iko mbali,hiyo Ghana tofauti na Accra nitaftie miji yake mengine inayokua km ilivyo Arusha, Kilimanjaro, Mbeya,Katavi,Dodoma,Tanga,Mwanza n.k.
 
Kwa hivyo ni sawa kusema Tanzanite bridge suo ya watanzania ila ni ya wakorea walioijenga ?? 🤣🤣🤣🤣🤣😂😂 Sometimes i pity these slowpokes 🤣🤣🤣
Ungekuwa mtu reasonable ningekuambia usome kuhusu PPP Projects ilivyo tofauti na kuchukua loan lakini you cannot comprehend such basic general knowledge😂
si bora ile nusu ni loan na italipwa na hakuna mtu atalipa ili apite 🤣🤣🤣🤣 kwenu mchina ataishikilia miaka 30 na hakuna kenge atapita bure bila malipo kwenda kwa mchina 😂😂😂😂

kwako imekaaje hio kwa nchi maskini kama yenu nioneshe ni kitu gani serekali ya kenya imetoa ili tujue ni ppp na serekali ya kenya itafaidika nn hapo???? ikiwa employment za expressway zitaenda kwa wachina na ukusanyaji utafanyika na wachina na pesa zitakwenda china 😂😂😂

kwenu itabakia ile sifa na sisi tuna expressway ambayo inawalaza njaa
 
Si useme tu ulimaanisha 2009 badala ya kuendelea ku prove nonesense? Ulisema ilijengwa 2019 not once but mara mbili. we understand errors happen ila kubali kuwa corrected, for once learn that in the very least.View attachment 2136250
hujui maana ya kujengwa au?? 🤣🤣🤣🤣 au kiswahili kwako ni historia
fananisha project ya miaka 10 iliopita na project ya leo hvi muko serious kweli
 
hii dege iko si ni ki estate imestall ya kawaida....or by tz standards this is a new city 🤣🤣
angalia sehemu tuliojenga na sehemu muliojenga alaf mjibu huyo zwazwa wenu😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom