Bush CapitolWhere else in the world can a pride of lions cause traffic jam as people marvel at the sight? Only in Nairobi View attachment 2136587
Bush CapitolWhere else in the world can a pride of lions cause traffic jam as people marvel at the sight? Only in Nairobi View attachment 2136587
They have a lame government that can't do anything on its own all they know is misappropriation of government funds among the rulling bandits.Wewe Tony254, wacha kulinganisha Barbara inayounganisha mikoa miwili na barabara ya ndani ya Jiji, angalia urefu wa hiyo ya Uganda ni mara mbili ya hiyo ya Kenya.
Jambo Moja ambalo linanishangaza Sana ni kwamba, ninyi wakenya mnalinganisha Private sector vs Government projects, hiyo ya Uganda ni serikali ndiyo imejenga, wakati hiyo yenu serikali haijatoa hata cent Moja.
Hii tabia ya kulinganisha Private sector vs Government ni dalili kwamba nchi yenu haina uongozi Bora, hata tunapilinganisha Hospitals za Tanzania vs Kenya, sisi tulitaja Muhimbili, ninyi mnataja Nairobi, AghaKhan, au MPshakh Hospitals![]()
Fanya research utafute ILO UN Africa office iko wapi halafu urudi hapa na uache kujificha huko kibera.Ni la muhimu coz that's the only UN office in whole of Africa
Fanya research utafute ILO UN Africa office iko wapi halafu urudi hapa na uache kujificha huko kibera.
Hapo hata mwaka hajaumaliza vizuri![]()
Benki ya Dunia: Tanzania hatarini kukumbwa na "stress za madeni"
Tathmnini ya ufuatiliaji wa deni la Tanzania uliofanywa na WB unasema Tanzania iko kwenye hatari ya kukumbwa na debt stress ya kiwango cha moderate. Hii ni alarm kwa serikali kupunguza Kukopa lakini pia tujiandae kwa Kodi zaidi maana miradi lazima iishe iwe kwa mikopo au kwa Kodi za ndani ...www.jamiiforums.com
![]()
Huyo ni mkenya. Wanaakili za kuburuzwa always. Alifikiri atapata sapoti hapa Kenya +USA=uharo mtupuusiseme ujinga wa putin sema ujinga wa marekani na washirika wao ndio chanzo cha vita vyote ulimwenguni kote
Cheap surface dressing road with one uniform layer!!plus white kama chalk
Ni utaalam gani umetumia kufanya hiyo analysis?Cheap surface dressing road with one uniform layer!!plus white kama chalk
kama pesa ya bitumen walikula!
Katika watu ambao wanawapatia wakunya ukitoa alhaji joto la jiwe na mwenyekiti ichoboy01 basi anayefuatia ni chongchung a.k.a AK 47 (Avtomat Kalashnikov, a gas operated assault rifle)Kuna zaidi ya wanafunzi wa kitanzania 1000 wanasoma Ukraine na Russia and most of them are taking aerospace Engineering
Wakunya kwa akili zao finyu lack of exposure and primitivism walifikiri aside from Tanzania the best destination kwa wanafunzi wa kitanzania ni kunyaland
Wakiambiwa Watanzania wana mawe wananuna, ni mkenya yupi wa kawaida tofauti na mwana siasa anaweza kusomesha watoto wa3 Russia courses za aerospace?












Hawana akili hawa nyang'au achana naopropaganda za western ndio zinawalisha matango pori wakat miji karibu yote imeshachukuliwa, military infastructure zaidi ya 200 za ukraine zimeharibiwa, tv station tower imepigwa , nuclear plant mbili zimeshachukuliwa
swali rahisi kwann anaomba msaada eu wa jeshi ikiwa anawapiga ??? mama ngina atakupa jibu
Nairobi, najiuliza tu, $3b Real estate gap mtaliziba liniHOW MANY TALL BUILDINGS ARE IN NAIROBI VS DAR UP TO 17 FloorsView attachment 2137112View attachment 2137115



Halafu kwa point ya majengo marefu hata mmoja hakuna aliyechangia, wakenya bwanaaHOW MANY TALL BUILDINGS ARE IN NAIROBI VS DAR UP TO 17 FloorsView attachment 2137112View attachment 2137115

Ka Nairobi eneo kubwa ni pori.Halafu kwa point ya majengo marefu hata mmoja hakuna aliyechangia, wakenya bwanaa![]()



, Daslamu nzuri...
Ushaishiwa ww.Leta this leta that ingia Google kwa muda wako iyo spoon feeding hapa hamna
Ni pori tupu kweli hadi Simba wanakuja mjini!Ka Nairobi eneo kubwa ni pori.