Mkwanzania
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,352
- 5,414
Kuna Dogo nilimuwekea photo hizo mbili hakujua ni za wapi namwambia wapi pazuri akaniambia hiyo ya pili[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3], Daslamu nzuri...
Modern Airport
Modern BRT
Modern Football grounds
Best Sports Decorder n Studios
Best and Modern buildings
Best Sea bridges
Modern marine Transports
Modern Sgr railway n trains station
Biggest Food n drink products manufacturer in east africa etc[emoji1]View attachment 2137121View attachment 2137123
Wakenya ni ushamba tu, ona sasa walivyoharibu mji wao? Lakini nadhani ujenzi wa barabara namna hii unaharibu shape ya mji na mazingira, hizi elevated roads ni bora zibakie kwenye interchanges au huko outskirts, mjini boresha public transport kwa kuweka BRT au Trams, nadhani hii ndio njia sahihi.