Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ala? Kumbe sarafu ya Tanzania ndio mbovu kabisa Afrika nzima dhidi ya dollar? Yaani hata Somalia na South Sudan wala sarafu yenye nguvu dhidi ya dollar kuwashinda? Mnavuta mkia kwenye kila kitu.
View attachment 2135265





ichoboy01 Geza Ulole joto la jiwe The best 007 tuusan
I think GOT did a Currency Manipulation, This helps us Export more as our products will be cheaper in the Market, however this move will make the Imports prices relatively Higher due to Currency depreciation, Some of those countries have the Weakest Economy compared to ours but their Currency are performing better.
 
Shida ni kwamba Tz nzima inawaka isipokuwa kunyaland ni only naipori, vi county vingine havina umeme kabisa.
You must be using very bad drugs a country of 33% coverage unacompare Na a country of 85% coverage and you talk so confidently Na kumbe hujui what you saying
 
Hii ndio dalili ya mpumbavu anaejifanya Ana maarifa.
Umenikera sana kwa kauli yako kheri ungepinga kwa hoja ila sio kwa mipasho.
Kijana huna elimu ya kunizidi hata upunje.
KATAA KUBALI GHANA HUWEZI FANANISHA MAENDELEO YAKE NA TANZANIA KUANZIA SOCIAL DEVELOPMENT MPK ECONOMIC DEVELOPMENT KM UNABISHA WEKA MADA MEZANI KENGE WA KIKE WW.
Hauna maarifa,mzigo
Rifa
 
Wewe unadhani kujenga expressway in an urban area ni sawa na kujenga expressway in a bush? Kwanza umehesabu land compensation ambayo watu wanaomiliki ardhi kando mwa Nairobi expressway walilipwa? Umehesabu costs of transfering underground fibre optic cables, water pipes na sewage pipes? Umefactor in tatizo la kujenga expressway ambayo ipo raised zaidi ya kilometre kumi? Hii ya UG ipo raised kwa kiasi kidogo sana. Huwezi kucompete hizo projects mbili kwa sababu ni projects tofauti.
Wewe Tony254, wacha kulinganisha Barbara inayounganisha mikoa miwili na barabara ya ndani ya Jiji, angalia urefu wa hiyo ya Uganda ni mara mbili ya hiyo ya Kenya.

Jambo Moja ambalo linanishangaza Sana ni kwamba, ninyi wakenya mnalinganisha Private sector vs Government projects, hiyo ya Uganda ni serikali ndiyo imejenga, wakati hiyo yenu serikali haijatoa hata cent Moja.

Hii tabia ya kulinganisha Private sector vs Government ni dalili kwamba nchi yenu haina uongozi Bora, hata tunapilinganisha Hospitals za Tanzania vs Kenya, sisi tulitaja Muhimbili, ninyi mnataja Nairobi, AghaKhan, au MPshakh Hospitals
 
Na kwnn tutengeneze overpass ya kimaskini wkt tuna pesa? Kama mnataka kushindana umaskini hapo kwakweli lazima tushindwe.
Nchi ya watu maskini zaidi hapa EA inajulikana na wala hauhitaji kukumbushwa kwamba ni Tanzania
 
Interesting Nairobi architecture.
FB_IMG_1646281024478.jpg
 
Leta facts wacha kucheka km mhaya kaona pochi.
Leta Jambo moja mpk lingine ila mambo tangible tuchambue kuhusu TZ na Ghana km utachomoka hapa.
Leta this leta that ingia Google kwa muda wako iyo spoon feeding hapa hamna
 
Kuna zaidi ya wanafunzi wa kitanzania 1000 wanasoma Ukraine na Russia and most of them are taking aerospace Engineering

Wakunya kwa akili zao finyu lack of exposure and primitivism walifikiri aside from Tanzania the best destination kwa wanafunzi wa kitanzania ni kunyaland 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

Wakiambiwa Watanzania wana mawe wananuna, ni mkenya yupi wa kawaida tofauti na mwana siasa anaweza kusomesha watoto wa3 Russia courses za aerospace?




 
Hiki kitu me mwenyewe kinaniuma sana, kwanini wanaongopa na Wanapeana support.? Dah sasa nini maana hii battle kama kila kitu ndugu zetu wanataka waonekane wao wapo juu yetu.? It's so sad..
Kenya ni Utopolo siku hizi hawataki kuamini mambo yamegeuka bado wako in denial.
 
Back
Top Bottom