IamLee
JF-Expert Member
- Apr 23, 2017
- 6,628
- 7,820
Considering tunakumbushwa huku kila siku kwamba Dar ni kubwa mara tatu zaidi ya Nairobi...
Considering tunakumbushwa huku kila siku kwamba Dar ni kubwa mara tatu zaidi ya Nairobi...
Considering tunakumbushwa huku kila siku kwa Dar ni kubwa mara tatu zaidi ya Nairobi...
Ka Nairobi eneo kubwa ni pori.
First, ILO office is not a UN office.Fanya research utafute ILO UN Africa office iko wapi halafu urudi hapa na uache kujificha huko kibera.
Aisee haya mawazo kama mm sema nilikuwa sijui jinsi ya kuongea, kiukweli hizi barabara kama hii ya Nairobi inaharibu muonekano wa mji, naongea hivi kutoka moyoni kabisa na najua wakenya wanaelewa kwamba muonekano wa Jiji umeharibiwa na hii road, at least eneo kubwa lingekuwa na majengo marefu marefu km miji ya kichina lkn eneo lisilo na majengo km hapo Nairobi alafu uweke road km hyo ni kuharbu muonekano wa mji.Wakenya ni ushamba tu, ona sasa walivyoharibu mji wao? Lakini nadhani ujenzi wa barabara namna hii unaharibu shape ya mji na mazingira, hizi elevated roads ni bora zibakie kwenye interchanges au huko outskirts, mjini boresha public transport kwa kuweka BRT au Trams, nadhani hii ndio njia sahihi.
Umetumia kipimo gn kugundua Hilo? Au umetumia moyo?How comes Nairobi with less than 6 million population inawaka large kuliko dar with over 8 million population?? hauoni kuna shida mahali![]()
Pole kwa maumivu bongolalaBush Capitol
Hadi gongo la mboto zipoUN office zipo mpaka Katavi
Hapo si wangejenga cable stayed bridge ingepunguza idadi ya nguzo nakuacha space kubwa kwa boats kupita na kupendezesha hiyo bridge
Kwaakili yako hapo umeona nini?Westlands. There's a time some bongolalas compared it with kijiko ya nyamaView attachment 2137360
Nimeona akili yako ndogoKwaakili yako hapo umeona nini?
Njambiani mpumbavu adui wa uzalendo sa100Hapo hata mwaka hajaumaliza vizuri
Hio bridge imejengwa hivyo kwa ajili ya airport iliyo hapo karibu. Imejengwa hivyo low ili ndege ziweze kutua au kupaa bila tatizo. Moi airport, the second bussiest airport in Kenya ipo karibu na hio bridge.Hapo si wangejenga cable stayed bridge ingepunguza idadi ya nguzo nakuacha space kubwa kwa boats kupita na kupendezesha hiyo bridge
Ambia huyu Mr Wivu coodip1 kwamba UNEP Nairobi is the only UN headquarters located south of the equator.First, ILO office is not a UN office.
Secondly, ILO has many such regional offices across Africa. Besides the one in Dar, others are in Kinshasa, Abuja, Addis Baba, Algiers, Antananarivo, Harare, Cairo, Dakar, Pretoria, Yaounde and Lusaka. There's NOTHING like ILO UN Africa office.
Lastly, when I said Nairobi is the only UN office in Africa I meant it. The United Nations has only FOUR known headquarter duty stations worldwide and these are the UN offices in New York, the UN offices in Geneva, the UN offices in Vienna and the UN offices in Nairobi.
![]()
UNBONN
www.unbonn.org
Kama unajua zingine zaidi ya hizo nne zitaje hapa