Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

haya ni magorofa ya makazi polisi dar hebu naomba nioneshwe makzi ya polisi nairobi 🤣🤣🤣🤣🤣👇👇😂 Tony254 njoo umsaidie zwazwa wenu
170519B0-A2D7-41AE-8537-CF2C2B69FB58.png
 
hio yenye project kubwa ni over 14 yrs sasa leo ndio hchi wamefanya 😂😂😂👇👇
A4B8D33D-9C91-4AA1-8039-A2EE195F9D5A.png
 
haya ni magorofa ya makazi polisi dar hebu naomba nioneshwe makzi ya polisi nairobi 🤣🤣🤣🤣🤣👇👇😂 Tony254 njoo umsaidie zwazwa wenu
View attachment 2136208
Mumepigwa kwenye cities na kwenye apartments sasa mumekimbilia kwenye nyumba za polisi? Next utaitisha nyumba za kuku tufananishe kati ya Kenya na Tanzania?
 
unawazimu wa kichwa wewe 🤣🤣🤣🤣 polisi wenu wanaishi kwenye makazi gani zaidi ya slums hebu leo jenga hoja kama kweli wewe ni jogoo anapanda mtumgi
 
So waliojenga wanaongopa wanaposema Thika ni 8lanes? Ila wewe ndiyo unajua kuliko waliojenga?
Hio 8 lanes hawahesabu service lanes. Sijui kama unaelewa service lanes inamaanisha nini? Thika road ina 8 lanes ila ina service lanes kando kando upande zote. Angalia picha za Thika road utaona service lanes ninazozungumzia. Ukihesabu service lanes basi Thika road inakuwa na 10 lanes au hata kuna maeneo ina 12 lanes. Hizo picha zimemwagwa huku sana na unaweza kuhesabu mwenyewe.
 
na service line hzo ni kwa jilinya kutoa na kuongiza gari kwenye barabara kuu sas lanes hua zinavesabika kwenye barabara kuu 😂😂😂😂😂 mfundisheni huyo zwazwa kwanza ajue thika ni 8 lanes na haitabadilika kua hvo na waliojenga wanasema ni 8 lanes sasa waliojenga na zwazwa nani mwenye akili
 
ichoboy01 naona Putin kipenzi chako anapigwa kama mburukenge. Ona jinsi tanks za Putin zinavyolipuliwa na jeshi la Ukraine.
FM04jcOWYAEp0h6.jpeg
 
ichoboy01 naona Putin kipenzi chako anapigwa kama mburukenge. Ona jinsi tanks za Putin zinavyolipuliwa na jeshi la Ukraine.
View attachment 2136231
Hawa wazungu wacha wauane wapumbavu hawa, huwa wamezoea ku report habari mby km hizi toka Africa but now nchi nyingi za ki Africa zinapambana kwenye maendeleo wao wameanza kupambana kwenye vita, wacha wauane na Africa haitodhulika na chochote.
 
ichoboy01 naona Putin kipenzi chako anapigwa kama mburukenge. Ona jinsi tanks za Putin zinavyolipuliwa na jeshi la Ukraine.
View attachment 2136231
propaganda za western ndio zinawalisha matango pori wakat miji karibu yote imeshachukuliwa, military infastructure zaidi ya 200 za ukraine zimeharibiwa, tv station tower imepigwa , nuclear plant mbili zimeshachukuliwa

swali rahisi kwann anaomba msaada eu wa jeshi ikiwa anawapiga ??? mama ngina atakupa jibu
 
wanafunzi wanaancha masomo kutafuta maji
ukame umetatiza masomo ya wanafunzi
jubilee tano tena iko busy na politics 😃😃

aliewaroga kenya alikua ni mganga hodari sana aloooo
 
kwani ile ni yenu au ya machina ??😂😂😂 kwann mchina aichukue kwa miaka 30 kwann hamutapita bila malipo kwenda kwa mchina

hvi kenya mulimkosea wapi Mungu 🤣🤣
Kwa hivyo ni sawa kusema Tanzanite bridge suo ya watanzania ila ni ya wakorea walioijenga ?? 🤣🤣🤣🤣🤣😂😂 Sometimes i pity these slowpokes 🤣🤣🤣
Ungekuwa mtu reasonable ningekuambia usome kuhusu PPP Projects ilivyo tofauti na kuchukua loan lakini you cannot comprehend such basic general knowledge😂
 
propaganda za western ndio zinawalisha matango pori wakat miji karibu yote imeshachukuliwa, military infastructure zaidi ya 200 za ukraine zimeharibiwa, tv station tower imepigwa , nuclear plant mbili zimeshachukuliwa

swali rahisi kwann anaomba msaada eu wa jeshi ikiwa anawapiga ??? mama ngina atakupa jibu
na kauli ya mwisho URUSI imesema kuwa inamalizana na sehemu muhimu za kiusalama kisha ndiyo itaingia kudeal na utawala wa nchi

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
propaganda za western ndio zinawalisha matango pori wakat miji karibu yote imeshachukuliwa, military infastructure zaidi ya 200 za ukraine zimeharibiwa, tv station tower imepigwa , nuclear plant mbili zimeshachukuliwa

swali rahisi kwann anaomba msaada eu wa jeshi ikiwa anawapiga ??? mama ngina atakupa jibu
Mbona Putin ambaye alidhani atachukua Kiev ndani ya siku mbili ameshindwa kufanya hivyo?
 
Back
Top Bottom