Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Brent crude oil imetinga $110 per barrel. Africa tutaumia sana kwa sababu ya ujinga wa Putin.
 
Yani umeonyesha vizuuri building za GG zilizokamilika alafu unaturushia renders za Dege Eco na bado unataka kutueleza vile Dege iko juu.
Unataka kulinganisha huo uchafu na mradi wa Dege ecco village.? Miradi kama hiyo ya Great Wal level zake mbona zipo tu hapo mjini Kigamboni.. pitia nyumba za NSSF Kigamboni 👇
EEB5vU9X4AAxDEI.jpg
EEA-EASXUAAesVu.jpg
au muongozo estate Kigamboni, au mradi wa watumishi housing Kigamboni 👇
f19.jpg
fdb4fe98-be3a-45b5-a25f-d8699735886a.jpg
hii ndio fair comparison kwa great wal ..
 
Kama mme-notice moderator wa twitter page ya Wizara ya Ujanzi na Uchukuzi hukosea kuzipa namba (numeration) pages! Badala ya 2/3 kila siku huandika 2/2 panapokuwa na pages zaidi ya mbili!
 
Geza Ulole unaona maafisa wa Dar es Salaam port wanakuja Mombasa port kufanya bench marking. Hata wao wanajua ni port gani efficient ukanda huu.
Inaruhusiwa esp. wakiwa wanajenga SGR route kuelekea Dar port! Mombasa port can also be inefficient too na watajifunza kutokana na inefficiency yake ili wasirudie ni kama SGR Kunyaland vs electric SGR Tanzania!
 
Unataka kulinganisha huo uchafu na mradi wa Dege ecco village.? Miradi kama hiyo ya Great Wal level zake mbona zipo tu hapo mjini Kigamboni.. pitia nyumba za NSSF Kigamboni 👇View attachment 2136095View attachment 2136096au muongozo estate Kigamboni, au mradi wa watumishi housing Kigamboni 👇View attachment 2136098View attachment 2136099hii ndio fair comparison kwa great wal ..
Mbona unaogopa kuonyesha Dege Eco yenyewe Buda? Mbona unaenda round in circles? Dege eco ni 7000 apartments ambazo hazijakamilika - sidhani kama mmejenga hata 3000 wakati Great wall Gardens phase 1 pekee ni 4000 apartments - hapo sijaongeza phase 2 and 3. - ishakamilika na kujaa. Iko na mall na industrial park. Meanwhile hiyo Dege Eco yako unayotaka kufananisha na Tatu ndio hii.

Screenshot_20220302_111614.jpg

Kipi cha maana hapo unachoshinda ukisema ooh city na ni viapartment tu? Wewe unajua city ni Nini? Nionyeshe hapo Shule, nionyeshe shopping mall, nionyeshe industrial park. In fact kufananisha hii kitu na GG ni kuidharau GG maanake hivyo vitu vyote GG inavyo kasoro shule.
 
Inaruhusiwa esp. wakiwa wanajenga SGR route kuelekea Dar port! Mombasa port can also be inefficient too na watajifunza kutokana na inefficiency yake ili wasirudie ni kama SGR Kunyaland vs electric SGR Tanzania!
Hahaha. Sawa hutawahi kutuona tumekuja huko kujifunza chochote. Nchi nyingi za Afrika zimegundua kwamba Mombasa port ipo mbele yao na wanakuja kujifunza ikiwemo hata Gambia ambao walikuwa Mombasa port wiki uliopita.

Mbona unaogopa kuonyesha Dege Eco yenyewe Buda? Mbona unaenda round in circles? Dege eco ni 7000 apartments ambazo hazijakamilika - sidhani kama mmejenga hata 3000 wakati Great wall Gardens phase 1 pekee ni 4000 apartments - hapo sijaongeza phase 2 and 3. - ishakamilika na kujaa. Iko na mall na industrial park. Meanwhile hiyo Dege Eco yako unayotaka kufananisha na Tatu ndio hii.

View attachment 2136108

Kipi cha maana hapo unachoshinda ukisema ooh city na ni viarpartment tu? Wewe unajua city ni Nini? Nionyeshe hapo Shule, nionyeshe shopping mall, nionyeshe industrial park. In fact kufananisha hii kitu na GG ni kuidharau GG maanake hivyo vitu vyote GG inavyo kasoro shule.
Bablai ulifkir hizo picha za google Earth ndio zitafanya dege ecco village isikue city..? It's clear that mradi still upo under construction na uli stuck 2018, na kila mtu anajua humu.. na hii video mbona inaeleza kila kitu hapa 👇. . Au hauna bandle la kuangalia hiyo vid.? Ukitaka picha za juu mbona utapata tabu tatu City so ndio hii.? 👇
Screenshot_20220302-113157.png
sasa ni upi mradi unaonekana unamaana kwa kutumia hizo picha za google Earth.? Tony254 njoo u like na hii
 
Alafu watasema wameizidi Tz kwa km of paved roads na kuna kunguni za ki Tz zitawaunga mkono, yn tunaunganisha mikoa yote ya Tz kwa mtandao wa lami alafu wanatokea watu na kanchi kao kadogo kama mkoa mmoja wa Tz eti wametuzidi kwa km of paved roads.
Akili kidogo kama ya panya
Refer to ;
USA to Russia
Kenya to Ethiopia
South Africa to lybia
Germany to Australia
Mauritius to Malawi
Kenya to Somalia
List is endless
Mwache UJINGA.mnaaibisha nchi.
 
Akili kidogo kama ya panya
Refer to ;
USA to Russia
Kenya to Ethiopia
South Africa to lybia
Germany to Australia
Mauritius to Malawi
Kenya to Somalia
List is endless
Mwache UJINGA.mnaaibisha nchi.
Hizo case zote umetaja hapo, hazifananishiki kabisa Kati ya sisi na nyinyi.. ipo hiv km of paved roads in tz ni nyingi kuliko nchi yoyote ukanda huu, ndio maana biashara ya mabasi ya kusafirisha abiria mikoani kwa hapa bongo ni kubwa kuliko nchi yoyote, lakini moja ya sababu ni kuwa na barabara zinazopitika vizur nchi nzima .. uko kwenu ni upuuzi mtupu we all know
 
Bablai ulifkir hizo picha za google Earth ndio zitafanya dege ecco village isikue city..? It's clear that mradi still upo under construction na uli stuck 2018, na kila mtu anajua humu.. na hii video mbona inaeleza kila kitu hapa 👇. . Au hauna bandle la kuangalia hiyo vid.? Ukitaka picha za juu mbona utapata tabu tatu City so ndio hii.? 👇View attachment 2136132sasa ni upi mradi unaonekana unamaana kwa kutumia hizo picha za google Earth.? Tony254 njoo u like na hii

Usituonyeshe hiyo video ya renders boss, tuonyeshe the real project on ground.
Hiyo Google image ya Tatu hujaonyesha hata 10% ya Tatu City yet mimi nimekuonyesha 100% ya Dege.

Sahii tunapoongea, Tatu ina -
1. Apartments
2. Mansionettes
3. Mansions
4. Schools
5. Industries
6. Industrial Parks
7. Shopping Mall
8. Office Blocks
9. Hotel
Yet ujenzi hujafika hata 10%. Sasa ufananishe tuapartment twa Dege na City kama hiyo? Unaweza ukaishi Tatu, ufanye hapo kazi, ushomeshe watoto hapo na ufanye shopping hapo. That's the difference between a City and apartments.
 
Mbona unaogopa kuonyesha Dege Eco yenyewe Buda? Mbona unaenda round in circles? Dege eco ni 7000 apartments ambazo hazijakamilika - sidhani kama mmejenga hata 3000 wakati Great wall Gardens phase 1 pekee ni 4000 apartments - hapo sijaongeza phase 2 and 3. - ishakamilika na kujaa. Iko na mall na industrial park. Meanwhile hiyo Dege Eco yako unayotaka kufananisha na Tatu ndio hii.

View attachment 2136108

Kipi cha maana hapo unachoshinda ukisema ooh city na ni viapartment tu? Wewe unajua city ni Nini? Nionyeshe hapo Shule, nionyeshe shopping mall, nionyeshe industrial park. In fact kufananisha hii kitu na GG ni kuidharau GG maanake hivyo vitu vyote GG inavyo kasoro shule.
Mbona surrounding areas inafanana darfur or kakuma refugee camp
 
Back
Top Bottom