Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The richest guy in Kunyaland at the moment

FM1QBkgXwAI-kZQ
 
libya, iraq etc hao mashetani wamatekani hawakua mashetani au sio , au ndio ule msemo vita viskie kwa mwenzako??
Kwa hivyo kama Marekani walifanya maovu kwa nchi zingine hio inamaanisha kwamba anachofanya Putin ni sawa kisheria? Where is the logic in your argument?
 
Na hako kamradi ka apartments za great wal si haka hapa 👇View attachment 2136139kapo katikati ya industrial area 😂😂😂 Dah noma sana .. unataka kulinganisha na dege ecco village Kigamboni, unakichaa wewe NairobiWalker.? Eti are you crazy or something.? Tony254 njoo ucheke na hapa .. wazee wa kujigamba 😂😂
Na huo udogo wake ndio size ya Dege Eco - and better still, it's a more successful project than Dege Eco maanake imekamilika na watu wanaishi - Dege Eco imestall.

Halafu shida yenu wabongo huwa ni kiingereza - nimesema kuna Industrial Park, sio Industrial Area - kuna tofauti between the two. Ndio hii Industrial Park ya Greatwall Gardens. Hiyo hapo niliyocircle in blue inaitwa Industrial Park

111.png
 
Kwa hivyo kama Marekani walifanya maovu kwa nchi zingine hio inamaanisha kwamba anachofanya Putin ni sawa kisheria? Where is the logic in your argument?
kwann akifanya maovu hamusemi sasa??? ww unajua kwann putin anaingia vitani je sababu kubwa unajua ni zipi??? soma kwanza ujue shida kubwa iko wapi na nani ni chanzo
 
Buhari travels to Kenya for the commemoration of the 50th anniversary of UNEP​

Nigerian President Muhammad Buhari is set to arrive in Kenya later on Tuesday ahead of the commemoration of the 50th anniversary of the United Nations Environment Programme (UNEP), scheduled for 3rd – 4th March, in Nairobi.

The Nigerian Presidency said Buhari made the trip at the invitation of President Uhuru Kenyatta.

“President Buhari is expected to deliver the National Statement of the country and participate in high-level dialogue sessions on the environment at the event,” the presidency said.

Ministers of environment and other representatives from over 170 nations convened are already in Nairobi for the three-day hybrid (in-person and online) fifth session of the United Nations Environment Assembly (UNEA).

The commemoration of UNEP@50 will be held under the overall theme of “Strengthening UNEP for the implementation of the environmental dimension of the 2030 Agenda for Sustainable Development.”

According to the agency, UNEP@50 is a time to reflect on the past and envision the future. It provides an opportunity to reinvigorate international cooperation and spur collective action to address the triple planetary crisis of climate change, nature and biodiversity loss, and pollution and waste.

Upon the completion of his trip to Kenya, President Buhari is expected to travel to London, where he is scheduled to undergo routine medical checks for a maximum of two weeks.
 
kwann akifanya maovu hamusemi sasa??? ww unajua kwann putin anaingia vitani je sababu kubwa unajua ni zipi??? soma kwanza ujue shida kubwa iko wapi na nani ni chanzo
Putin hana right yoyote kisheria kuattack an independent soveriegn country. Putin kama ana tatizo na Ukraine anastahili kuisuluhisha kwa mbinu za kisheria. Sio kuvunja sheria na kuchukua sheria mikononi mwake.
 
Mjinga kama wewe huelewi simple things. Mimi na Geza Ulole tulikuwa tunazungumza kuhusu ikiwa Exim bank of Tanzania wana branch yao Ethiopia. Mimi nikasema hawana branch Ethiopia, kile wanacho kinaitwa representative office. Hii representative office sio branch kwa maana hakiwezi kutake deposits wala kugive out loans. Sheria ya Ethiopia hairuhusu benki za kigeni kufungua branch huko ila wiki iliyopita PM Abiy wa Ethiopia alisema kwamba watabadilisha sheria ili benki za nje zifungue branch Ethiopia ili ziweze kuchukua deposit na kugive out loans. Wewe ulidandia mazungumzo yangu na Geza Ulole bila kuelewa tulikuwa tunazungumzia nini. Kcb bank na Equity bank pia zina representative office huko Ethiopia. Representative office sio branch, ujifunze hilo leo.
Swali langu ni simple tuu kwahiyo unataka kusema EXIM bank hawako Ethiopia? Badala ya kujibu swali unaanza matusi ya kuniita mjinga hata mimi matusi nayaweza pia.
 
Mjinga kama wewe huelewi simple things. Mimi na Geza Ulole tulikuwa tunazungumza kuhusu ikiwa Exim bank of Tanzania wana branch yao Ethiopia. Mimi nikasema hawana branch Ethiopia, kile wanacho kinaitwa representative office. Hii representative office sio branch kwa maana hakiwezi kutake deposits wala kugive out loans. Sheria ya Ethiopia hairuhusu benki za kigeni kufungua branch huko ila wiki iliyopita PM Abiy wa Ethiopia alisema kwamba watabadilisha sheria ili benki za nje zifungue branch Ethiopia ili ziweze kuchukua deposit na kugive out loans. Wewe ulidandia mazungumzo yangu na Geza Ulole bila kuelewa tulikuwa tunazungumzia nini. Kcb bank na Equity bank pia zina representative office huko Ethiopia. Representative office sio branch, ujifunze hilo leo.
Ila Exim Bank Tanzania inashughulika na transaction za Djibouti! Haswa za mizigo inayoenda Port Djibouti!
 
Putin hana right yoyote kisheria kuattack an independent soveriegn country. Putin kama ana tatizo na Ukraine anastahili kuisuluhisha kwa mbinu za kisheria. Sio kuvunja sheria na kuchukua sheria mikononi mwake.
nyie mbona mmechukua sehemu ya Somalia na hata kesi mmeshindwa ICC?
 
Na huo udogo wake ndio size ya Dege Eco - and better still, it's a more successful project than Dege Eco maanake imekamilika na watu wanaishi - Dege Eco imestall.

Halafu shida yenu wabongo huwa ni kiingereza - nimesema kuna Industrial Park, sio Industrial Area - kuna tofauti between the two. Ndio hii Industrial Park ya Greatwall Gardens. Hiyo hapo niliyocircle in blue inaitwa Industrial Park

View attachment 2136186
Kiingereza ni lugha iliyokuja na meli, usinibabaishe, Nina lugha yangu nnayoweza kuitumia vizuri kuliko mtu yeyote kwenye ukoo wenu.. any way nilichoka ukubali ni kwamba dege ni mradi mkubwa na nashkuru umenielewa case closed.. tusubiri dege iishe tulete mijadala mingine
 
nyie mbona mmechukua sehemu ya Somalia na hata kesi mmeshindwa ICC?
Sisi umetuona tukipigana vita na Somalia kuhusu kipande hicho cha bahari? Sisi ni wapenda amani. Hatuwezi kuchukua sheria mkononi mwetu kama anavyofanya Putin. Sisi tunatumia mbinu za kidiplomasia kusuluhisha mgogoro wetu na Somalia
 
Nimecheka sana kulinganisha huu upopoma (apartments) na dege ecco village it's disrespectful .. yani huu View attachment 2136037you must be kidding.. any way Dege ecco village sio apartments ni city kabisa kama ambavyo mnatengeneza tatu city na zinginezo nilishangaa sana Tony eti na yeye yupo humu ndani siku zote na hajui chochote kuhusu Dege ecco village. Huu mradi sio tu apartments za kuishi ni kila kitu kipo ndani, barabara za lami, water sewage systems, and all them centers for different services ... And it's some km away from CBD.. Pitia hapa . Angalia hii video hadi mwisho

Great wall ( Chinese Investment in Nairobi) , Wachina wanawatoa kimasomaso hawa wakulungwa.
 
hii ndio tatu city 🤣🤣🤣🤣🤣 zwazwa anafananisha na dege eco
D4784595-6262-4AF4-BE15-5553A4D056C3.png

dege eco kigamboni👇👇👇
841408CC-7637-4676-BA83-E783BE5FB8DE.png
 
Kiingereza ni lugha iliyokuja na meli, usinibabaishe, Nina lugha yangu nnayoweza kuitumia vizuri kuliko mtu yeyote kwenye ukoo wenu.. any way nilichoka ukubali ni kwamba dege ni mradi mkubwa na nashkuru umenielewa case closed.. tusubiri dege iishe tulete mijadala mingine
Heehee, kulingana na facts on ground Dege Eco ni project ndogo sana. Hata hii area yote ikijengwa imalizike bado it's a very small project. Sasa ukiita hii city na Nyayo Housing ya NSSF Kenya tutaita nini? 🤣🤣

1.png
 
Back
Top Bottom