Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kigamboni city sijaiona lakini pengine makosa ni yangu kwa sababu sikuwa makini wakati picha zinapostiwa humu. Nitakuwa makini next time picha ikiwekwa huku. Kuhusu Dodoma, ujenzi naskia ulianza miaka 30 zilizopita. Sasa kwa nini tuhesabu Dodoma ikiwa city zote nilizotaja ujenzi wao ulianza ndani ya miaka kumi zilizopita ukizingatia hata ile ya Nigeria na Egypt? Dodoma ninaihesabu ikiwa tutazungumzia kuhusu cities ambazo zimejengwa from scratch since independence na hapo nitaweka pia Abuja kwa maana hio ilijengwa from scratch. Kwa hivyo hio Dodoma kama tunazingatia tu recent cities haitahesabika ila kama tunazingatia cities built since independence basi litahesabika. Picha za Kigamboni hata kama ni render ningependa kuiona ili nione itakuwa na facilities zipi. Anaye picha ya render apost.
Tony bhn mda mwingine huwa unachekesha sn, yani mpk leo unasema Kigamboni hujawahi kuiona? Ok waambie Wakenya wenzio wakuoneshe cz wanaijua vzr sn.
 
Alafu watasema wameizidi Tz kwa km of paved roads na kuna kunguni za ki Tz zitawaunga mkono, yn tunaunganisha mikoa yote ya Tz kwa mtandao wa lami alafu wanatokea watu na kanchi kao kadogo kama mkoa mmoja wa Tz eti wametuzidi kwa km of paved roads.
na tanzania ifahamike ni kubwa mara mbili ya kenya 😂😂😂😂
 
Hii Dege Eco nikiipandisha saana, nitailinganisha na Greatwall Gardens Nairobi (ambapo wakati Greatwall Gardens ni hotcake ya home buyers, hii Dege Eco ni white elephant considering ilianza kujengwa before Greatwall Gardens yet GG ishamalizika ishajaa watu na hii yenu bado inadtruggle). Hii soon city, hii ni gated community tu. Kitu ambacho mmeanza kukifanya juzi sisi tulianza 1970 na mtaa uitwao Buru Buru.
😂😂😂 Nimecheka sana kulinganisha huu upopoma (apartments) na dege ecco village it's disrespectful .. yani huu 👇
hqdefault(4).jpg
you must be kidding.. any way Dege ecco village sio apartments ni city kabisa kama ambavyo mnatengeneza tatu city na zinginezo nilishangaa sana Tony eti na yeye yupo humu ndani siku zote na hajui chochote kuhusu Dege ecco village. Huu mradi sio tu apartments za kuishi ni kila kitu kipo ndani, barabara za lami, water sewage systems, and all them centers for different services ... And it's some km away from CBD.. Pitia hapa 👇 . Angalia hii video hadi mwisho
 
😂😂😂 Nimecheka sana kulinganisha huu upopoma (apartments) na dege ecco village it's disrespectful .. yani huu 👇View attachment 2136037you must be kidding.. any way Dege ecco village sio apartments ni city kabisa kama ambavyo mnatengeneza tatu city na zinginezo nilishangaa sana Tony eti na yeye yupo humu ndani siku zote na hajui chochote kuhusu Dege ecco village. Huu mradi sio tu apartments za kuishi ni kila kitu kipo ndani, barabara za lami, water sewage systems, and all them centers for different services ... And it's some km away from CBD.. Pitia hapa 👇 . Angalia hii video hadi mwisho

Yani umeonyesha vizuuri building za GG zilizokamilika alafu unaturushia renders za Dege Eco na bado unataka kutueleza vile Dege iko juu.
 
Kigamboni city sijaiona lakini pengine makosa ni yangu kwa sababu sikuwa makini wakati picha zinapostiwa humu. Nitakuwa makini next time picha ikiwekwa huku. Kuhusu Dodoma, ujenzi naskia ulianza miaka 30 zilizopita. Sasa kwa nini tuhesabu Dodoma ikiwa city zote nilizotaja ujenzi wao ulianza ndani ya miaka kumi zilizopita ukizingatia hata ile ya Nigeria na Egypt? Dodoma ninaihesabu ikiwa tutazungumzia kuhusu cities ambazo zimejengwa from scratch since independence na hapo nitaweka pia Abuja kwa maana hio ilijengwa from scratch. Kwa hivyo hio Dodoma kama tunazingatia tu recent cities haitahesabika ila kama tunazingatia cities built since independence basi litahesabika. Picha za Kigamboni hata kama ni render ningependa kuiona ili nione itakuwa na facilities zipi. Anaye picha ya render apost.
Bro nani kakwambia mradi wa Dodoma new city umeanza 30 years.? Ujenzi wa Dodoma kama makao makuu ya nchi rasmi utekelezaji wake umeanzishwa na Raisi magufuli 2017 kama sijakosea, na hata hiyo new Magufuli City (gov city) ni mradi wa magufuli and everybody knows that humu ndani, I wonder why hakuna aliejitokeza kukuelewesha.. na ndio maana kila kinachopostiwa kizuri kuhusu Dodoma humu ndani ni kitu kipya kabisa au kipo U/C .. kuhusu case ya Kigamboni.. kulikua na proposal za miji miwili ambayo ni Kigamboni city project (it's not done) na Dege ecco village Kigamboni. Hii yote ni miradi ya kutengeneza miji na sio apartments kama ulivyodai kuhusu Dege ecco village.. kwenye hizi post zako 👇
Hizi ni apartments sio city. Kwani unadhani Kenya hatuna apartments? Kenya tuna thousands of apartments. Lakini tunapoongelea kuhusu special economic zones cities, Kenya tuna mbili tu ambazo ni kubwa, ambazo ni Konza city na Tatu city. Nigeria wana Eco atlantic, Egypt wana ile city yao mpya wanaoijenga Cairo. Nyie yenu ilikuwa ijengwe ila ujenzi haukuanza. Tofautisha kati ya city na apartments. City ina facilities zote ikiwemo sewage treatment plants, water treatments plants, substation ya umeme, barabara ya lami, apartments, supermarket, malls, shule ya msingi na sekondari lazima iwe, hospitali lazima iwe ndani ya city, warehouses pia lazima ziwe, offisi za makampuni lazima ziwe. City lazima ijitosheleze kwenye services zote. So wewe kupost picha za apartments kisha unaziita city umenishangaza sana. Ni kwamba huelewi maana ya neno city au nini?

Isitoshe hizi cities huwa kwa kawaida zinajengwa nje ya capital city kwa sababu bei ya ardhi ipo cheaper nje ya capital city. Wewe unapost apartments ndani ya Dar kisha unaziita city? Konza city ambayo ni 5,000 acres ipo Makueni county na Tatu city ipo Kiambu county. Hizi cities mbili hazipo Nairobi county. Eko Atlantic ya Nigeria ipo Lagos ila imejengwa kwa reclaimed island yaani kisiwa kimejengwa kwa kutumia mchanga wa bahari. Ile City ya Egypt inajengwa kando kabisa na Cairo. Inajengwa mbali na Cairo. Kwa hivyo usipost apartments, kama hamna sema hamna.

Zingine sio city kabisa, zingine ni apartments tu anazoweka. City inatakiwa iwe self-contained na amenities zote ikiwemo sewerage and water facilities,substation ya umeme, shule ya msingi, hospitali,supermarket au mall, barabara ya lami, street lights, warehouses, ofisi za makampuni, na kadhalika. Hio Dege ecco village anayopost wala sio city. Hizo ni apartments tu anazozipost hapa. Hio Kigamboni city aipost tuione. Kenya tuna Tatu city na Konza city na zote tumezifungulia nyuzi. Mimi nilifungua uzi wa konza city na huwa naiupdate kila wakati. Konza city kunajengwa kila aina ya infrastructure hata mitaro imechimbwa na nyaya za umeme zinawekwa chini hutaona post za stima Konza city. Fibre optic, pipe za maji zote zinapitia kwenye hizi mitaro. Kisha mitaro zinafunikwa vizuri hutajua nini kinapitia huko chini. Sewege treatment plant pia inajengwa Konza city. Substation kubwa itakayo step down umeme pia inajengwa Konza city.
Barabara ya lami pia zinajengwa. Phase 1 ni 400 acres na itakuwa na makampuni aina tofauti tofauti hususan za teknolojia. Pia university ya South Korea inayoitwa KAIST imeanza ujenzi huko. Ukitaka unaweza kupitia uzi wenyewe.

Sama boy 255 wakati mwingine ni vizuri kuwa humble na kujifunza mambo ambayo nyie hamna. Mtu kama The best 007 alisema kwamba hakuna kitu ambacho kiko Kenya ambacho hakiko TZ. Sasa wacha The Best 007 atuonyeshe city Tanzania ambayo imejengwa from scratch na ipo well planned. Kigamboni bado ujenzi upo 1%
Na ukweli upo wazi mbona, Dege ecco village ni City project kama konza na tatu city, Dege sio gated community wala apartments tu kama ulivyodai .. pitia hii video 👇imeeleza kila kitu . Usipotoshe watu ikiwa kitu huna yakini nacho (hukijui)
 
Bro nani kakwambia mradi wa Dodoma new city umeanza 30 years.? Ujenzi wa Dodoma kama makao makuu ya nchi rasmi utekelezaji wake umeanzishwa na Raisi magufuli 2017 kama sijakosea, na hata hiyo new Magufuli City (gov city) ni mradi wa magufuli and everybody knows that humu ndani, I wonder why hakuna aliejitokeza kukuelewesha.. na ndio maana kila kinachopostiwa kizuri kuhusu Dodoma humu ndani ni kitu kipya kabisa au kipo U/C .. kuhusu case ya Kigamboni.. kulikua na proposal za miji miwili ambayo ni Kigamboni city project (it's not done) na Dege ecco village Kigamboni. Hii yote ni miradi ya kutengeneza miji na sio apartments kama ulivyodai kuhusu Dege ecco village.. kwenye hizi post zako





Na ukweli upo wazi mbona, Dege ecco village ni City project kama konza na tatu city, Dege sio gated community wala apartments tu kama ulivyodai .. pitia hii video imeeleza kila kitu . Usipotoshe watu ikiwa kitu huna yakini nacho (hukijui)
Mkuu kuhusu huyu Tony kuongea mambo mengine asiyoyajua ni kawaida yake, cc tuliyemzoea mda mwingine huwa tunamwacha mana inachosha kumweleza mtu kitu hicho hicho alafu anarudia tena vilevile. Hapo juu amesema eti Dodoma imeanza kujenga 30yrs back na akaongeza kusema eti since Uhuru, je mtu kama huyu ni wa kujisunbua kumjibu kitu ambacho kinaongelewa kila siku?

Mm nilitaka kumjibu lkn nikaona nimuache tu mana Tony ana tatizo la kusahau sahau, mfano anasema hajawahi kuiona Kigamboni wakati mara kibao imewekwa humu na yeye mwenyewe aliwahi kuisifia, ss Leo anakuja anasema hajawahi kuiona, utamsaidiaje mtu kama huyu? Sisi ambao tunamfahamu vzr bwana Tony huwa tunamwacha tu as long as wakunya wenzie wanaujua ukweli haitaharibu kitu.
 
Back
Top Bottom