Zingine sio city kabisa, zingine ni apartments tu anazoweka. City inatakiwa iwe self-contained na amenities zote ikiwemo sewerage and water facilities,substation ya umeme, shule ya msingi, hospitali,supermarket au mall, barabara ya lami, street lights, warehouses, ofisi za makampuni, na kadhalika. Hio Dege ecco village anayopost wala sio city. Hizo ni apartments tu anazozipost hapa. Hio Kigamboni city aipost tuione. Kenya tuna Tatu city na Konza city na zote tumezifungulia nyuzi. Mimi nilifungua uzi wa konza city na huwa naiupdate kila wakati. Konza city kunajengwa kila aina ya infrastructure hata mitaro imechimbwa na nyaya za umeme zinawekwa chini hutaona post za stima Konza city. Fibre optic, pipe za maji zote zinapitia kwenye hizi mitaro. Kisha mitaro zinafunikwa vizuri hutajua nini kinapitia huko chini. Sewege treatment plant pia inajengwa Konza city. Substation kubwa itakayo step down umeme pia inajengwa Konza city.
Barabara ya lami pia zinajengwa. Phase 1 ni 400 acres na itakuwa na makampuni aina tofauti tofauti hususan za teknolojia. Pia university ya South Korea inayoitwa KAIST imeanza ujenzi huko. Ukitaka unaweza kupitia uzi wenyewe.
tremendous progress made so far https://www.skyscrapercity.com/threads/konza-konza-technology-city-u-c.351166/page-59#post-172396203
www.jamiiforums.com
Sama boy 255 wakati mwingine ni vizuri kuwa humble na kujifunza mambo ambayo nyie hamna. Mtu kama
The best 007 alisema kwamba hakuna kitu ambacho kiko Kenya ambacho hakiko TZ. Sasa wacha The Best 007 atuonyeshe city Tanzania ambayo imejengwa from scratch na ipo well planned. Kigamboni bado ujenzi upo 1%