Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hizo case zote umetaja hapo, hazifananishiki kabisa Kati ya sisi na nyinyi.. ipo hiv km of paved roads in tz ni nyingi kuliko nchi yoyote ukanda huu, ndio maana biashara ya mabasi ya kusafirisha abiria mikoani kwa hapa bongo ni kubwa kuliko nchi yoyote, lakini moja ya sababu ni kuwa na barabara zinazopitika vizur nchi nzima .. uko kwenu ni upuuzi mtupu we all know
Nyinyi ata a simple neighborhood kigamboni satellite images zinaonyesha hakuna lami, mnatarajia aje kuwa na more than 13k kilometers of tarmac!!!
 
Nyinyi ata a simple neighborhood kigamboni satellite images zinaonyesha hakuna lami, mnatarajia aje kuwa na more than 13k kilometers of tarmac!!!
Mwambie aende Greatwall Gardens aangalie surrounding areas kama barabara ni vumbi. 🤣🤣
 
Tatu City Godowns

fFk5l9Eh.jpg


Tatu City Industrial Park

LuXpxyRh.jpg


Tatu City Mansions

182196982_4035519799847068_5279410635656975810_n.jpg
 
Hahaha. Sawa hutawahi kutuona tumekuja huko kujifunza chochote. Nchi nyingi za Afrika zimegundua kwamba Mombasa port ipo mbele yao na wanakuja kujifunza ikiwemo hata Gambia ambao walikuwa Mombasa port wiki uliopita.

Mmeona jinsi Tony alivyo msahaulifu? Tayari keshasahau kwamba wabunge wao wameshakuja huku kujifunza ktk miradi ya kimkakati hususan Dodoma, huyu Tony ni kiumbe msahaulifu sn.
 
Mmeona jinsi Tony alivyo msahaulifu? Tayari keshasahau kwamba wabunge wao wameshakuja huku kujifunza ktk miradi ya kimkakati hususan Dodoma, huyu Tony ni kiumbe msahaulifu sn.
Walienda Dodoma hawakuenda Dar es Salaam port.
 
Na hako kamradi ka apartments za great wal si haka hapa View attachment 2136139kapo katikati ya industrial area Dah noma sana .. unataka kulinganisha na dege ecco village Kigamboni, unakichaa wewe NairobiWalker.? Eti are you crazy or something.? Tony254 njoo ucheke na hapa .. wazee wa kujigamba
Nilitaka nikaweke hako kamradi ka Great wall Garden sema nilijua tu huwezi kumuacha mana nilijua kwa kawaida ukiona mkunya haweki picha za juu ujue kuna kitu anaficha
 
Mmeona jinsi Tony alivyo msahaulifu? Tayari keshasahau kwamba wabunge wao wameshakuja huku kujifunza ktk miradi ya kimkakati hususan Dodoma, huyu Tony ni kiumbe msahaulifu sn.
na wewe umesahau Yule mbunge wenu alisema mnataka kushindana na Kenya na mko na vierani tano alafu mnasema eti mko na viwanda? Tena kwa bunge😂
 
Akili kidogo kama ya panya
Refer to ;
USA to Russia
Kenya to Ethiopia
South Africa to lybia
Germany to Australia
Mauritius to Malawi
Kenya to Somalia
List is endless
Mwache UJINGA.mnaaibisha nchi.
Tatizo lako wewe huwa una hasira sn
 
Usituonyeshe hiyo video ya renders boss, tuonyeshe the real project on ground.
Hiyo Google image ya Tatu hujaonyesha hata 10% ya Tatu City yet mimi nimekuonyesha 100% ya Dege.

Sahii tunapoongea, Tatu ina -
1. Apartments
2. Mansionettes
3. Mansions
4. Schools
5. Industries
6. Industrial Parks
7. Shopping Mall
8. Office Blocks
9. Hotel
Yet ujenzi hujafika hata 10%. Sasa ufananishe tuapartment twa Dege na City kama hiyo? Unaweza ukaishi Tatu, ufanye hapo kazi, ushomeshe watoto hapo na ufanye shopping hapo. That's the difference between a City and apartments.
Weka picha ya juu sasa unaogopa nn
 
Na hako kamradi ka apartments za great wal si haka hapa 👇View attachment 2136139kapo katikati ya industrial area 😂😂😂 Dah noma sana .. unataka kulinganisha na dege ecco village Kigamboni, unakichaa wewe NairobiWalker.? Eti are you crazy or something.? Tony254 njoo ucheke na hapa .. wazee wa kujigamba 😂😂
nikiwaambia ni zwazwa munielewe 😂😂😂
 
ngoja nikwambie kitu bro dunia hii pesa iko nchi za kiarabu yani asikudanganye mtu na watumiaji wa pesa dunia hii ni waarabu na bahat nzuri tanzania na nchi za kiarabu zina historia kubwa, tuombe Mungu ila mambo yatakaa vzr sana
Ila siwaamini waarabu haswa nikiangalia uhasama wao wa kimadhehebu Yemen! Ni watu bado hawajajikomboka kifikra na hawajui kutofautisha biashara na udini! Hata mgogoro wa Somalia wako nyuma japokuwa 99% ya Wasomali ni Waislam! Nisingependa wa-control uchumi wetu, bora Mchina mara kumi haingilii mambo ya ndani ya kiutawala ya nchi!
 
Wewe endelea kutetea huyu jambazi shetani. Putin anastahili kupigwa risasi na kuondolewa duniani.
libya, iraq etc hao mashetani wamatekani hawakua mashetani au sio , au ndio ule msemo vita viskie kwa mwenzako??
 
Back
Top Bottom