Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tutakuwaje na GDP kubwa wakati watumishi wa umma ndiyo nyie kina tuusan kazi hamtaki kufanya mnataka mishahara mikubwa ndiyo mana mpk Leo mnashindwa kuondoa slums na kuimaliza njaa na kipindupindu vinavyowatesa kila mwaka.
Umekata tamaa? Huo sio muandiko wako kabisa
 
Tutakuwaje na GDP kubwa wakati watumishi wa umma ndiyo nyie kina tuusan kazi hamtaki kufanya mnataka mishahara mikubwa ndiyo mana mpk Leo mnashindwa kuondoa slums na kuimaliza njaa na kipindupindu vinavyowatesa kila mwaka.
Wapumbavuu sana watumishi wa umma wa tz kazi zao ni kujaza vyoo tu na kudai waongezewe mishahara
 
Kweli mzee zitakua sio hifadhi tena miaka ijayo saivi wanafaa wapelekwe seluu huko na hifadhi zingine za southern circuit au wajenge hotel kwenye miji inayakarbia izo hifadhii
Inatakiwa waweke corridor ya hotel siyo kujenga kila sehemu mbugani
 
FB_IMG_16460676053498962.jpg
 
Tatizo lako ni ujinga wa kutafuta takwimu au uvivu uliopindukia....haya hii summary kutoka world bank .
Watu milioni 30 waGhana wanawezaje kutengeneza GDP ya $70B alafu sisi tulio milioni 60 tutengeneze $60B? Huwezi tu kuona wanatuzidi. Hii mada naifunga rasmi maana denial zenu hazibadili chochote View attachment 2134138View attachment 2134140View attachment 2134141View attachment 2134142
Nitafutie top10 yyte ile ya miji iliyoendelea zaid Africa inayoonyesha Accra imeendelea zaid ya Dar halafu namim ntakuletea list mbalimbali..
 
Tatizo lako ni ujinga wa kutafuta takwimu au uvivu uliopindukia....haya hii summary kutoka world bank .
Watu milioni 30 waGhana wanawezaje kutengeneza GDP ya $70B alafu sisi tulio milioni 60 tutengeneze $60B? Huwezi tu kuona wanatuzidi. Hii mada naifunga rasmi maana denial zenu hazibadili chochote View attachment 2134138View attachment 2134140View attachment 2134141View attachment 2134142
Kwa kukusahihisha TU kwanza latest data Tz GDP inasomeka $69 billion .. Alaf mbona inabadilisha mada, kwani battle uliyoiomba ni kati ya Dar vs Accra au TZ vs Ghana.?
 
Back
Top Bottom