Wasichana wenzake kama huyu upande wa kunyaland wapo nyamakima wanauza uroda kwenye jua la saa 6 😅😅😅
mnakumbuka maneno ya wakenya kuhusu V8 za CCM kipindi cha uchaguzi?
nasubir kusikia kauli zao kuhusu hiz
Hakuna list yeyote imewahi kuirank Accra above Dar kimaendeleo.. Embu lete tuoneAgenda ilikua fupi sana kama sio kweli thibitisha mkaaa kulialia tu
Wasichana wenzake kama huyu upande wa kunyaland wapo nyamakima wanauza uroda kwenye jua la saa 6 😅😅😅
hakuna makasiriko,Mbona sasa makasiriko, nimetanguliza kabisa info kuwa sio mtaalam na nikasema wataalamu watuambie kwasababu niliona taarifa fulani kuhusu nguzo, beams sijui lintel n.k. Swala kama wewe ni mtalam wa hayo mambo unaweka maelezo tuelewe sio makasiriko
achana naye huyo,unajisumbuaNaona umeona utoe nyongo. Fananisha na hapa
View attachment 2133974View attachment 2133977View attachment 2133980View attachment 2134004
uliingia mifukoni mwao na kuhesabu pesa ya kila mmojaIla hela wanatuzidi
Poleuliingia mifukoni mwao na kuhesabu pesa ya kila mmoja
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Tatizo lako ni ujinga wa kutafuta takwimu au uvivu uliopindukia....haya hii summary kutoka world bank .Hakuna list yeyote imewahi kuirank Accra above Dar kimaendeleo.. Embu lete tuone
kwanza population ya Ghana si kweli 30 mln people! jaribu kuchunguza miaka yoote imekuwa hivyo ! Say Ghana population within Ghana!Tatizo lako ni ujinga wa kutafuta takwimu au uvivu uliopindukia....haya hii summary kutoka world bank .
Watu milioni 30 waGhana wanawezaje kutengeneza GDP ya $70B alafu sisi tulio milioni 60 tutengeneze $60B? Huwezi tu kuona wanatuzidi. Hii mada naifunga rasmi maana denial zenu hazibadili chochote View attachment 2134138View attachment 2134140View attachment 2134141View attachment 2134142
Tutakuwaje na GDP kubwa wakati watumishi wa umma ndiyo nyie kina tuusan kazi hamtaki kufanya mnataka mishahara mikubwa ndiyo mana mpk Leo mnashindwa kuondoa slums na kuimaliza njaa na kipindupindu vinavyowatesa kila mwaka.Tatizo lako ni ujinga wa kutafuta takwimu au uvivu uliopindukia....haya hii summary kutoka world bank .