Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naona umeona utoe nyongo 😂😂😂. Fananisha na hapa 👇
hamiducityparkofficial_1640440938607129.jpg
avictown_dar_1622026394686250.jpg
maxresdefault(90).jpg
maxresdefault(89).jpg
 
mm sina muda wakuthibitisha hapa unless fungua uzi wa dar vs accra alaf uone sasa nitag huko nitakuja na dozi kamili

ila hapa una agenda kama unataka kuondoa dhumuni la uzi huu ila haiwezekani bro trust me
Hayo ni mawazo yako ukubali au ukatae haibadili kua Accra ni richer than dar
 
mm sina muda wakuthibitisha hapa unless fungua uzi wa dar vs accra alaf uone sasa 🤣🤣🤣 nitag huko nitakuja na dozi kamili

ila hapa una agenda kama unataka kuondoa dhumuni la uzi huu ila haiwezekani bro trust me
hata mimi nitakuja!

Yaani jamaa wa sachet water walinganishwe na sisi?


 
angalia geography ya kigoma alaf useme tena hzi kauli, au somo hilo pia ni mtihani bro
Hakuna sababu yyte ya maana utakayotoa hapa,Kigoma iliachwa nyuma miaka mingi bila sababu yyte ya msingi
 
Hii speed ya kutoa vibali vya ujenzi ndani ya hifadhi ipungue kidogo
wewe ni punguani wa wapi au unafikiri hizo sehemu zinakatwa mbugani? Hizo sehemu zipo tangu tourism management plan ilipowekwa! Hujipimii kizobazoba! hata wewe ukiwa na uwezo wa kujenga lodge kwa criteria zao ya hadhi za nyota tano wanakupa sehemu! Wewe unafikiri TANAPA au NCAA wapo kwa ajili ya nini?
 
Back
Top Bottom