Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tena kwenye estates ndio tumepigwa sana inaonyesha unit 100 za hamidu hapa huna ata aibu
Hebu weka hizo estate za Ghana au fungua uzi wa Accra kama anavyosema ichoboy tuje, hakuna estate zozote za kutisha za Ghana, nmefuatilia nmeona ni ushuzi mtupu uliweka humu mzee, bado nakwambia hakuna muda mchafu wa kuongelea Accra humu au ufungue thread yako zen tukaribishe tuje
 
Hapa cha mana ulichoonesha ni hivi vi estate tu, bado endelea kuweka picha za mana ili tukubali kwamba wewe co maji mara moja na tukubaliane na hoja zako. Kwenye vi estate nadhani wametuzidi hapa EA labda Dodoma ikiisha.
Hata hizo estate ni ushuzi mtupu kumbe
 
Hebu weka hizo estate za Ghana au fungua uzi wa Accra kama anavyosema ichoboy tuje, hakuna estate zozote za kutisha za Ghana, nmefuatilia nmeona ni ushuzi mtupu uliweka humu mzee, bado nakwambia hakuna muda mchafu wa kuongelea Accra humu au ufungue thread yako zen tukaribishe tuje
Accra mpaka leo wana kipindupindu!
 
tapatalk_1646048644643.jpg
 
Maendeleo co barabara tu, weka angle tofauti, hotels, recreational parks, health sector, etc ili nisijisumbue kuweka za kwangu hapa
Kuna siku hapa watu walikua wanasema maendeleo sio majengo na barabara wakaanza kuita watu hamnazo kwa kuwa walikua wanapost majengo na miundombinu. Ila wao wakitaka kusema nchi flani ipo vizuri , Wanapost majengo na barabara hizo hizo walizokana upande mwingine, sasa tuelewe kipi? 😂
 
Nakumbuka sana tu mimi nilikua ni mmoja Kati ya hao wahanga tuliotukanwa kwa kupost majengo na barabara za China, kuna waja humu wakadai maendeleo sio barabara na majengo 😂😂 alaf hao hao wanajifu kuendelea kwa vigezo vya barabara na majengo 😂😂😂 upuuzi mtupu
 
Ila nimeangalia Coastline ya ACCRA mhhh, walichoifanyia hiyo Coastline ni majanga ya Dunia. yaani manzese ya DAR ndio itande costline yote.
Ghana bado sn wanachokifanya humu kina tuusan na wakenya wenzake ni goal shifting technique, wamezidiwa kuweka picha za nchi yao wanaiingiza Ghana kwenye ugomvi usioihusu, huyu tuusan aoneshe mambo ya nchi yake aachane na mambo ya Accra au afungue uzi.
 
Back
Top Bottom