Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbona unanijazia mivideo yote hii? Kwani nimesema huyo ndio wa kwanza Tanzania? Sasa nikiamua kuleta female pilots wa Tanzania itakuaje?
hao ndiyo wakenya bhana hata ukileta picha ya kuku hapa na ukaipa maelezo kuwa huyu kuku anataga mayai mengi sana,atatokea mkenya mmoja type kama huyo kisha naye atakuquote na kupost picha za kuku na kusema kuwa hawa kuku wetu wa kenya wanataga mayai mengi zaidi kuliko hao wenu,,

endelea kuwaenjoy tu

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Huyu dereva wa basi anatakiwa kunyang'anywa licence, ana-overtake sehemu ziko-prohibited! sidhani kama anafahama maana ya solid line katikati!

Hairuhusiwi ila sema kwa ichi kipande ukisema ufate sheria utakaa masaa ata manne na zaidi unapandisha mlima tuu kwa sababu hauruusiwi kuovateki na kuna malori hapo yanatembea kwa spidii ndogo ata jongoo ana Afadhali sasa bila kuovateki hapo utakesha
 
Hairuhusiwi ila sema kwa ichi kipande ukisema ufate sheria utakaa masaa ata manne na zaidi unapandisha mlima tuu kwa sababu hauruusiwi kuovateki na kuna malori hapo yanatembea kwa spidii ndogo ata jongoo ana Afadhali sasa bila kuovateki hapo utakesha
kingine speed yake kubwa! Yaani hamna ujuzi pale! Serikali inabidi kuweka mkazo!
 
Na ndio una viongozi wengi Serikalini ambao ni top kuanzia VP hadi mawaziri na ma makatibu wakuu.

Una wasanii maarufu wengi,Wana michezo na wafanyabiashara lakini wote hawapendi kwao,wanajifanyaga wazalendo Sana.
umeongea point sana hapa ila kuna ambao hawatakuelewa! Kila mkoa ungekuwa na watu mashuhuri kama Kigoma kwenye nafasi za juu za serikali kuna baadhi ya mikoa ingekuwa mbali sana! kuna mikoa hawana ardhi kubwa na yenye rotuba au uvuvi na madini kama Kigoma wana kilimo tu na kimewatoa!
 
umeongea point sana hapa ila kuna ambao hawatakuelewa! Kila mkoa ungekuwa na watu mashuhuri kama Kigoma kwenye nafasi za juu za serikali kuna baadhi ya mikoa ingekuwa mbali sana!
Ni wajinga Sana na wapuuzi hao watu wa Kigoma.Walikuwa hawamuoni Mzalendo wa Chato alivyokuwa anadumisha kauli ya charity begins at home?
 
Back
Top Bottom