tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
JiheshimuUmezoea kuchapwa fimbo unafikiri ni michezo ya kila mtu?
JiheshimuUmezoea kuchapwa fimbo unafikiri ni michezo ya kila mtu?
Hapa cha mana ulichoonesha ni hivi vi estate tu, bado endelea kuweka picha za mana ili tukubali kwamba wewe co maji mara moja na tukubaliane na hoja zako. Kwenye vi estate nadhani wametuzidi hapa EA labda Dodoma ikiisha.
Tunaenda taratibu naona hata barabara tunapigwaHapa cha mana ulichoonesha ni hivi vi estate tu, bado endelea kuweka picha za mana ili tukubali kwamba wewe co maji mara moja na tukubaliane na hoja zako. Kwenye vi estate nadhani wametuzidi hapa EA labda Dodoma ikiisha.
Weka picha wacha maneno cz tangu juzi unang'ang'ania Accra this Accra that but no pics.Tunaenda taratibu naona hata barabara tunapigwa
Yeah angalia kuanzia dakika ya 18:24 kuna habari yake kwa ukamilifu
Maendeleo co barabara tu, weka angle tofauti, hotels, recreational parks, health sector, etc ili nisijisumbue kuweka za kwangu hapaTunaenda taratibu naona hata barabara tunapigwa
Mbona sasa makasiriko, nimetanguliza kabisa info kuwa sio mtaalam na nikasema wataalamu watuambie kwasababu niliona taarifa fulani kuhusu nguzo, beams sijui lintel n.k. Swala kama wewe ni mtalam wa hayo mambo unaweka maelezo tuelewe sio makasirikosasa kama siyo mtaalam kwanini uropoke kwa vitu usivyovijua?
nilijua kuwa umewahi tembelea hayo madaraja mawili na ukafanya vipimo vya ubora,kumbe ni mropokaji tu
uache utoto,ifike mahala ukue,
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
🙏🙏Nitake radhi mkuu, kunita mkenya ni kama kuniita mtumwa
So football ni ujinga kwasababu nyie mmefungiwa kutokana na kukosa viwanja bora na ligi ya kishamba au co [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wengine wamebaki kwa ujinga wa football tu
Kuomba serikali ijenge more stadiums za mpira!
Nchi ya kishambaa sana
ghana bado sana kwa tanzania mzee tena bado sana 🤣🤣🤣🤣Au hasira ni kisa Ghana inawachapa kila angle?huyo ndio iko hivyo upende ama usipende
Thibitishaghana bado sana kwa tanzania mzee tena bado sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
nithibitishe nn tena hapo hvi kuna kitu ww hukifahamu ?? 😂😂😂 au umetumwa uharibu huu uzi kwa kuleta mada zingine ?Thibitisha
Huu mkoa ndio wa mwisho kwenye kila kitu
Agenda ilikua fupi sana kama sio kweli thibitisha mkaaa kulialia tunithibitishe nn tena hapo hvi kuna kitu ww hukifahamu ?? [emoji23][emoji23][emoji23] au umetumwa uharibu huu uzi kwa kuleta mada zingine ?