NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 16,386
- 17,968
Hawa washakwisha hawa kuna jini linawatafuna kwa ss linaitwa mudaMzee bado matokeo ya marathon subiri kidogoo wanaweza wakajipanga top 10 yoote! Ohooo...!!








eti mutu ya hapo ikuambie inaendesha V8 unashindwa ina park wapi😢 yani ni huzuni sana vichochoro tu,uswazi from left to right
lakini wamesema worst than zimbabwe only, and not tanzania or any other country... note; even england is poorer than germany. alafu.!?Hahahaha, mbona unakasirika?, Nimekuuliza swali, unapaswa kunijibu, how comes bigger economy with poorest citizens?![]()
mwewe😂haina shida bora uhai! Napepea nikichapa ruti hapo dar kwenye uswazi yenu kujionea bure!Kweli nani kapanga mji wenu darislum kituko! Mpaka imeharibu sura ya BRT yenu,kapitia pabaya😢Kumbe wewe umetokea kwa wale washamba ambao mzungu akiwaulizwa bei ya banana wanajibu "Hazijabanana, unghali mwemwe"
😂si vyoo vyao pia kama Stage zenu za BRT au sio bratha😢na vyoo vingine vibovu ndio munaviitaga uswazi💩Ni kweli kabsa lakini vyoo vyao ni kama haya mabanda yenu mnayo laliaga hapo Kenya.
Ila kenya mna shida sana mnalala kwenye nyumba kama hizi? Ata mbwa wa tz anawazidi maisha maana huku sikuhizi mbwa anajengewa nyumba kabsa ya matofali na kuezekwa kwa mabati kabisa
This is kenya,
Vipi umekumbuka lakini kuziba bati lako ili mvua isikunyeshee tena?👇👇
View attachment 2132567
.NEWZ KIDOGOView attachment 2130961View attachment 2130963View attachment 2130964
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Aisee watu ni wabishi,Kazi ya kuchimba na kuyeyusha kwani inafanywa na Nchi au watu wawekezaji binafsi?Hakuna nchi yoyote hapa Africa ukiacha South Africa yenye kuchimba chuma na kukiyeyusha katika kiwango cha nchi, huko Uganda Kama wanafanya ni wawekezaji wadogo wadogo ambao sio kiwango kikubwa wa mradi Kama wa Liganga - Mchuchuma, Kama unazungumzia wachimbaji wadogo wadogo, hata kule Liganga wapo wachina wengi tu wanachimba chuma
mukuru,kibra etc,visehemu vidogo😕 lakini ebu zoom picha utadhani uswazi ya darislum from left to right😢😢😢Ukisikia Mukuru kwa Njenga, Mukuru Kayaba 😅😅😅
600000 people call these shacks homes
View attachment 2132578
View attachment 2132579
View attachment 2132581
View attachment 2132582
Utitiri wa slums uliopo Kenya ndio unafanya wakenya wengi waishi kwenye slums, Huwezi kuniambia kuna idadi kubwa ya watu Karen (japo nayo ina slums), runda, west etc sababu huko kuna idadi ndogo sana ya watu kutokana na kuwa na nyumba chache ndani ya mapori makubwa tofauti na kwenye slums eneo dogo watu shazimukuru,kibra etc,visehemu vidogo😕 lakini ebu zoom picha utadhani uswazi ya darislum from left to right😢😢😢
Utitiri wa slums uliopo Kenya ndio unafanya wakenya wengi waishi kwenye slums, Huwezi kuniambia kuna idadi kubwa ya watu Karen (japo nayo ina slums), runda, west etc sababu huko kuna idadi ndogo sana ya watu kutokana na kuwa na nyumba chache ndani ya mapori makubwa tofauti na kwenye slums eneo dogo watu shazi








khakhakha ni wasiri sanahii mlinyamazia sanaView attachment 2132810
I always say dar is a slum compared to the mighty Nairobi... now some guys want to compare the entire Westland's to tiny UpangaView attachment 2132765
Westlands hii toa hizo tower alafu leta hapa uone inavyolazwa chali na westUpanga onlyView attachment 2132769.. we jamaa umewahi kufika Dar.? au unaishia kuiona kwenye picha tu.? East upanga je.? View attachment 2132774hivi unajua ni gorofa ndefu kiasi gani zipo Upanga alone.?



.... without knowing Westland's is a big district with some subdistrict not only it's cbd.
