Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,899
- 103,764
Narudia tena without NBO towers Westlands is nothing compared to Upanga, kwasababu kwanza Upanga is 2× larger than west.. you better admit the truth
Nyang'au wengi bado wana mawazo ya miaka ya sitini.Shida yako uwa hutumii akili,hapa bongo mtu mmoja anaweza kuwa na magari ata 100 kwa sababu watu wanamiliki pesa na uwa hawajigambi,ndio maana ata kwa hapa EA nchi yenye matajiri wakubwa ni bongo na sio vinginevyo
Hata wakitoa izo towers bado Upanga italemewa tuNarudia tena without NBO towers Westlands is nothing compared to Upanga, kwasababu kwanza Upanga is 2× larger than west.. you better admit the truth
We jamaa hujielewi wacha kujiabisha, unaijua lakini Kwamba ukizungumzia utajiri, infrastructure is concerned.?Nmeleta takwimu zote hapa embu acha kuuliza maswali ya kitoto
Magari ni machache sana Tz na karibia nusu au zaidi yapo Dar peke yake..Sikatai, hata hapa Kenya kuna watu wako na magari maelfu lakini what's the situation of most people? Saa zingine tumia logic, wacha ushabiki. Most people in Tanzania don't own vehicles. There are entire villages in Tanzania without a single vehicle. Wanaomiliki magari mengi ni hao mabilionea akina Rostam - wengine majority hawana. Niko na asilimia 90 uhakika wewe mwenyewe unayepayuka hapa huna gari. Acheni ushabiki wa kijinga. In 2014, Tanzania had 7 vehicles per 1000 people - that translatec to less than 400,000 vehicles in the whole country. Saa hii nadhani labda mmefika 10 vehicles per 1000 people which translates to 600,000 vehicles in the whole country.
Naomba hii picha itunzwe kwa matumizi ya baadae, japo ni ya zamani sn 2012Hii nchi kuna magari mengi sana mpaka shida ila uwa haturingi na hatutaki sifa lakini wakunya ukimwambia ukweli anakimbilia google,yaani wanatumia google kama source yao ya data lakini kwa ground mambo ni tofauti sana
Takwimu za kenya (sio za bongo) zinasema kenya kufikia hizi level ni 2030
View attachment 2132639
View attachment 2132640
View attachment 2132641




Dah jamaa tumewapiga gape kubwa kwenye suala Zima la ku save, ndugu yao Rwanda





Hata wakitoa izo towers bado Upanga italemewa tu
every country has traffic jam......The dilapidated ugly road has caused the gridlock. America doesn't have traffic jams but has atleast 500 million unitsWacha maneno bana ww,New bagamoyo road lazima iwe na magari mengi kwasababu middle class ni wengi kuliko maeneno mengine ya jiji. Minds you ukitoka Dar huko mikoani magari ni machache sana close ni negligible
Nani aliyekuambia Dar ina residents 4M?2.5M, kwa city ya 4M people. Yani Hadi watoto wadogo huko Tandale wana magari. Yani jamaa anatuambia car ownership yao iko juu kushinda UK.![]()
saving means nothing.......Tumia pesa ikuzoee.....as usual a coward will save instead of using his brain to investDah jamaa tumewapiga gape kubwa kwenye suala Zima la ku save, ndugu yao Rwanda![]()
Tuanzie hapa hapa kwenye huu uzi tuone ni watz wangapi wanamiliki gari na wakunya wangapi wanamiliki gariSikatai, hata hapa Kenya kuna watu wako na magari maelfu lakini what's the situation of most people? Saa zingine tumia logic, wacha ushabiki. Most people in Tanzania don't own vehicles. There are entire villages in Tanzania without a single vehicle. Wanaomiliki magari mengi ni hao mabilionea akina Rostam - wengine majority hawana. Niko na asilimia 90 uhakika wewe mwenyewe unayepayuka hapa huna gari. Acheni ushabiki wa kijinga. In 2014, Tanzania had 7 vehicles per 1000 people - that translatec to less than 400,000 vehicles in the whole country. Saa hii nadhani labda mmefika 10 vehicles per 1000 people which translates to 600,000 vehicles in the whole country.







So nyie mko vzr kuliko UK mana nyie mnatumia tu ham save au co? Na nani alikuambia kuna maskini anaye savesaving means nothing.......Tumia pesa ikuzoee.....as usual a coward will save instead of using his brain to invest








Ujinga wako kawapelekee wajinga wenzioUseless dying monkey..
Hakuna siku sekta ya kilimo ilipata mafanikio kama wakati wa JK.Kilimo cha kisasa cha kutumia zana Bora kiluanza na watu walipenda kilimo.
Power tilker hadi tractors zikifanya Kazi,contract farming ndio ilianza,mbolea zilitolewa kwa ruzuku na mambo mengi mazuri.
Mazao yetu yalikuwa na bei nzuri.Unfortunately alivyoingia yule mwehu wenu kila kitu kiliharibika.
Wizara ya kilimo ilikuwa ignored na ndio kipindi bei za Mazao ziliharibika, migogoro na majirani na akavuruga na biashara ya wanunuzi wa korosho,mbaazi na ufuta.
Tulipata hasara kubwa Sana kama Taifa kuongozwa na kichaa, nadhani ccm hawatarudia tena lile kosa..
Saizi Samia anahangaika upya ku restore the working economy,the glory of Tanzania.
Watu kama Mwendazake ni war mongar wasiojali utu kama Putin,Hitler and the likes.Rais aligombana na kila jirani ila kwa sababu yeye alikuwa anakula jasho letu wala hakujali,Bora Mungu kampenda tumepumua as a region.
Nani kakuambia kuna mkunya anayeidharau Tz? Bakora tulizowapiga wamejuta kutufaham, kilichobaki now ni hofu imewajaa, alafu cc watz wengi ndiyo tunaidharau Kenya cz tunajua inanuka njaa na ma slums everywhere.Unaidharau Tanzania mpka inachekesha...
Jaribu kufanya uchunguzi Kati ya Uganda na Tanzania wapi Kuna chuma kingi ardhin. Jambo lingine ni kwamba uvunaji wa chuma, gasi na mafuta unafanywa na wawekezaji, sio serikali, kwahiyo mara nyingi serikali haina mamlaka ya kudhibiti Kasi ya uwekezaji.Kama Uganda with no significant iron ore deposits wameweza kujenga smelter ya kuzidi ,why Tzn with abundant iron ore deposits keep on narrating about Liganda and Mchuchuma over years?
Kuna shida kubwa kwenye sera ya viwanda na migodi hapa Tzn
View attachment 2132783
View attachment 2132784
Hao wawekezaji kwa nini hawaji Tzn? Sasa kama Uganda ndio Wana deposits nyingi inakuaje Tzn yenye deposits kiduchu inajivuta vuta?Jaribu kufanya uchunguzi Kati ya Uganda na Tanzania wapi Kuna chuma kingi ardhin. Jambo lingine ni kwamba uvunaji wa chuma, gasi na mafuta unafanywa na wawekezaji, sio serikali, kwahiyo mara nyingi serikali haina mamlaka ya kudhibiti Kasi ya uwekezaji.
Huu sasa ni wivu 😄😄😄😄.Leta facts za sekta ya kilimo awamu ya Mwendazake.Ujinga wako kawapelekee wajinga wenzio