Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

giza unone, uchoyogirl na worst 007 wakiwa kazini Dar [emoji23][emoji23]View attachment 2131461
Sielewi context ya hii Facebook post Kwa hiyo inabidi niulize. “Sherehe ya ushoga” Ndio sherehe gani? Sheria ipi inakataza sherehe? Ndio, Sheria ya Tanzania inapinga same sex relations na ndoa za jinsia moja, lakini kama sherehe haihusishi any sex and/or marriage, kosa lipi limefanyika mpaka wakamatwe? It’s not illigal to be gay in Tanzania, but it’s illegal to be in a relationship with a person of the same sex. Hawa polisi Ndio wanavunja Sheria ya freedom of assembly!
 
Nimeona mtu akipost humu eti Tanzania wanazindua kununua tokens next year akiuliza Kenya tutafika link. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
MK254 dyfre KANAIRO tuwaambie ukweli?[emoji1787][emoji1787]

Sikujua wako nyuma hivi. Nimenunua tokens na MPESA tangu 2010.

Kenya hii huduma ya kununua umeme na kuingizwa "automatically" kwenye meter ya mteja, itawafikia labda kuanzia 2025
 
Jamani nimepitia tena huu mradi wa Zambia, Zimbabwe na Botswana halafu nikajiuliza kwanini

Kazungula bridge 923 m long over a Zambezi river and 18 m wide (2 lanes for vehicles, 2 lanes for pedestrians n one lane for a railway) costs $259.3 mln




Tanzanite bridge 1.03 km (1000.03 m) long over sea and 20.5 m wide (4 lanes for vehicles, 2 lanes for pedestrian) costs $112 mln



Je hawa ndugu zetu wa SADC wamepigwa nao? kulikoni?
 
Wakenya kumbe mna uzalendo sn yn licha ya kuona kitu umeshindwa vby lkn bado unapambana na Kasarani yako iliyochoka a.k.a stadium ya WWI (first world war)[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ila watz mik.un.du kazi yao ni kuponda nchi yao na kusema bora wangezaliwa mbwa ulaya, wapo humu kumamae zao, yn ukweli wanaujua lkn ukosefu wa elimu bora unafanya wadharau Chao, hapa ndipo ninapoona ubora wa elimu ya Kenya dhidi ya elimu ya Tz, yn Tz mtu akisema tu this is.... Wasenge wa kayumba wanaanza kuogopa, mnaweza kuona humu wasenge wanavyoikosea heshima nchi yao wazi wazi, hii inatokana na ukosefu wa elimu bora inayofanya mtu kuwa reasoning zenye akili, eti mtu anasema kabisa Ghana iko mbele ya Tz, huu c ushoga huu.
Sidhani Kama Elimu inahusika hapa, usipokua makini utawapa "mileage" ya kuponda Elimu yetu, hii "narrative" ya kwamba Elimu ya Tanzania ni duni, ilianzishwa na wakunya"Be careful, don't fall under their trap", wanacheka kichinichini wakiona unaponda Elimu yetu.
 
atleast kenya has some influence in the international matters. tanganyika has what.!?? nothing.! maana ingine ya gdp kubwa

View attachment 2132040
Hehe......These guys hustresiwa na Kenya......If I were tanzanian I would react the same......They know we beat them on all fronts so what's remaining is these random innuendos and salvos that they throw around
 
Hehe......These guys hustresiwa na Kenya......If I were tanzanian I would react the same......They know we beat them on all fronts so what's remaining is these random innuendos and salvos that they throw around
Which influence you fools, Kenya is a member of security council, position which is almost rotational for all African Countries, does this make Kenya to be special just for voting like all others members of security council?
 
Which influence you fools, Kenya is a member of security council, position which is almost rotational for all African Countries, does this make Kenya to be special just for voting like all others members of security council?
What's making you so angry.......You tanzanians never argue with facts but emotions. You console yourselves here because 99.9% of tanzanians make up the membership over here.You even oppose your own government reports over here that some of the sober tanzanians pose to you.....then you expect us to take your arguments serious...Holy crap
 
Kenya hii huduma ya kununua umeme na kuingizwa "automatically" kwenye meter ya mteja, itawafikia labda kuanzia 2025
Ni kutakuwa na app ambayo kwa kutumia meter iliyo-registered na namba yako unaweza kununua units za umeme na Mpesa/Airtel money/Tigo pesa au internet Banking zikawa-topped up bila kubonyeza namba kwenye meter nadhani watu wa maji pia wana huu utaratibu.
 
Mtu mmoja anajaribu kulinganisha the great DSM 👇
daressalaamcity_1644954589780352.jpg
malembosimbano_1644415413014354.jpg
malembosimbano_1644415450305704.jpg
mydaressalaam_1644407359882970.jpg
daressalaamcity_1643898588851398.jpg
moizhusein_1643904808031301.jpg
moizhusein_1642362358564836.jpg
FFB96915-8A6F-4408-A069-0140BD3325DB.jpeg
moizhusein_1642362358564893.jpg
mydaressalaam_1633824436919278.jpg
3000491_FELg3iBXEAcKMKW_1.jpeg
51F5F133-FAB5-409A-8782-BEE08B2DA956.jpeg
C0303C3D-19DE-4406-9A97-25F2C6FA5BD8.jpeg
20220205_195324.jpg
EAkPgDYXsAAiEMx.jpg
3048936_IMG_3552.jpg
3000251_z.png
vs Accra the best of Accra👇
Screenshot_20220225-164844_1.jpg
cp-pokuase-interchange-opening.jpg
EXpo9_YWkAAL8GX.jpg
maxresdefault(95).jpg
ipo hivi kwa viwango vya Dar hii Accra Ina miaka 50 mbele kufikia Dar ya sasa .. kwasababu hii sidhani kama inatoboa kwa chuga labda hizo interchanges.. bwana tuusan. Ulitukosea sana we jamaa
 
Back
Top Bottom