NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 16,395
- 17,974
This is Abidjan, Cote d'Ivoire.Huu ni utoto sasa,weka Dar inayofanana hivi 👇
View attachment 2131473
View attachment 2131474
View attachment 2131475
This is Abidjan, Cote d'Ivoire.Huu ni utoto sasa,weka Dar inayofanana hivi 👇
View attachment 2131473
View attachment 2131474
View attachment 2131475
Ebu kuwa na akili kaka,hapa East and central Africa hakuna stadium imekaa sexy kama hapa 👇👇yani ata wee mtumzima ukitumia hilo tuu lako vizuri, ni stadium gani hapa inakaa vizuri zaidi.!??
na ujue kwamba yote inabeba spectators sawa 60,000.!
ni hili View attachment 2131681View attachment 2131678View attachment 2131677
ama hili View attachment 2131682View attachment 2131679View attachment 2131680
Uwe unaacha matusi yasiyo na maana, unaonyesha udhaifu kwa hilo. Na si wewe tu yeyote anayetukana matusi hafai kuchangia madaWewe fala,sijaweka pics ya Accra nimeweka pics za Abdjan na nilikuwa najibu kenge mwenzio aliyesema miji ya west hakuna inaizidi Dar..
Sasa hapo na Dar wapi kuna slums? Hao wanaweka hizo interchange ku enforce efficient transport na sio kujiskia au kusubiria jam kama Tzn.
Pia Wana Uchumi wa kufanya hivyo,Tzn haupo.
Moderm stadium umesahauSo comment hii ndiyo inaondoa ukweli kwamba Dar ni mji pekee EA kuwa na electric SGR? 3level interchange? BRT? Modern bus terminals? Modern Airport?
Je unataka Nairobi iizidi Dar kinguvu au? Narudia kukukumbusha mana mwenzio NairobiWalker jana alikasirika alipoambiwa hakuna infrastructure ipo Nairobi ikakosa Dar ila kuna infrastructures zipo Dar huwezi kuziona East and Central Africa![]()

Au tuite nchi yenye virtual economyRich ya kwenye kalamu au karatasikazi kweli kweli sijui izo definition unazitoaga wap




Wakenya kumbe mna uzalendo sn yn licha ya kuona kitu umeshindwa vby lkn bado unapambana na Kasarani yako iliyochoka a.k.a stadium ya WWI (first world war)yani ata wee mtumzima ukitumia hilo tuu lako vizuri, ni stadium gani hapa inakaa vizuri zaidi.!??
na ujue kwamba yote inabeba spectators sawa 60,000.!
ni hili View attachment 2131681View attachment 2131678View attachment 2131677
ama hili View attachment 2131682View attachment 2131679View attachment 2131680



Mbwia ugoro huyo achana naye.ingine ya pili pia leo maana ya gdp kubwa. nilikwambia The best 007 kua kenya itawakoboa kwenye kila takwimu itakayo wekwa humu, wewe unakaa hauskii yawah!.
GDP ya Tz mimi sina shaka nayo najua ni GDP kubwa kabisa hapa EA shida ilianzia kwa Mkapa mpaka JK serikali ilikuwa ina suppress GDP figures ili kuendelea kunufaika na economic agreements za USA, EU na mataifa mengine Tajiri duniani kitu ambacho kwa mtazamo wangu ni upuuzi kabisa na zilikuwa fikra mgando za viongozi wetu hata juzi kuingia LMIC si jitihada za serikali bali IMF na WB waliforce maana sisi tulishajiwekea mpaka 2025 ndio tutoboe kwenye LMICDaaa wazee kama hii ndo Accra ya Ghana nnayoisikiaga basi hamna kitu, sasa hii si Makumbusho tuu jamani. Nna wasiwasi na data za GDP za Tz, hawa wazee wa takwimu wanahitaji kufumuliwa.
Because alot of money change hands daily involving people from several east and southern african countries ( Burundi, Rwanda, RDC, Zambia, malawi, mozambique, Zimbabwe Uganda etc so it is a very big business district in the entire Eastern African region.Kwann unaona kariakoo ni big deal sana![]()
Ndio njia ya Mchina hiyo kupiga hela from sleepy African leaders. Interchange sehemu ambayo haitajiki.hapa kidogo waGhana walichezwo, eti hii pukwase interchange ili gharimu dalla $1b ilhali nairobi expressway dalla $0.6b
yani hiiView attachment 2131637
vs hii
View attachment 2131638
and note; nbi xpresswy ina stretch 27km, pukwase 1km only.!?![]()
matofauli ya topee yaleee!
Acha wivu.you are struggling with bonoko electric trains not because you need it but to score against Kenya....lol.How poor tanzanians will afford fare is another story
wee mzee... mgeni humu, usisahau kasarani ina annex stadia za kukata na shokandio maana
nesema Kunya ranking zinawaharibu akili.
BRO WE TIZAMA MWENYEWE MUUNDO WA MKAPA STADIUM UNAFANANISHA NA UWANJA UPI HAPA EA!?
ACHA BANGI ZINA MADHARA.
Vumbi la Kinshasa kwa mbele kama lote