Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa hivi hiyo barabara ya Kisumu - Busia ni unpaved ama unajaribu kusema nini?

Lami imegota palee! Ni bora kuwa na flyover ya show off lakini barabara ikabaki vumbi! Ukunya to the maximum!
picsart_12-15-08-36-07-jpg.2131907
 
heheheee...... maajabu ya musa haya. eti ndo wanaaza sasa... kenya tulianza mambo na tokens in 2010., ata kando na tokens za umeme, yani kila kitu, eg. kulipia Dstv ukiwa ndani ya nyumba, ku book an airticket ama sgr at the comfort of your home, kugaramia maji, supermarket, karoo and so on...........
wewe ni mpumbavu na wapi? Hebu eleza maana ya smart meters kwanza!
 
heheheee...... maajabu ya musa haya. eti ndo wanaanza sasa... kenya tulitokamo huko kitambo. tulianza mambo na tokens in 2010., ata kando na tokens za umeme, yani kila kitu, eg. kulipia Dstv ukiwa ndani ya nyumba, ku book an airticket ama sgr at the comfort of your home, kugaramia maji, supermarket, karoo and so on...........
unapoandikiwa jambo muwe mnasoma kwa umakini msiwe mnakurupuka kujibu

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Nimeona mtu akipost humu eti Tanzania wanazindua kununua tokens next year akiuliza Kenya tutafika link.
MK254 dyfre KANAIRO tuwaambie ukweli?

Sikujua wako nyuma hivi. Nimenunua tokens na MPESA tangu 2010.

Uwe unasoma kwa kuelewa basi, yn taarifa inasema tunaachana na huo utaratibu lkn wewe bado unang'ang'ania tu.
 
heheheee...... maajabu ya musa haya. eti ndo wanaanza sasa... kenya tulitokamo huko kitambo. tulianza mambo na tokens in 2010., ata kando na tokens za umeme, yani kila kitu, eg. kulipia Dstv ukiwa ndani ya nyumba, ku book an airticket ama sgr at the comfort of your home, kugaramia maji, supermarket, karoo and so on...........
Wewe ndiyo unakuwaga mbuzi usiyeelewa kabisa, huwa unaongea kitu usichokijua, mfano hapa umeongea ugoro wa kimataifa kama kawaida yako.
 
Kuna mwenye alisema hizo nyumba zimeishinda Karen ya Nairobi humu. Hapo ndio niliconfirm hawa ndugu zako ni wabishi kuliko mkia wa mbuzi.
Huyo tuusan ni mnywa komoni asikuchanganye akili, hivi wewe na akili zako unaweza kusema Avic town ina nyumba 4? Avic town mpk nyie wakunya mnaiogopa, kuna mkunya mwenzio anaitwa Nicxie ameshawahi kuita render nyumba za Avic town
 
you are struggling with bonoko electric trains not because you need it but to score against Kenya....lol.How poor tanzanians will afford fare is another story

from tuonyesheni km 1 ya reli mliojenga, to tuonyeshi km 100 mliojenga, to tuonyeshi electrical catenary hata moja, to tuonyeshi kipande cha kwenda bandarin, to tuonyeshi train zinatakazo kuja, to kwa umeme upi huo mtaendesha train, saiz mpo suala la nauli/fare! mko sawa kweli majiran? lin mtakubali reli yenu mlipigwa, lin mtakubali reli yetu ni bora? lin mtakubali bila kuongeza excuse yoyote nyingine?
 
Back
Top Bottom