Kinjekitile Jr
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 599
- 1,765
Sisi uwa hatunaga roho mbaya na waafrica wenzetu ndio maana hapa nchini kuna wakenya wengi tu wamejivika ngozi za wajaluo wa rorya kumbe ni wakenya na hatuwafukuzi maana mungu alitupa neema ya kuwahudumia watu maskini kama nyie,warundi,wanyarwanda na wacongoaah wapi ! nyinyi kujipendeza zouzafrica nayo.!?, eti 'wao ni madugu zetu wa zati', lakini ikifika xenophobic attacks....... nyinyi ndio wakwanza kufurushwa.... hehe😆😆