Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,941
- 103,819
MGR Tanzania giving SGR Kunyaland a run for her money
Upanga East 👇Dar CBD is tiny and disorganised compared to Nairobi's View attachment 2132126
Kwahyo Kariakoo ni nini ka mjuzi.?Kariakoo sio cbd
Huyo jamaa inawezekana Dar enyewe anaishia kuiona kwenye picha tu 😂😂😂 ndio mana anaropoka .. Dar ni ya kulinganisha na Accra kweli.? This is so sadInasikitisha sn na ndiyo maana wanaongea bila kuweka picha, eti Accra ukaifananishe na Dar!!!
Usiangalie land area, angalia development.Upanga East 👇View attachment 2132246View attachment 2132247View attachment 2132248upanga west View attachment 2132249View attachment 2132250upanga both sides 👇View attachment 2132253Upanga is larger 2× than your so called westlands 👇View attachment 2132256imagine West lands with no NBO towers 😂😂😂, Upanga ni zaidi ya Eastland, labda tulinganishe West lands na Upanga side by side, lakini sio upunga yote.
Another unmarked roadsMwanza ifike hapa kwanza ndio ijilinganishe na Mombasa








Kwahiyo kwenye hizo picha huoni development, utakuwa una ugonjwa wa macho wewe co bureUsiangalie land area, angalia development.






kwani don't u knw tht kenya is host to 1 of the 4 arteries of the UN International Offices. we'll have influence most definitely.!Which influence you fools, Kenya is a member of security council, position which is almost rotational for all African Countries, does this make Kenya to be special just for voting like all others members of security council?
Shida ya wabongo ni hio. Yani wakiambiwa nchi fulani imewazidi kwa hili, wataenda wafukue the most desolate areas of that country na kuzipost kujiconvince wao ndio bora. Kuna siku mmoja humu alifukua Favelas za Brazil eti anaprove Tanzania iko more developed than Brazil. Yani hawa wajamaa wako na shida. 🤣🤣huwaga wanasemanga ukweli kwa siku zote inachoma. tuusan akisema ukweli wa mambo jinzi yalivyo, inakua ni prostate cancer kwa wengine kamavile Geza Ulole na The best 007
Atakwambia wako na HQs za EAC hapo Arusha. 🤣🤣kwani don't u knw tht kenya is host to 1 of the 4 arteries of the UN International Offices. we'll have influence most definitely.!
ona, tanganyika mko tu na EAC Hq.! even better ethiopia than u, wako na atleast AU Hq. Offices.!
View attachment 2132333
We jamaa uwa haunaga akili,hii nchi tulishasema toka kitambo hatunaga mambo ya kujipendekeza kama nyie. Sisi ni wachina wa Africakwani don't u knw tht kenya is host to 1 of the 4 arteries of the UN International Offices. we'll have influence most definitely.!
ona, tanganyika mko tu na EAC Hq.! even better ethiopia than u, wako na atleast AU Hq. Offices.!
View attachment 2132333
Nyinyi hizo 5000 km za lami tanganyika mzima mmemark......you sound like an old chatterboxAnother unmarked roads![]()
Nyie mbona mpo level moja na Somalia kwa njaa?Nyinyi hizo 5000 km za lami tanganyika mzima mmemark......you sound like an old chatterbox
hii sjui umetoa wapi💩
umegonga ndipo kaka braza 😆Shida ya wabongo ni hio. Yani wakiambiwa nchi fulani imewazidi kwa hili, wataenda wafukue the most desolate areas of that country na kuzipost kujiconvince wao ndio bora. Kuna siku mmoja humu alifukua Favelas za Brazil eti anaprove Tanzania iko more developed than Brazil. Yani hawa wajamaa wako na shida. 🤣🤣
Mwanza ifike hapa kwanza ndio ijilinganishe na Mombasa
aah wapi ! nyinyi kujipendeza souzafrica nayo.!?, eti 'wao ni mandugu zetu wa zati', lakini ikifika xenophobic attacks....... nyinyi ndio wakwanza kufurushwa.... hehe😆😆We jamaa uwa haunaga akili,hii nchi tulishasema toka kitambo hatunaga mambo ya kujipendekeza kama nyie. Sisi ni wachina wa Africa
🤣🤣🤣aah wapi ! nyinyi kujipendeza zouzafrica nayo.!?, eti 'wao ni madugu zetu wa zati', lakini ikifika xenophobic attacks....... nyinyi ndio wakwanza kufurushwa.... hehe😆😆