ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Wewe fala,sijaweka pics ya Accra nimeweka pics za Abdjan na nilikuwa najibu kenge mwenzio aliyesema miji ya west hakuna inaizidi Dar..Zuzu kumbe hata Accra yenyew haijuiinterchange kwa slums...ushuziii hiii ndio izidi TzView attachment 2131537View attachment 2131538View attachment 2131539
Nani ka post Luanda? Nimepost Abdjan na nimeandika hapo,mihemko ya nyege inakusumbua ndio maana hamuwezi hata kusoma.Weee sikuzote unakuaga mafiii sasa unapost mji wa Luanda au nao uko Ghana?.
..pamoja na hivyo bado Dar ni Dar tuuuView attachment 2131521View attachment 2131523View attachment 2131525
uchumi wa kufanya nini ambao Tz haupo?Wewe fala,sijaweka pics ya Accra nimeweka pics za Abdjan na nilikuwa najibu kenge mwenzio aliyesema miji ya west hakuna inaizidi Dar..
Sasa hapo na Dar wapi kuna slums? Hao wanaweka hizo interchange ku enforce efficient transport na sio kujiskia au kusubiria jam kama Tzn.
Pia Wana Uchumi wa kufanya hivyo,Tzn haupo.
Ni the whole highway including interchanges kadhaa plus hiii four tierhapa kidogo waGhana walichezwo, eti hii pukwase interchange ili gharimu dalla $1.5b ilhali nairobi expressway ili gharimi dalla $1b
yani hiiView attachment 2131637
vs hii
View attachment 2131638
and note; nbi xpresswy ina stretch 27km, pukwase 1km kama mamba ya ubungo yani bichi kidimbwi
Bandari ya Mombasa kupigwa BAO na Tanga Port,Mambo mazuri yanakuja kwa Tzn
View attachment 2129302
View attachment 2129303
Hiiii low quality without interchange full of roundabouts ziko turkana pia!!!accra hata kwa arusha bado sana
View attachment 2131631
Kunyaland nzima haina barabara ya quality kama hiyo ya Arusha!Hiiii low quality without interchange full of roundabouts ziko turkana pia!!!
tuusan bhn ss ndiyo umeweka nn hapa, hebu weka kila kitu cha Trassaco alafu linganisha japo na Avic townSasa kosa langu ni lipi hapo?na ubovu wao bado wametuzidi yani bado huna sababu ya kuchomoa.....
Trassaco valley Accra View attachment 2131582View attachment 2131583View attachment 2131584









GDP halisia ya Tz ni$150bn, mwaka 2025 tutakuwa tumefika $200bn kwa sababu miradi yote ya kimkakati itakuwa imeanza kuingiza pesa.Daaa wazee kama hii ndo Accra ya Ghana nnayoisikiaga basi hamna kitu, sasa hii si Makumbusho tuu jamani. Nna wasiwasi na data za GDP za Tz, hawa wazee wa takwimu wanahitaji kufumuliwa.
Kunyaland nzima haina barabara ya quality kama hiyo ya Arusha!
Viwango vya barabara zenyu! 👇👇
Mbona haipo kwenye mpangilio aisee,nahisi hili ndilo eneo wanaloishi wenye pesa na bado halipo kwenye mpangilio, hebu weka mji mwingine tuanze kushindanisha, alafu wakuu naomba tumalizane na tuusan kwnz mana waswahili wanasema uongo ukiongelewa sn na usipokanushwa hugeuka kuwa ukweli, ss rasmi nimkaribishe tuusan kwenye battle ya Ghana vs Tz.Trassaco valley View attachment 2131593
Avic zile nyumba nne?tuusan bhn ss ndiyo umeweka nn hapa, hebu weka kila kitu cha Trassaco alafu linganisha japo na Avic town![]()
Tanzanians mnashtuliwa na very basic infrastructure hadi huwa nawashangaa......accra hata kwa arusha bado sana
View attachment 2131631
Mbona Dar creme de la crème areas no SHITHOLE!!Mbona haipo kwenye mpangilio aisee,nahisi hili ndilo eneo wanaloishi wenye pesa na bado halipo kwenye mpangilio, hebu weka mji mwingine tuanze kushindanisha, alafu wakuu naomba tumalizane na tuusan kwnz mana waswahili wanasema uongo ukiongelewa sn na usipokanushwa hugeuka kuwa ukweli, ss rasmi nimkaribishe tuusan kwenye battle ya Ghana vs Tz.
Na mbona demarcation mbovu? Atererere...!Tanzanians mnashtuliwa na very basic infrastructure hadi huwa nawashangaa......
View attachment 2131644