akili mbovu kichwani ndio hio😂😂😂Hiiii low quality without interchange full of roundabouts ziko turkana pia!!!
Na ukumbuke hii ya Kisumu all junctions ziko na interchange,Tanzanians mnashtuliwa na very basic infrastructure hadi huwa nawashangaa......
View attachment 2131644
so kumaanisha tz inaizidi kenya eeh.!?GDP halisia ya Tz ni$150bn, mwaka 2025 tutakuwa tumefika $200bn kwa sababu miradi yote ya kimkakati itakuwa imeanza kuingiza pesa.
Expressway pia mlipigwa, haiwezekani 8km flyover mjengewe kwa $668bn na bado cost zinaendelea, hyo interchange ya Pokuase ni nzuri sema imekaa sehemu ambayo Haina mvuto ndiyo mana imekuwa kama kichekesho, vuta picha ingekuwa Tz mana huku Tz especially Dar hakuna maudongo mekundu na pia huwa tunafanya pavement.hapa kidogo waGhana walichezwo, eti hii pukwase interchange ili gharimu dalla $1b ilhali nairobi expressway dalla $0.6b
yani hiiView attachment 2131637
vs hii
View attachment 2131638
and note; nbi xpresswy ina stretch 27km, pukwase 1km only.!?![]()
Huyo jamaa huwa haeleweki humu eti anakuambia JPM hajafanya kitu alafu hapo hapo anakesha akituma screenshot za miradi iliyoanzishwa na the Great JPM, kuna mda utakuta anaponda kitu alafu mbele kdg anatumia kitu hicho hicho alichokiponda kuwasema Wakenya, mara utakuta anaiponda Dar baadae anatumia picha za Dar kuiponda Nairobi, huyo msenge hyo I'd yake pia naipiga ban Kama ile ya opportunity cost, ya naipiga ban saizi.Imagine Kikwete alipoteza hili dili kwa wakunya,
Kongole kwa JPM kwa kunyakua hii dili midomoni mwa wakunya,
Kunyans will always hate JPM for this.
yani ata wee mtumzima ukitumia hilo tuu lako vizuri, ni stadium gani hapa ina tesa zaidi kwa design.!??ndio maana
nesema Kunya ranking zinawaharibu akili.
BRO WE TIZAMA MWENYEWE MUUNDO WA MKAPA STADIUM UNAFANANISHA NA UWANJA UPI HAPA EA!?
ACHA BANGI ZINA MADHARA.
unakuwa na stadium ina ramps za Godown na umeezekwa mabati halafu paa linafunika VIP tu na linashikiliwa na metal poles halina viti vya kukaa, speakers za disco na inabidi ziletwe uwanjani! Huo ni uwanja au majukwaa ya kombe la mbuzi?yani ata wee mtumzima ukitumia hilo tuu lako vizuri, ni stadium gani inakaa vizuri zaidi.!??
na ujue kwamba yote inabeba spectators sawa 60,000.!
ni hili View attachment 2131681View attachment 2131678View attachment 2131677
ama hili View attachment 2131682View attachment 2131679View attachment 2131680
ingine ya pili pia leo maana ya gdp kubwa. nilikwambia The best 007 kua kenya itawakoboa kwenye kila takwimu itakayo wekwa humu, wewe unakaa hauskii yawah!.Naona kama tunaenda sawa sasa.tukienda kwenye best suburbs tuweke tano za dar na tano za Accra ndio unaweza ukaelewa kwann hawa jamaa wametuzidi...kitu kingine usisahau wamarekani wengi wanamigrate to Ghana na kuinvest huko..Hata number of remittances wanazotuma diaspora ni wapili chini ya Nigeria kwa Africa...izo pesa wanainvest na nk...
Sijui ni kwann watu humu wananitukana au kisa nimesimama na takwimu ...
View attachment 2131613
Ata me nashangaa unamkuta mtu yupo above 35 lakini akili yake kama mtoto wa class 6Mwengine anakuambia huu mji unazidi Dar, ukimuambia unazidi vipi anakuletea vumbi, wallahi watz wengi tulikuwa na mawazo ya kimbwa sn mpk pale tulipokuja kuamshwa usingizini, ona vumbi hili ambalo baadhi ya watz wenye mawazo ya kimbwa wanakuambia vumbi hili linazidi DarView attachment 2131546
Bado namuona Victor Oluwole,huyu jamaa ana miliki hicho ki-blog chake cha mchongo,kila kitu lazima aibebe Nigeria na Ghana.Naona kama tunaenda sawa sasa.tukienda kwenye best suburbs tuweke tano za dar na tano za Accra ndio unaweza ukaelewa kwann hawa jamaa wametuzidi...kitu kingine usisahau wamarekani wengi wanamigrate to Ghana na kuinvest huko..Hata number of remittances wanazotuma diaspora ni wapili chini ya Nigeria kwa Africa...izo pesa wanainvest na nk...
Sijui ni kwann watu humu wananitukana au kisa nimesimama na takwimu ...
View attachment 2131613
you are struggling with bonoko electric trains not because you need it but to score against Kenya....lol.How poor tanzanians will afford fare is another story
pale Nairobi inapofirigiswa na kugalagazwa....Kwahiyo mmeamua huu uzi uwe wa Dar v/s Accra? Badirishe basi tittle tuwaelewe.